Kabla sija jibu. Nikuulize kwani wewe una taaluma ya ualimu?Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?
Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
View attachment 1818330
Wewe ni mwalimu?Kabla sija jibu. Nikuulize kwani wewe una taaluma ya ualimu?
ndiyoWewe ni mwalimu?
Hamna kitabu hapoCha darasa la sita, publisher wake ni maarufu tu ila nadhani so vyema kuwataja
Sasa mkuu unachohofia kumtaja ni nini?Sijui ila ila publisher wa iko kitabu ana-series nyingi za vitabu ambavyo vinatumika level ya primary.
Ni somo gani? Darasa la ngapi?Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?
Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
View attachment 1818330
Darasa la ngapi??
Kama nilivyoandika hapo juu, mtaani kumejaa watu wengi wasio na ajira, kinachofanyika ni kuchangamkia fursa mkono uende kinywani.... mwisho wa siku ndio hayo matango pori yanatengenezwa.Sijui ila ila publisher wa iko kitabu ana-series nyingi za vitabu ambavyo vinatumika level ya primary.