Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,558
- 88,562
Wengine huhusisha jambo hilo na ReincarnationHii ni Spiritual Time traveling.
Your soul arrives before your physical body
Wengine huhusisha jambo hilo na ReincarnationHii ni Spiritual Time traveling.
Your soul arrives before your physical body
Siku ya mama duniani inakuwa tarehe ngapi mwezi gani ili niweze kukujibu 😊Leo ni siku ya mama duniani?![]()
Dah!Siku ya mama duniani inakuwa tarehe ngapi mwezi gani ili niweze kukujibu [emoji4]
Sio kweli..Ni made up facts za believer wa hayo mambo ya reincarnation.Wengine huhusisha jambo hilo na Reincarnation
wenye hela hawana furaha???Kuna kipindi nilikua nasikia watu wakisema, nmesoma maandiko tofauti tofauti yanayoelezea kwamba furaha hailetwi na vitu,nilibishana sana et mtu kama mo anakosaje furaha?? ila sasa najua furaha siyo vitu, na wenye vitu vingi ndio watu wasio na furaha zaidi
I don't think soHii ni kweli hata ukiangalia society zenye material possession nyingi ndio zinakuwa misery na depressed ukilinganisha na society zenye less material.
aiseeUnapokua na mwanamke mzuri asiye na gubu halafu una hela. Masaa manne Ni sawa na nusu saa.
Sasa uwe umekaa na flat screen, sura mbaya , mwenye gubu halafu huna hela. Siku moja Ni sawa na wiki
I got you hapo kwenye softwareSidhani Kama upo sahihi!!
Ubongo=brain
Akili=mind
In other words..
ubongo (brain)= hardware
Akili(mind) =software.
Human being= body, mind & soul
I stand to be corrected!
hiyo number 2[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee ni kweli mkuu, hata mimi nimegundua yafuatayo:
1.Watu wanakufa iwe kwa ugonjwa au ajali yote ni ili kupisha nafasi kwa viumbe vipya vinavyozaliwa.
2.Unapokuwa unatafta mchumba mwanzoni utaona kama wanapatikana kwa shida sana lakini siku ukimpata tu unaanza kuona ni kama wapo tele na kama mmeshapanga na kufunga ndoa basi kuna sauti flani inaanza kukuita ikisema umekosea kuchagua, muache ukamuoe flani!
3.Siku ukiwa na pesa mfukoni utaona ndani kama vile mmejaa kila kitu! Lakini ukipigika tu hata mswaki unafuta huuoni!
4.Ukiwa masikini au mtumishi wa cheo cha chini, utawaona matajiri au watumishi wa vyeo vikubwa kama ni watu wabinafsi na wasiojali wengine wenye kipato duni, lakini siku ukitajirika au kukwaa cheo cha juu, unaanza kuwaona wale wa chini kama ndio kero!
alisema nini maneno yake ya mwishoume
umenikumbusha babu yangu alikufa nikishuhudia taratibu masaa 4 hiv anatuaga aga. ila nahis kufa kunauma, kwanini weng urusha miguu na kupambana asiende kule?
aiseehata wanaume wafupi, kifupi watu wafupi ni balaa tupu
Unavyozidisha elimu ndivyo unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia.Mimi kitu nilichogundua kwenye maisha, sometimes kuna watu unawaona kabisa unawazidi vitu vingi tu kama ELIMU au KIPATO lakini unashangaa WAO wana FURAHA kuliko wewe [emoji1787]
Kiranga How is the corona situation in America?Unavyozidisha elimu ndivyo unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia.
Unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia ndivyo furaha inavyozidi kutoweka.
Mtu asiye na elimu anaweza kuwa ana tatizo la kutafutq kula na sehemu ya kulala tu.
Wewe mwenye elimu utafikiri kuhusu tatizo la nyuki kutoweka duniani na jinsi mimea itakavyokosa nyuki wa kurutubisha ustawi wa minea na jinsi watu watakavyokosa chakula.
Au global warming itakavyofanyq miji yote iliyo owani ianze kumezwa na maji ya bahari.
Au jinsi ma pandemic mapya kama Covid-19 yatakavyokuwa kitu cha kawaida kinachotokea kila miaka 10!
Au uwezekano wa kimondo kuangukia dunia na kumaliza uhai wote ndani ya muxa mfupi sana.
Au uwezekano wa nyota iliyopasuka karibu yetu kutuma gamma rays zitakazoikausha dunia na kumaliza uhai wote ndani ya sekunde kadhaa tu.
Hapo furaha utapata vipi?
Well, I kinda believe in reincarnation.Sio kweli..Ni made up facts za believer wa hayo mambo ya reincarnation.
I don't believe in it. Do you??
Kama kweli hivi?Unavyozidisha elimu ndivyo unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia.
Unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia ndivyo furaha inavyozidi kutoweka.
Mtu asiye na elimu anaweza kuwa ana tatizo la kutafutq kula na sehemu ya kulala tu.
Wewe mwenye elimu utafikiri kuhusu tatizo la nyuki kutoweka duniani na jinsi mimea itakavyokosa nyuki wa kurutubisha ustawi wa minea na jinsi watu watakavyokosa chakula.
Au global warming itakavyofanyq miji yote iliyo owani ianze kumezwa na maji ya bahari.
Au jinsi ma pandemic mapya kama Covid-19 yatakavyokuwa kitu cha kawaida kinachotokea kila miaka 10!
Au uwezekano wa kimondo kuangukia dunia na kumaliza uhai wote ndani ya muxa mfupi sana.
Au uwezekano wa nyota iliyopasuka karibu yetu kutuma gamma rays zitakazoikausha dunia na kumaliza uhai wote ndani ya sekunde kadhaa tu.
Hapo furaha utapata vipi?
kama huna hela huwezi jua, ila ukizipata ndo utajua pesa sio kila kitu,binafsi sina hela kiivyo, ila hizi za kubadilishia mboga nilizonazo zimenifanya nijue pesa sio kila kituwenye hela hawana furaha???
yapNamba 1 kuna ukweli.
Namba 2 sure. Déjà vu.
Namba 3 sound.