Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

mwanaume na mwanamke wakilala chumba kimoja tena kitanda kimoja inahesabika kuwa wana mahusiano. Ikiwa mwanamke anaona anapitia manyanyaso ya kingono kutoka kwa mumewe basi aivunje ndoa. Mahakama haiwezi kumfunga mtu kisa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi? Je,ikiwa huyo mwanamke nae alikuwa anamnyima unyumba huyo mwanaume? Mume na mke ni tendo la ndoa mwanawane.

Unyumba ni haki yako, lakini lazima kuwe na ridhaa (consent). Kinyume nq hapo ni kosa kisheria. 😊
 
Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.

Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.

Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.

Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.

Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
eeh sasa anashindwaje kumuacha mume wake wakati yeye anabakwa? au sio independent woman huyo
 
Wenye ndoa wengi vichaa wamejificha kwenye kichaka hicho..!!

Bado wanaopakiana vumbi dah! 😹
 
eeh sasa anashindwaje kumuacha mume wake wakati yeye anabakwa? au sio independent woman huyo
We mubaba upo? 😍😍
Yani nilivyokumiss mzabzab jamani..!!

Nani alikuficha Mr kibamia?
Mi nahangaika kupiga kelele humu nikajua wauaji wa samuya waliku kill 😥
 
kwendraaaaa zako huko mbona ata pm sijakuta meseji yako kama kweli umenimiss. uwongo tuu umekujaa kama yalivyojaa matiti yako hahahahha
mwenzio nilikuwa napambania maisha icu wewe uananyonyesha tuu mandsome boy.
kwema lakini mrembo mwenye titi lake....kesho napita hapo kkooo nikupe hi mlimbwende wangu
 
Ipo kama kubaka kwingine tu, kwanza hadi leo hajatoka tu?

Jamii yetu ina wanawake wanopitia unyama, ati "ndoa", unaendeleaje kukaa sehemu unafanyiwa ukatili?
 
Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.

Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.

Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.

Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.

Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Akibakwa kuna madhara anapata? Au anamnyima kwa gubu lake tu.
 
kwendraaaaa zako huko mbona ata pm sijakuta meseji yako kama kweli umenimiss. uwongo tuu umekujaa kama yalivyojaa matiti yako hahahahha
mwenzio nilikuwa napambania maisha icu wewe uananyonyesha tuu mandsome boy.
kwema lakini mrembo mwenye titi lake....kesho napita hapo kkooo nikupe hi mlimbwende wangu
Hujapata notification zangu? 😥
Yani humu ilikuwa kila siku nakutafuta. Ningekuwa na details zako ningekuja kukuona kipenzi changu..!! 😍

Pole best nini zaidi kilikuwa kinakusumbua?
Israel ashindwe anataka kunichukulia buzi langu ki rejareja anataka nibaki na nani JF atakayenichekesha?? 😥
 
eeh sasa anashindwaje kumuacha mume wake wakati yeye anabakwa? au sio independent woman huyo
Ndoa ngumu Acha tu kumwacha hawezi unaanzaje kusema una bakwa na mume wake
 
Ipo kama kubaka kwingine tu, kwanza hadi leo hajatoka tu?

Jamii yetu ina wanawake wanopitia unyama, ati "ndoa", unaendeleaje kukaa sehemu unafanyiwa ukatili?
Bado yumo kwenye ndoa mchaka bado upo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom