Hivi ulishawahi kugundua haya?

Hivi ulishawahi kugundua haya?

Hii situation inanitokeaga sana kabla sijaielewa nilikuwa napata ki hofu..
It is perfectly real; it is the very emblem of being human. Some people experience it more often than not but they simply don't recognize ama wanakuwa confused by it. Don't be surprised mtu akikung'ang'aniza kwamba ^But I feel I paid you already^
 
Mimi kitu nilichogundua kwenye maisha, sometimes kuna watu unawaona kabisa unawazidi vitu vingi tu kama ELIMU au KIPATO lakini unashangaa WAO wana FURAHA kuliko wewe 🤣
Kuna kipindi nilikua nasikia watu wakisema, nmesoma maandiko tofauti tofauti yanayoelezea kwamba furaha hailetwi na vitu,nilibishana sana et mtu kama mo anakosaje furaha?? ila sasa najua furaha siyo vitu, na wenye vitu vingi ndio watu wasio na furaha zaidi
 
kuna kipindi nilikua nasikia watu wakisema, nmesoma maandiko tofauti tofauti yanayoelezea kwamba furaha hailetwi na vitu,nilibishana sana et mtu kama mo anakosaje furaha?? ila sasa najua furaha siyo vitu, na wenye vitu vingi ndio watu wasio na furaha zaidi
Hii ni kweli hata ukiangalia society zenye material possession nyingi ndio zinakuwa misery na depressed ukilinganisha na society zenye less material.
 
Unapokua na mwanamke mzuri asiye na gubu halafu una hela. Masaa manne Ni sawa na nusu saa.
Sasa uwe umekaa na flat screen, sura mbaya , mwenye gubu halafu huna hela. Siku moja Ni sawa na wiki
[emoji23][emoji23][emoji23] tuchague kwa makini Sana wanaweza kufupisha au kurefusha muda wetu wa furaha na amani hapa Duniani Hawa Wanawake.

Isitoshe nimegundua wanawake wafupi wana gubu Sana ukilinganisha na wanawake warefu.
 
Usisahau kuwa wanawake warefu wana vishimo vya hips] HIP DIPS] vinaharib mshikamano wa tako! wafup wamejaza kote. sasa bila tako una nini tena!
 
Kwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.

Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.

Nimegundua wanawake wafupi wana gubu Sana ukilinganisha na wanawake warefu.

Au hivi ulishawahi kugundua kwamba wanaume na wanawake wote tuna chuchu ingawaje inamaanisha kabla ya kuwa wakiume au wakike tulianza kuwa wakike kama zygote Hadi pale Y chromosome ilipoingia na kuamua tuwe jinsia ya kiume na wengine wawe wa kike.

Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi upigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"

Wewe kitu gani ulishawai kukigundua?

Mimi mpaka muda huu nimegundua wanaume hampendezi kuwa broke...yaan mwanaume hapendezi kbs kuwa alosto apeche alolo...raha ya mwanaume hata ukiomba 50000 anaitolea mbele ya mfuko wa shati..sijui kama mnaelewa...

Raha ya mwanaume awe anachaj akili fast za kuongeza kipato..mwanaume alopoa hana hela wanaboa hata akipumua unataman akate pumzi
 
Ukimkuta jamaa kalala kitandani, unamuona kama hivi tu! [emoji23][emoji23]

Tutafuteni hela wanaume maana hata kuumbwa kwetu hatuna msaada wa make up wala Maskara Kama wewe Ni sura mbaya kitakachokuokoa ni hela yako tu.

Tumekusikia tutatafuta hela.. Tunaapa! [emoji16]
images%20(29).jpg
 
Mimi mpaka muda huu nimegundua wanaume hampendezi kuwa broke...yaan mwanaume hapendezi kbs kuwa alosto apeche alolo...raha ya mwanaume hata ukiomba 50000 anaitolea mbele ya mfuko wa shati..sijui kama mnaelewa...
Raha ya mwanaume awe anachaj akili fast za kuongeza kipato..mwanaume alopoa hana hela wanaboa hata akipumua unataman akate pumzi

Leo ww Wangari Maathai miti huendi kuiotesha tena huko Rift Valley, nasikia kuna deforestation noma na robo!???
 
Hii ni kweli hata ukiangalia society zenye material possession nyingi ndio zinakuwa misery na depressed ukilinganisha na society zenye less material.

Ni kwa vile furaha siyo bidhaa hilimu wala stahikimu (derived nor earned commodity), bali rasilimali majaalia (providential resource).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom