Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,904
- 146,008
Logical non sequitur fallacy.Mbin
Mbona Prophet Mohammed alikuwa hajui kusoma Wala kuandika
Logical non sequitur fallacy.Mbin
Mbona Prophet Mohammed alikuwa hajui kusoma Wala kuandika
Hongera bro naona umeamua kuchambua hadi maneno ya kwenye coment yanguBaadhi ni kiarabu
Mashariki ni kiarabu
Lugha ni kiarabu
Kiswahili ni neno la kiarabu
Kuzidi ni neno la kiarabu
Shukrani sana Madam 🙏🙏🙏Hongera bro naona umeamua kuchambua hadi maneno ya kwenye coment yangu
Naongelea Afrika mashariki hii ya Kenya Uganda na Tanzania mkuu, huku hatukuwa na maandishi.Kama Africa Mashariki ni pamoja na Ethiopia na Eritrea utamaduni wa kusoma na kuandika ulikuwepo kabla ya ujio wa waarabu na Uislamu.
Mi "Nimekula sana MBUNYE" za wavaa w majuba na hijabu" wapo vizuri, Kuna mmoja anamaliza vyungu vya mwisho, baada ya Eid naanza Kunyandua Tena🤣🤣🤣🤣Waislamu achaneni na Hawa watoto wa PAPA ili wapate muda mzuri wa kuzibuliwa visamvu
Hawa hawataki kujua ila ni ubishi tu
UJINGA ni mzigo 🤣🤣🤣🤣Unavyoandika kitu humu inabidi uwe na uelewa wa kutosha utachekesha ndugu yangu,kuna mabingwa wa Lugha humu ndani usijione kama uko kijiweni unazungumza na watu unaowajua elimu zao,kiarabu kina asilimia nisema 40 katika maneno ya kiswahili,mimi nimesoma kiarabu,na kileno ndiyo Lugha yangu,aliyekwambia Lesso ni neno la kiarabu nani?Voçe no stà boa de cabeça labda neno ninalojua linafanana na kireno ni Meza peke yake,hiyo lesso inatwa lesenho
Wew ndio Hammaz au una id mbili😅😅😅Shukrani sana Madam 🙏🙏🙏
Unautani na watu wew si bure utakula iddi na mapengo mdomoni🤣🤣🤣Mkristo kaleta spika ya msikitini Muisilam akaleta azana😁
Mbili?? mbona kidogo?? ziko 150Wew ndio Hammaz au una id mbili😅😅😅
Nina moja tu, na Sina sababu ya ID mbili,mtu mwenye ID zaidi ya Moja ni "TUMBIL"🤣🤣Wew ndio Hammaz au una id mbili😅😅😅
Sio utani, ni ukweli tupu,🤣🤣🤣Unautani na watu wew si bure utakula iddi na mapengo mdomoni🤣🤣🤣
Sisi Wabongo good sense of humour ni asili yetu ndio maana huwa hatuchinjani kama majirani zetu.Unautani na watu wew si bure utakula iddi na mapengo mdomoni🤣🤣🤣
We nae mpambe🤣🤣🤣Sio utani, ni ukweli tupu,🤣🤣🤣
Sisi Wabongo good sense of humour ni asili yetu ndio maana huwa hatuchinjani kama majirani zetu.
Futariuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Kutokana na elimu inayotolewa humu JF wafia dini wanazidi kupungua Tanzania.We haya watu hubadilika hatutabiriki
Nitaorodhesha vitu vinavyoletwa na uislamu 👉Tende,Makobazi,Kanzu,Barakashia,Abaya,nkuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Uislamu umeleta tender na ugaidi.uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Ni "utamaduni" unaorithishwa na kuenezwa kupitia katika jamii yenye imani hiyo. Inawezekana inachangiwa na mafundisho yanayo fanyika kwenye imani yenyewe.Sasa huo ni uislamu au ni tabia ya mtu?
Hivi anayesema kiswahili kina maneno ya kireno,anafahamu kweli kireno huyo mtu?Logic ipo hivi, sio kweli wao wamesababisha kuzaliwa kwa kiswahili, Kuzaliwa maanake kitu hakikupata kuwepo kabla.
Kiswahili kilikuwepo kabla ya ujio wa wageni waarabu, wareno, waajemi, Wapersi ambao walikuja Afrika mashariki.
Walipokuja walikuta kiswahili kikiwepo kupitia dialects Lahaja mbalimbali
1.Kipate
2.Kipemba
3.Kihamidu
4.Kitumbatu
5.Kimshovi
6.Kimombasa
7.Kiunguja
8.Kingazija
Hivyo ni viswahili vilivyokuwepo, vilichukua maneno toka kiarabu,kireno, kiajemi,japokuwa kiarabu kina maneno mengi zaidi kulinganisha na lugha nyingine.
Katika ukuaji wa lugha yoyote duniani ni pamoja na njia ya kuchukua maneno baadhi Toka lugha nyingine.
Kwahiyo waislamu wa mashariki ya kati na mashariki ya mbali walipokuja kwenye upwa wa Afrika walikuta waswahili Saheli.
KUSEMA WAO WALISABABISHA KISWAHILI KIZALIWE NI UONGO
Soma ,fanya utafiti wa wanazuoni hasa Shihabudin Shihaghadin