Ina maana hujui hata kusoma au ndio veta imeshawaharibu, acha kukariri soma kuhusu history of medical science, algebra and alogarithm ujue nani aliyegundua hivi vitu siyo unakariri tuPumbavu Yani wagunduzi wa kizungu waumize kichwa sifa uzipeleke Kwa waarabu.
hata hiyo the famois covid vaccine kutoka pfizer waaagunduzi ni waislamu kutoka uturuki ni mtu na mke wake, kusoma hamsomi mnabaki kukariri tu