Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,752
- 3,148
anyway nipe faida za ndoa, kama watoto ninaoUnadanganywa kila mtu na bahati yake
anyway nipe faida za ndoa, kama watoto ninaoUnadanganywa kila mtu na bahati yake
najua utadanganya kuna kuloweka kila unapojisikia, kupokewa ukitoka kazini, unapikiwa, unaandaliwa chakula na maji ya kuoga... na blabla nyingi, haha hakunaaa hizo ni tabia za penzi jipya siyo ndoa. tunaijua hiyoUnazijua mkuu faida mbona
Mapenzi yamekushenyeta nn !😀najua utadanganya kuna kuloweka kila unapojisikia, kupokewa ukitoka kazini, unapikiwa, unaandaliwa chakula na maji ya kuoga... na blabla nyingi, haha hakunaaa hizo ni tabia za penzi jipya siyo ndoa. tunaijua hiyo
Nimekuelewa mkuu ila kuna mtoa hoja mmoja ameeleza vizuri swala hili lipo upande mmoja tu vipi kihusu upande wa mwanaume nae anasabab zipi zakufanya hayo yote, nami naungana nae.Kama umesoma vizury maelezo nimeeleza sababu za kubakwa mke
hapana mkuu mbona niko normal tu, ila nazungumzia reality ya hizo fursa mnazotuitia tujaeMapenzi yamekushenyeta nn !😀
haha oa at your own riskOa utanishukuru baadaye
mwisho nianze kubakaOa utanishukuru baadaye
Inshallah kesho nitakuja na mrejesho wa upande wa mume why anambaka mke wakeNimekuelewa mkuu ila kuna mtoa hoja mmoja ameeleza vizuri swala hili lipo upande mmoja tu vipi kihusu upande wa mwanaume nae anasabab zipi zakufanya hayo yote, nami naungana nae.
Hajui aliolewa sababu ya nini?Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.
Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.
Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.
Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.
Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
🔥Hajui aliolewa sababu ya nini?
Kwani MAHARI HULIPWA SABABU YA NINI?
Ukiacha mahali wanawake wa kisasa wanakataa kufua,kuosha vyombo kudeki nk halafu eti kirahisi rahisi TU bado JAMAA ANYIMWE ZAGA
na bado hela anampa
We unaona imekaa sawa?
This shit isn't fair that's imbalance
Jamaaa akitoka nje ya ndoa utasikia we mwanaume ni kitu gani HUPATI KWANGU😂😂😂
secretarybird
long time bro. How do you do?Naam mkuu
Yeah100 percent raped
Unataka kuwa kama mnyama? Sisi binadamu tunaishi nyumba moja na wake zetu na tuna ufahamu hatuwezi kuiga matendo ya wanyama.Ki uhalisia, si sahihi kwa mwanaume kuishi na mwanamke mmoja. Kitabia, tupo kama wanyama, angalia mfano wa dume moja la simba linakuwa na majike mangapi..!? Au ukitaka kufuga kuku, ratio yake ipoje. Yaani Majike ni wangapi na madume ni mangapi
Kisheria kuna tofauti kati ya separation na devorce?
Mtaalamu wa sheria mashallah 😍 nimekupataSeparation means a married couple decides to live apart either informally or through a legal arrangement, but they are still legally married. The marriage is not ended, so neither spouse is free to remarry. So hapa ndoa haijaisha, wanandoa wana separate for some reasons chini ya uongozi wa mahakama, ni kama kutake a beak ili ku-resolve some issues, hapa huruhusiwi kuoa/kuolewa..
Divorce, on the other hand, is the legal termination of a marriage. Once a divorce is granted by a court, the marital relationship is completely ended, and both parties are free to remarry. The court also usually deals with division of property, child custody, and maintenance as part of the divorce process. Hpa ndoa inaisha legally, mke/mume wanaruhusiwa kuoa/kuolewa, ndio baadae mahakama inafanya settlement juu ya watoto, mali na maintainance..
Hope nimewajibu vizuri..🙂
cc: Nonchalant H r n