Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,390
I also wanted to ask. Thank you 🙂wenye hela hawana furaha???
I also wanted to ask. Thank you 🙂wenye hela hawana furaha???
kama yapi hayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nashangaa kuna mambo ya kipumbavu ya wazi wazi yanayofanya na maccm lakini kuna mitanzania bado inaona sawa tu
Unapokuwa na elimu pia unahangaika sanaaa na vitu kama kuandika kwa makini sanaaa bila hata kukosea ili usipotoshe ujumbe 🙂Unavyozidisha elimu ndivyo unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia.
Unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia ndivyo furaha inavyozidi kutoweka.
Mtu asiye na elimu anaweza kuwa ana tatizo la kutafutq kula na sehemu ya kulala tu.
Wewe mwenye elimu utafikiri kuhusu tatizo la nyuki kutoweka duniani na jinsi mimea itakavyokosa nyuki wa kurutubisha ustawi wa minea na jinsi watu watakavyokosa chakula.
Au global warming itakavyofanyq miji yote iliyo owani ianze kumezwa na maji ya bahari.
Au jinsi ma pandemic mapya kama Covid-19 yatakavyokuwa kitu cha kawaida kinachotokea kila miaka 10!
Au uwezekano wa kimondo kuangukia dunia na kumaliza uhai wote ndani ya muxa mfupi sana.
Au uwezekano wa nyota iliyopasuka karibu yetu kutuma gamma rays zitakazoikausha dunia na kumaliza uhai wote ndani ya sekunde kadhaa tu.
Hapo furaha utapata vipi?
Hii ni kweli kabisa.Kwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.
Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo
Je wajua mwalimu nyerere alikua hai Kabula hajafa?Kwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.
Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Nimegundua wanawake wafupi wana gubu sana ukilinganisha na wanawake warefu.
Au hivi ulishawahi kugundua kwamba wanaume na wanawake wote tuna chuchu ingawaje inamaanisha kabla ya kuwa wakiume au wakike tulianza kuwa wakike kama zygote Hadi pale Y chromosome ilipoingia na kuamua tuwe jinsia ya kiume na wengine wawe wa kike.
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
Wewe kitu gani ulishawai kukigundua?
Yulee Behaviourist & Mshana Jr hii inawahusu sana. Sijui walizaliwa bar ama ni product za huko hawa watu!??? Kidogo Mshana Jr hivi majuzi keshaanza kuukoka baada ya kuona ufagio wa kovidi unapita kasi.Kitu nilichogindua jamb au kitu unachokiwaza Sana,ndo unachokipataa au unakutanana nacho mara nyingi,
Kama unawaza Sana ngono utakuwa unapata Sana mademu au utakula Sana nyeto ,mambo yako yatakuwa yamekaa kingonono tu,
kauli mtambuka hiyo.wenye hela hawana furaha???
Na wakati mwingine hutokea umefika eneo fulani kwa mara ya kwanza lakini unagundua kuwa ulipata kuota ndoto inayoonyesha mazingira hayoNyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Moyo ni ogani ya mwili inayoendesha mzunguko wa damu mwilini. Kazi yake ni kama pampu ya damu. Hali halisi ni misuli inayosukuma damu kwenye mishipaUkipata jibu
Tutofautishie kati ya MOYO na ROHO.
Ahahaha! Nimejikuta nacheka tu!Kitu nilichogindua jamb au kitu unachokiwaza Sana,ndo unachokipataa au unakutanana nacho mara nyingi,
Kama unawaza Sana ngono utakuwa unapata Sana mademu au utakula Sana nyeto ,mambo yako yatakuwa yamekaa kingonono tu,
Hapo bado sijaingiza stress za bodi ya mikopo!Kama kweli hivi?
Shukurani kwa kunijulia hali.Kiranga How is the corona situation in America?
that's great my brother.Keep the fire burningShukurani kwa kunijulia hali.
Huku tunaelekea kwenye ahueni sasa hivi.
Jana nimepata chanjo ya kwanza ya Pfizer. Baada ya wiki tatu nitapata ya pili.
Wamarekani (serikali ya Biden)wanataka by May watu wote wanaotakiwa kuchanjwa na wanaotaka kuchanjwa wawe wameshachanjwa.
Kwa hesabu za jana, takriban watu milioni 2 wanachanjwa kwa siku.
Wingi wa watu kuchanjwa umeshaanza kuonesha kushuka idadi ya maabukizi, kwa sababu waliochanjwa hawaambukizwi.
Ila bado kuna washenzi huko Texas na Mississippi wanataka kuondoa amri ya kuwalazimisha watu kuvaa barakoa, hilo litasababisha milipuko ya maambukizi upya huko.
Nimefurahi sana kupata chanjo, sasa hivi nikitaka kutoka nje kupiga mishemishe zangu inakuwa haina hofu sana.
Ingawa bado naendelea kufanya kazi kutoka nyumbani na sina mpango w akutoka sana.
Shukurani kwa kunijulia hali.
Hapa ni fix kama fix nyingineSiku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi upigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
Kama ule utopolo wa Ubungo unavyoshangiliwa na vikina masanja mkandamizaji unaweza kusema hawa watu wamebobwa.kama yapi hayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.Kwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.
Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Nimegundua wanawake wafupi wana gubu sana ukilinganisha na wanawake warefu.
Au hivi ulishawahi kugundua kwamba wanaume na wanawake wote tuna chuchu ingawaje inamaanisha kabla ya kuwa wakiume au wakike tulianza kuwa wakike kama zygote Hadi pale Y chromosome ilipoingia na kuamua tuwe jinsia ya kiume na wengine wawe wa kike.
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
Wewe kitu gani ulishawai kukigundua?