Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Zaidi ya ugaidi sidhani kama kuna kingine.
 
Cha kwanza ilicholeta
1.kuondoa ibada za sanamu na kishirina

Mazao
1. Mpunga(wali)
2.zeituni (olives)
3.pineapple
4.Fruits and tropical plants
5.Maharage (kutoka mashariki ya kati)

Alafu la mwisho Biashara, ukitaka kwenda zanzibar unapanda boti za nani? Ukienda stendi ya magufuli mabus yaliyojaa ni ya kina nani? Ukiangalia Simba na Yanga kwenye Tv station inayorusha ni ya nani?

Ukinywa Energy drinks unakunywa ya nani? Timu yako Simba au Yanga imedhaminiwa na nani?
 
Mi binafsi naukubali uislam kwa kuleta maarifa ya kutawaza kwa maji...baasi!.
 
Uislam umeleta ustaarabu na biashara Pwani na ndio sababu Makafiri wamehamia Dar kwa wingi.
Leo makafiri wanakimbia makwao kwenda kwa waswahili kutafuta maisha
Hao Makafiri kwanini wasikimbilie Ujiji Kigoma walipojaa Waarabu koko na Waislam kibao!? Hao unaowaita makafiri hapa Dar hawajawafata Waislam ila walifata fursa ya kijiografia ya eneo hili ambayo hao wenyeji (waislam) hawakuitumia. Kwa maana nyingine makafiri ndo wameleta hayo maendeleo unayojivunia
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Umeleta majini
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Ukristo ulileta nini?..ulileta zao gani?
 
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Uislam au waislam!?
 
Vitu vingi sana kuanzia hesabu hadi medical science ,vifaa vingi unavyoviona leo mahospitalini alivumbua mtu anaitwa zahrawi ambaye vitabu vyake hadi leo bado wazungu wanatumia kufundishia ulaya
Algebra etc vyote hivyo walileta muslim scholars
🤣 🤣 Huu nao ni ujinga Ulioleta Uislam huko Yemen hawamjui huyo Zahrawi au
 
Dunia ya magharibi inasema uislamu umeleta ugaidi duniani na kuisambaza, japo mimi siamini hilo
Kama huamini nenda YouTube search kuhusu Gereza linaitwa Sydinia huko Syria yaani Watu walikuwa wanasagwa na kutupwa kwenye Kemikali... Imagine hao ni wao kwao
 
Nae Uislam ni tamaduni na njia ya identification kama ulivyo Uafrika. Uafrika mpaka dakika hii umefanya nn afrika?
Usingemjibu mjinga ukilumbana nae nawe unakua mjinga yy lengo ni kutukana watu sasa mwache hawezi kukaa live wiki nzima atachoka sasa muulize hizi nyuma wanazoishi waislamu sisi tumejengewa na ukristo kwa mawazo yake ukristo ni alfa na omega mwacheni huko huko
 
Dini haijawah kuwa msingi wa maendeleo ya nchi yoyote Duniani, na Tanzania yangu kuna tatizo kubwa sana la kushindwa kutofautisha kati ya mila na tamaduni za nchi za kiarabu na dini ya kiislamu, watanzania wengi wanachukulia baadhi ya mila na tamaduni za kiarabu kama ndo uislamu, hivyo hivyo kwa wakristo, tunachanganya mambo yalipo Vatican au sehemu nyngne na dini ya kiikristo.
 
Labda tuongee kama tuko chekechea,inamana Waarabu walichukua maneno ya kiswahili wakapeleka uarabuni?au waswahili kutokana na waarabu kuwa mabwana zao walikopi maneno yao wakaingiza kwenye kiswahili?
Unajua unapoongea kiarabu huwezi kuongea sentensi kumi bila kutamka neno la kiswahili,ingawa kwenye kuandika ndiyo tofauti kwa mfano neno mpaka alfajiri ni kiarabu na linatamkwa hivihivi na tafsiri yake ni hiyohiyo,wakati kwa kireno utasema ate demanha,unaziona tofauti hapo?
Wewe ungekuwa mwanafunzi wangu ningekupiga nondo ya kichwa boli siyo fimbo
Level yako ya understanding,ni ndogo mno,kukujibu wewe ni kupoteza muda, huna nia ya kuelewa na hutaelewa.🤣🤣🤣😅🤣😅🤣
 
Back
Top Bottom