Kwenye vitabu vya sheria ipo, wananzengo hawajaamua tu kuwa wanazipeleka hizo kesi mbele ya vyombo vya sheria.Kwetu haipo hii
He's spinning around the bush 😄😄Mbona kama ndio wewe mhanga
Ndio maana yake 📌ukiona kila siku unaambiwa naumwa....najisikia vibaya...nimechoka....huyo hana hamu na wewe, kwa kifupi......Unachapiwa!!
Millennial una mambo yanayo nipa motisha gen zKwa jinsi nilivyo na genye mshindo ukileta uzembe,nitajikuta nimekubaka no way out😎😎😎😎
Hilo ndio suruhishoBabylon system is the Vampire, but they call it an empire.
Amruhusu aoe mke mwingine
wazoefu wa hizi kazi.Kwa sisi wanawake tulivyo, huyu anautaka.
Mpigie ukuni mkuu.
kwani ulipokuwa unyago ulifundishwa nini unapokutana na mazingira kama hayo ?Anabakwa sasa afanyaje avumilie ukatili
shahidi kivip wakati yeye anajilia zake nyama inayotoa mchuziAtakuwa shahidi wa ukatili huu anatufaa
Shauri yako wazee tutakubemenda!Millennial una mambo yanayo nipa motisha gen z
mwanaume na mwanamke wakilala chumba kimoja tena kitanda kimoja inahesabika kuwa wana mahusiano. Ikiwa mwanamke anaona anapitia manyanyaso ya kingono kutoka kwa mumewe basi aivunje ndoa. Mahakama haiwezi kumfunga mtu kisa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi? Je,ikiwa huyo mwanamke nae alikuwa anamnyima unyumba huyo mwanaume? Mume na mke ni tendo la ndoa mwanawane.Tajiri mkeo, ukimuomba mlale, akakataa ukalazimisha unakuwa umetenda kosa la kubaka. Na adhabu yake ni miaka 30 na kazi ngumu au viboko, au vyote kwa pamoja.
Hakikisha mkeo anakuruhusu kwa ridhaa yake.
😀 uliwahi tumia hiikwani ulipokuwa unyago ulifundishwa nini unapokutana na mazingira kama hayo ?
mwanaume na mwanamke wakilala chumba kimoja tena kitanda kimoja inahesabika kuwa wana mahusiano. Ikiwa mwanamke anaona anapitia manyanyaso ya kingono kutoka kwa mumewe basi aivunje ndoa. Mahakama haiwezi kumfunga mtu kisa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi? Je,ikiwa huyo mwanamke nae alikuwa anamnyima unyumba huyo mwanaume? Mume na mke ni tendo la ndoa mwanawane.