Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,069
- 124,588
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee naona umeamua kutunanga wenye sura za kupulizia moto, sasa tunamgawia nani wakati mzunguko wa kutongozwa ni mdogo?Ndio kuna bidada wako siriazi sana hadi sura zinatisha, sababu ya sura zao mzunguko wa kutongozwa ni mdogo lakini haimaanishi wana tabia nzuri la hasha!
Tena ndio watoaji wazuri.
Mara nyingi tunawaonea warembo kwa kuwaona hawajatulia kumbe wanasumbuliwa sana kwa uzuri wa sura zao.
Naoa kitu roho inataka mie