Hivi ulishawahi kugundua haya?

Hivi ulishawahi kugundua haya?

Unaitumia miaka yako ya mwanzo miaka20 ukiwa na wasi wasi juu ya watu wanavyowaza kuhusu wewe.

unatumua tena miaka 20 inayofuta kuact kwamba you don't care what people think of you

Unatumia miaka mingine 20 na kugundua they don't think about you.
hapo mapinduzi lazima [emoji23][emoji23]
 
Bangi uliovutaa Leo achaaa.....utakujaa kua kichwaaa,unawaza vitu vingi kwa wakati mmoja
 
Pengine upo nyumbani umeacha mlango wazi,Kwenye akili yako inakuja picha siku moja uliacha mlango wazi nyoka akaingia.japo hujawahi kuacha wazi mlango wazi nyoka akaingia hii ni moja ya maajabu ya de ja vuu
 
ume

umenikumbusha babu yangu alikufa nikishuhudia taratibu masaa 4 hiv anatuaga aga. ila nahis kufa kunauma, kwanini weng urusha miguu na kupambana asiende kule?

Pole sana sana sana

Muda niliouzungumzia ni zile dakika chache za mwisho za kukata roho/kujikabidhi kwa muumba, zile huwa haziumi na ni ''raha'' sana. Hatua nyingine zote ''zinaweza'' kuwa zinauma only if zimeambatana na trauma ama magonjwa lakini si kwa uzee.

Think deep then utaniambia.
 
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
Mimi nimegundua hiki ulichokiandika hapa na nimefurahi sana! I deeply respect and to a geater extent, love mothers; any mother in that respect
 
niligundua matatizo mengi hapa dunian ikiwemo misongo chanzo si pesa. ni MWANAMKE! ingepatikana njia nyingine ya kuzaliana.
hivyo kiwango chako cha kuishi vizur dunian kitategemeana na kiwango cha kujitenga na wanawake bila kujishinikiza.
 
Mimi kitu nilichogundua kwenye maisha, sometimes kuna watu unawaona kabisa unawazidi vitu vingi tu kama ELIMU au KIPATO lakini unashangaa WAO wana FURAHA kuliko wewe [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kipindi nilikua nasikia watu wakisema, nmesoma maandiko tofauti tofauti yanayoelezea kwamba furaha hailetwi na vitu,nilibishana sana et mtu kama mo anakosaje furaha?? ila sasa najua furaha siyo vitu, na wenye vitu vingi ndio watu wasio na furaha zaidi
Dah aya maisha bhana, sasa aya maisha yanataka nini zaid mana watu wapo bize sana kusaka mpunga lakini mwisho wa siku watu hawana furaha na hizo pesa upande wa pili wasio na pesa uwa na furaha sana sasa nashindwa kuelewa mustakabali wa aya maisha
 
siri kubwa ya furaha ni kuridhika na ulichonacho,"maskini"wengi wameridhika na kidogo walichonacho ndo maana wanafuraha, ila matajiri wengi kila siku wanawaza zaidi.. kuna wimbo wa Passenger anasema "when you have nothing,you have nothing to lose"
 
Kabisa mkuu ndio maana nikiangalia watu ambao wana vipato vya chini wana injoi sana maisha kulinganisha na wenye pesa zao any way kuna kitu nimekipata hapa
 
NIMEGUNDUA

* Watu wengi wakorofi na wanaoogopwa katika jamii ni vipenzi vya mama zao

* Watoto wengi wa Maprofesa wameshindwa kufikia mafanikio ya kielimu ya baba zao.

*Wanawake wengi wanaonyoa kama wanaume wanakua na misimamo Sana katika maisha
 
Nimegundua pia ukiwa umetoa ulimi nje huwezi kuvuta pumzi vizuri!
 
Kabisa mkuu ndio maana nikiangalia watu ambao wana vipato vya chini wana injoi sana maisha kulinganisha na wenye pesa zao any way kuna kitu nimekipata hapa
pita uswahilini uko hutaamini,mtu anaishi chumba ambacho huwez kulaza ata gari yako humo maana mda wowote kinadondoka, bonge la ufaa, lakin hajal wala hawazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom