Siamini kuwa wanapenda kuuza baa!Asilimia kubwa wanapenda kuuza baa
Wanapenda na wanaunganishana kwenye hizo kazi. Nina uhakika na nnachokiongea sababu nimeishi Manyara na Arusha. Pia nilishafanya kazi ya umeneja wa bar hapa Arusha kwa kipindi fulaniSiamini kuwa wanapenda kuuza baa!
Sema tu maisha yanawalazimisha kufanya kazi hiyo.
Mkuu comments za humu zote wamekuambia usioe.Zamu yako yaja,naanza na huyu kwanzs
Pole sana mkuu,ndio maana nikaja huku kuulizwa nisije uziwa mbuzi kwenye gunia
Mbona hawajaisha na ukimwi hayo maneno tu ya watuNoma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu
Ukimwi kwao hawaupati?Ni wazuri sana lakini sehemu zao za siri zina huruma sana![]()
Ukiwa katika mahusiano na mtu baada muda utazijua tabia zake tu, usiwe na haraka issue ya kuulizana makabila ilishapitwa na wakati mkuu, Fanya mipango vuta jiko uhuni ni tabia ya mtu na sio kabila. Usisahau kunialika kwenye harusi .Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati,binti ametokea kunipenda sana,mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano nae ila kadili siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa,coz she is real beautiful,umbo zuri na rangi nzuri pia ,halafu ananijali sana kimatendo,siku za hivi karibuni amenikadhania niende kujitambulisha kwao,nipeni abc za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Funga ndoa kwanza, utanielewa kwa vitendo ukiwa ndani ya ndoa.Hapana mkuu sijaelewa,
California love
Inaelekea ulikuwa na majibu tayari, sasa kwanini unafungua uzi na kuuliza watu? Samahani lakini.Noma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu