Mimi siku wewe ceramic nikishakabidhiwa sahau kuhusu hizo sheria.Unabishana na taarifa ya habari utanichosha na conjugal rights zako! Marriage does not automatically give one spouse the right to force sexual relations on the other.. mwanaume unasex na mwanamke wako kwa consent yake tu! Na sheria za tanzania zinafamu hilo!
Watoto wakilala ni mwendo wa mikiki mikiki.