Hivi ulishawahi kugundua haya?

Hivi ulishawahi kugundua haya?

Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
''UNA UTHIBITISHO GANI KWA HILI??
Takwimu zinatoka kwa Global calling center wanakiri hili.
 
Miongoni mwa swali gumu Ni kuulizwa "Describe yourself"
 
Nilichogundua
1:Janga la corona asilimia kubwa linawatesa na kuwapa wasiwasi mkubwa na kuwaua watu wasomi wa hali ya juu na wa kati.

2:Ukijikuna sikio siyo sikio linalowasha ila unachokikuna ni koromeo ndo linalowasha

3:Mwanamke akigundua unampenda sanaaa atakusumbua sanaaa

4:Ukilia sana unapunguza maumivu
 
Watoto wengi wanaosoma kuanzia darasa la kwanza mpk darasa la saba hawajui Serikali ni dubwasha gani.
 
Ukimkuta jamaa kalala kitandani, unamuona kama hivi tu! [emoji23][emoji23]

Tutafuteni hela wanaume maana hata kuumbwa kwetu hatuna msaada wa make up wala Maskara Kama wewe Ni sura mbaya kitakachokuokoa ni hela yako tu.

Tumekusikia tutatafuta hela.. Tunaapa! [emoji16]View attachment 1716286
Jamani dada mmefikia hatua ya kutufananisha na mbwa? Sawa tunashukru sana, sawa
 
Nyingine ni kuhusu KUFA

- Kile kitendo cha kukata roho huwa hakina tofauti na kuingia kwenye usingizi mzito sana.

Nafikiri, tofauti na imani ya wengi, kukata roho hakuumi na inawezekana ikawa ni kama kutua mzigo mzito uliokuelemea kwa muda mrefu; ama vile unajisikia unapooga baada ya kufanya mazoezi makali.
As if kufa ni kuingia kwenye realm nyingine ya maisha yenye uhai, kwamba usikie vizuri kama kutua mzigo!???
 
Kitu unahisi kama ushawahi kukifanya before. Kumbe ata hujawahi. Ubongo unakudanganya.
Hapana!!ni kweli ulishawahi ishi hapo kabla au ulishafanya hicho kitu!in previous life!!!!LIFE AFTER DEATH!!KAMA UNA AMINI KATIKA IMANI KUA NAFSI INAISHI NA KUVIKWA MWILI MPYA PALE UNAPOKUFA KIMWILI!!!
 
Me nimegundua Kuwa mwanaume anaweza kuridhika na mwanamke mmoja.
 
Umegundua kuwa,
Ukiwa unasafiri kwenda mahali flani ambapo hukuwahi fika kabla unakuwa na ramani flani kichwani kuhusu hapo mahali.
Ikifika unagundua papo tofauti na ramani yako ya awali.
 
Nimegundua kwenda sehemu ambayo ndo kwa mara ya kwanza unakwenda safari yake huwa ni ndefu zaidi kuliko wakati wa kurudi na hata safari za kwenda kwa mara nyingine
 
As if kufa ni kuingia kwenye realm nyingine ya maisha yenye uhai, kwamba usikie vizuri kama kutua mzigo!???
Ndio mkuu

Amini, kufa ni sawa na kupatwa na usingizi mzito sana .... So usiogope, usiogope kufa, kufa hakuumi hata.

If is to meet after life, utakuja kuniambia
 
pita uswahilini uko hutaamini,mtu anaishi chumba ambacho huwez kulaza ata gari yako humo maana mda wowote kinadondoka, bonge la ufaa, lakin hajal wala hawazi
Sahihi.

Na hata mimi nimefanya utafiti binafsi kuhusu furaha na nikaandika uzi wangu kuhusu hilo

Unaweza kupitia hii 👇👇👇

 
Kabisa mkuu ndio maana nikiangalia watu ambao wana vipato vya chini wana injoi sana maisha kulinganisha na wenye pesa zao any way kuna kitu nimekipata hapa
Na hata mimi nimefanya utafiti binafsi kuhusu furaha na nikaandika uzi wangu kuhusu hilo

Unaweza kupitia hii 👇👇👇

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom