Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
aisee naona umeamua kutunanga wenye sura za kupulizia moto, sasa tunamgawia nani wakati mzunguko wa kutongozwa ni mdogo?
Wanaume tuna tamaa Sana Hata awe mbovu atatongozwa tuu ,Mara nyingi wapenda vitonga huwakimbilia vibungo

One love
 
Kwa miaka ya zaman hanang' ilikuwa wilaya ya mbulu, tafuta kitabu cha darasa la nne geography miaka hiyo uone kilimo cha ngano ni mbulu ktk maeneo ya Qatesh endasaki ikiwa ndan ya Qatesh
miaka ya zamani ipi? hapo unazungumzia mwaka 60 au 70 hivi
 
Bwahahahaha. ..mtoa mada wupoo? ?
Santo sana
Wengi wao ni weupe sana...

Wanahuruma sana, hawapendi kuona binadamu mwingine anaumia kwa ajili...

Wepesi wa kutoa majibu ya nimekubali, au asipotoa jibu ni wewe tu kujiongeza...

Mengine tuyaache kama yalivyo...
 
Hao hawajuagi kukataa.. Nimewahi kuwa na demu wa kiiraq, hata baada ya kuachana naye niliendelea kupiga kama kawaida.
 
Acha nikupe kisa kimoja kinachonihusu.

Mwaka fulani nilipata field uko hydom, kiukweli nilista ajabu kuona uzuri wa wasichana wa kule, nikajikuta nimeshaingia kwenye mapenzi na binti wa kimbulu(alikua mwajiliwa). Mapenzi yakawa motomoto(nikajikuta marioo). Nitake nini mwanaume nisipate, out za kila mara, nikaona hapa naoa.

Mwanamke mpole, mnyenyekevu, mkarimu, nilijiona mbabe kweli.

Baada ya miaka miwili mwanamke akaanza kulazimisha sana ndoa, akadai kama sina hela yeye atagharamikia kila kitu hili mradi nimuoe, nikaona hii siiwezi. Nikamwambia asubiri kidogo.

Aisee kumbe demu ni demu wa masela, wanaoniita shemeji ndiyo mabwana zake.

Kisa ni kirefu hila hawa hawajui kukataa, ukioa jua na jirani yako atakula tu.

Nakupa task nenda uko ukweni, jaribu kumtongoza rafiki/mdogo mtu/dada mtu/ au mke wa mtu, ukikataliwa basi oa

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃
 
Cjaoa lkn wazazi wangu wananimbia kwa kuwa naendaga uko kikazi aise nisije zubutu kuwalete hao watu na mnyaturu. ....mm binafs nakaa noa nao jirani hawajui cha mdogo wal cha mkubwa watakuzalilikisha Sanaa kwenye jamii kwa kuwa ataliwa na Kila rikaa

Kimsingi kam wee Ni mwiraq bas oa mzee mnk wanawezana wao kwa wao other wise oa mchaga kulikon hao viumbe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom