Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Kuna watu nikiwambia wewe ni genius huwa wanakataaa...

Nazani wakiona hii wataamini.
Mkuu kiukweli umekua mtu wa kuni inspire sana aiseee yaan huwa unawaza sana beyond human abilities
hahaha, mzee wangu,huu unafiki umevuka viwango vya kichawa
 
Ni nzuri ili tuweza kuwaelimisha wengine,kuna inchi zilikuwa na Ustarabu mpaka wakoloni wenyewe walishanga,kuna Nyumba wanajua Mzungu na ukristo ndivyo vilivyoleta ustarabu, umeshawahi kusikia historia ya Misri? Mungu mwenyewe anamwambia nabii Ibrahimu,usikae bure tembeatembea ukaone wenzako walivyostarabika,anafika Misri na kukutana na bonge la mji likiwa na kila kitu,mpaka wakamya'nganya mke wake Sala?
Ukristo ulishafika africa kabla ya wazungu kuja
 
Ni "utamaduni" unaorithishwa na kuenezwa kupitia katika jamii yenye imani hiyo. Inawezekana inachangiwa na mafundisho yanayo fanyika kwenye imani yenyewe.
Kama mtu anaaminishwa kuwa binaadam mwenye imani tofauti na yako humpi thamani sawa na yule ambaye ni wa imani yako, bila kujali anakotokea mtu huyo, funzo la namna hiyo lina kasoro.
Kuna marais nao ni wa dini nyengine hapa nchini na kiwango chao cha mauwaji kimezidi kiwango, vipi nao ndiyo utamaduni wa dini zao?
 
Punguza jazba we POPOMA,Tafiti zinajibiwa kwa tafiti, mimi sijajitangaza kwamba mimi ni bingwa, ila wewe nakuona huna hoja, zaidi ya mihemko!!

Kabla ya kukosoa uwe unasoma vizuri!! Sijawahi kusema wala kuandika neno leso limetokana na kiarabu, nimeandika ni kireno, Nakupa kiambata bcha nilivyoandika.

Kusoma kwako au UMAHAMUMA wako haubadili ukweli kuwa kiswahili hakikuletwa Hakikuzaliwa na WAARABU, wala Uislamu, Bali kiarabu kimechangia maneno kama lugha nyingine, huo ndo ukweli mchungu.

Na mambo haya nayojibia ni kadiri ya rejea za wanazuoni, ukitaka nenda hata chuo chenu Cha KIISLAMU Muslin University College Morogoro, Idara ya Kiswahili utapata majibu hayahaya.

Namna nyingine malizia futuru tusubiri daku 🤣🤣🤣
Unajua vitu vingine kama hujui kaa kimya tu,mimi naongea kiarabu,na kireno ndiyo unifundishe? Toka nimejua kireno ni neno Meza linalofanana na kireno,lakini kireno kinafanana na kilatini,kispaniola na kifaransa, ni kama kiarabu na kiswahili,
Watu wanaweza wakapanga wakuuwe kwa lugha ya kireno hutaweza kuambulia kusikia hata neno moja,kusalimia tu bom dia,boa tarde na maneno chungu nzima ambayo hujawai kusikia
Lakini kiarabu mpaka kuzitaja siku za wiki zinafanana,kuhesabia kunafanana,ni vitu vingi sana,ukiwa kwenye inchi zinazoongea kireno utakachosikia wewe labda waongea kibantu,ndiyo lugha zao zinaingiliana sana na kiswahili lakini siyo kireno
 
Kuna marais nao ni wa dini nyengine hapa nchini na kiwango chao cha mauwaji kimezidi kiwango, vipi nao ndiyo utamaduni wa dini zao?
Sijui hilo.Huenda inawezekana ikawa hivyo kama utafafanua unavyoona wewe. Mimi nimefafanua kufuatana na ninayo yaona kwa hao nilio walenga. Wewe fafanua kwa hao unao walenga.
 
Sijui hilo.Huenda inawezekana ikawa hivyo kama utafafanua unavyoona wewe. Mimi nimefafanua kufuatana na ninayo yaona kwa hao nilio walenga. Wewe fafanua kwa hao unao walenga.
Suala siyo utamaduni wa watu, bali suala ni watu ambao wanaochaguliwa siyo sahihi!
 
Unajua vitu vingine kama hujui kaa kimya tu,mimi naongea kiarabu,na kireno ndiyo unifundishe? Toka nimejua kireno ni neno Meza linalofanana na kireno,lakini kireno kinafanana na kilatini,kispaniola na kifaransa, ni kama kiarabu na kiswahili,
Watu wanaweza wakapanga wakuuwe kwa lugha ya kireno hutaweza kuambulia kusikia hata neno moja,kusalimia tu bom dia,boa tarde na maneno chungu nzima ambayo hujawai kusikia
Lakini kiarabu mpaka kuzitaja siku za wiki zinafanana,kuhesabia kunafanana,ni vitu vingi sana,ukiwa kwenye inchi zinazoongea kireno utakachosikia wewe labda waongea kibantu,ndiyo lugha zao zinaingiliana sana na kiswahili lakini siyo kireno
Bado hamna unachojibu kuhusu mada husika.

Wewe ndo unapaswa kukaa kimyaa, ili watu wasijue kiasi Cha UJUHA wako, umehama kwenye hoja/mstari.

Hoja ni kwamba kiswahili hakijazaliwa kutokana na waarabu, waarabu walipokuja wakikuta kiswahili kipo, isipokuwa kilichukua maneno toka kiarabu.

Hoja ya (language family) lugha inatoka, kipo nje kabisa ya mada.

Kwa tathmini ya haraka, huna WELEDI na mada iliyopo hapa, ndo maana huna chochote Chenye mantiki unachojibu .

Mjadala huu msingi wake ni
taaluma zaidi , NAMI nimetoa majibu yenye msingi wa kitaaluma, wewe UNALETA NGONJERA,🤔🤔🤔

Mbinu mmojawapo ya kuficha UJINGA ni kunyamaza kimyaa.

Unapojibu jitahidi kujibu kwa rejea za kitaaluma zaidi namna nyingine unajidharirisha.

Punguza povu "MAHAMUMA"🤔🤔🤔
 
Ukristo ulishafika africa kabla ya wazungu kuja
1743184547474.jpeg
 
Kwani kabla ya ujio wa Islam Africa ilikuwa haifanyi business ?

Tafuta kitabu cha Walter Rodney "Africa development before 7 century
Umejibu vizuri na wakumbuke kuna miji mikubwa ilizariwa kutokana na Uisilamu, kama vile Kilwa ikiwa na ustalabu wa kutosha,mfano Vasco dagama alipofika Kilwa aliikuta ni Inchi ikiwa na muundo wa utawala wa selikari pamoja na hera yake,yaani kulikuwa na ustarabu wa kutosha, na ilikuwa ikifanya biashara na inchi za mbali lakini walipokuja wazungu wenye wivu kama wewe mleta maada waliiangamiza ile miji ili kufuta historia zake waweze kutuletea huu ujinga ambao unaitwa demokrasia,
Wakati mjerumani anaivamia bara kutoka zanzibar aliwakuta kina Abushiri,Milambo,Mkwawa na wengine wakiwa wanajua kuandika na kusoma kwa lugha ya kiarabu na wamestarabika na huo ustarabu ulitokana na Uisilamu,ila walioandika histori yetu waliipotosha ili ioneka walikuta watu wajinga kama wewe mleta maada,
Zanzibar ilikuwa na kila kitu mpaka na ubalozi,Treni,Shule,Vyuo, Vitabu maghorofa, hiyo sababu ya Uisilamu,lakini hapo Mzizima Daresalam yalikuwa mapori yakiwa na simba,kumbuka Sultani ndiye aliyekuja kujenga Ikulu ya Daresalam hapo magogoni badaye sanaaa,
 
Pumbavu Yani wagunduzi wa kizungu waumize kichwa sifa uzipeleke Kwa waarabu.
Vitu vingi sana kuanzia hesabu hadi medical science ,vifaa vingi unavyoviona leo mahospitalini alivumbua mtu anaitwa zahrawi ambaye vitabu vyake hadi leo bado wazungu wanatumia kufundishia ulaya
Algebra etc vyote hivyo walileta muslim scholarspumb
 
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Uidlzmu ulileta
1.Elimu,namba kuanzia 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni namba za kiarabu
2.Lugha ya Kiswahili,na Swahili ni neno la kiarabu kwa maana ya Pwani.
3.Ujenzi wa majumba mengi ya ghorofa za kizamani,ni archtect ya kiislamu.
4.Kuanzishwa,kwa,tiba za kiarabu,ambako mpaka sasa,zinatumika.
5.Mazao kama mahindi,walileta waarabu kutoka India.
6.Ufugaji wa wanyama kibiashara.
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
 
Suala siyo utamaduni wa watu, bali suala ni watu ambao wanaochaguliwa siyo sahihi!
Unaweza kuwa sahihi kwa hili; lakini bado halijaondoa dhana ya uhusika wa utamaduni unaoenezwa katika jumuia husika.
Tabia/tamaduni ya jamii husika haihusishi viongozi pekee.Viongozi ni sehemu tu ya jamii hiyo, yenye utamaduni unao andamana na imani yenyewe.
 
Bado hamna unachojibu kuhusu mada husika.

Wewe ndo unapaswa kukaa kimyaa, ili watu wasijue kiasi Cha UJUHA wako, umehama kwenye hoja/mstari.

Hoja ni kwamba kiswahili hakijazaliwa kutokana na waarabu, waarabu walipokuja wakikuta kiswahili kipo, isipokuwa kilichukua maneno toka kiarabu.

Hoja ya (language family) lugha inatoka, kipo nje kabisa ya mada.

Kwa tathmini ya haraka, huna WELEDI na mada iliyopo hapa, ndo maana huna chochote Chenye mantiki unachojibu .

Mjadala huu msingi wake ni
taaluma zaidi , NAMI nimetoa majibu yenye msingi wa kitaaluma, wewe UNALETA NGONJERA,🤔🤔🤔

Mbinu mmojawapo ya kuficha UJINGA ni kunyamaza kimyaa.

Unapojibu jitahidi kujibu kwa rejea za kitaaluma zaidi namna nyingine unajidharirisha.

Punguza povu "MAHAMUMA"🤔🤔🤔
Labda tuongee kama tuko chekechea,inamana Waarabu walichukua maneno ya kiswahili wakapeleka uarabuni?au waswahili kutokana na waarabu kuwa mabwana zao walikopi maneno yao wakaingiza kwenye kiswahili?
Unajua unapoongea kiarabu huwezi kuongea sentensi kumi bila kutamka neno la kiswahili,ingawa kwenye kuandika ndiyo tofauti kwa mfano neno mpaka alfajiri ni kiarabu na linatamkwa hivihivi na tafsiri yake ni hiyohiyo,wakati kwa kireno utasema ate demanha,unaziona tofauti hapo?
Wewe ungekuwa mwanafunzi wangu ningekupiga nondo ya kichwa boli siyo fimbo
 
Umeleta daku na futari
Hapana umeleta uvumbs na manemane Kwa Musa kukojoa ember Kwa Mwamposya kupandishiwa mapepo wanawake Kwa Suguye.
Usisahau chupi za upako Kwa Clear Malissa
 
Attachments

  • FB_IMG_16781542529941418.jpg
    FB_IMG_16781542529941418.jpg
    34.9 KB · Views: 17
Uislam umeleta mfumo wa kimahesabu unaotumiwa na vifaa vya electronics kama simu, Computer n.k. yaani Algorithm
Bila huyu mwamba Mohammed Mussa Al khawarithim,dunia ingekuwa gizani.Huyu ndio aligundua Algebra,tunasosoma dunia nzima mashuleni na kutumika katika Information technology.Kila unachokiona duniani leo,kinatokana na IT,na IT ni algebra,na algebra ni muislamu huyu Mohammed Mussa Al khawarithim,ndio pia mgunduzi wa logarithim.
 
Wamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..
Wakiristo mnajifanya mumesoma lkn kola siku wa Africa wanalalamika maisha magumu, sasa mumesoma nini?
 
Back
Top Bottom