LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,890
Kwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.
Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Nimegundua wanawake wafupi wana gubu sana ukilinganisha na wanawake warefu.
Au hivi ulishawahi kugundua kwamba wanaume na wanawake wote tuna chuchu ingawaje inamaanisha kabla ya kuwa wakiume au wakike tulianza kuwa wakike kama zygote Hadi pale Y chromosome ilipoingia na kuamua tuwe jinsia ya kiume na wengine wawe wa kike.
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
Wewe kitu gani ulishawai kukigundua?