Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

Pato la Uingereza kwa kichwa ni dola za kimarekani $ 37 000 ambazo ni ndogo sana ukichukulia Nchi ambayo ilitawala karibu 1/4 ya Dunia wakati kuna nchi kibao hazikuwa na Koloni hata moja kama Korea Kusini zimeshagota Dola za kimarekani 30 000 na zinakuwa... Na hapo Waingereza bado wanaiba Rasilimali za makoloni yao kwa bei kutupa lkn bado majanga tu, Je wangekuwa hawana kitu pa kuiba kama akina Taiwani, Korea &Co. sio ndio wangekula barafu? na hapo bado Waskotlandi hawajaaamua kujitenga wakijitenga hao, hiyo takataka kwishney...

GDP ya $37,000 unaiita ndogo sana?
 
i

Ahhahahaha hawa leo walinichekesha sana
 
GDP ya $37,000 unaiita ndogo sana?

kila kitu ni relative, kwa mfano GDP ya 37 000 kwa nchi kama Korea au TZ ingekuwa nyingi sana lkn kwa nchi ambayo imetawala krb 1/4 Dunia na bado wanaiba rasilimali mpaka leo kutoka karibu Afrika yoote kuwa na GDP kama hiyo ni masihara, ona kitu Uswisi hakuna Koloni wala nini wamegonga 80 000 Dola la kimarekani!

Ndugu, wewe huna hoja kabisa!

Hivi, umeshawahi kufika Uingereza wewe au unapasikia tu?

Halafu uchumi haupimwi kwa GDP tu. Na hata hiyo GDP, ina categories pia.

Ila kama unatumia kigezo cha nominal GDP per capita kutoka wikipedia, basi hata Marekani (ambayo ndiyo ina uchumi mkubwa zaidi duniani) si chochote.

Hoja yako kwamba Uingereza ni choka mbaya haina mashiko hata kidogo!
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

Kwa nini usijiulize kwa nini hujakutana na kitu kimeandikwa made in Tanzania,pili jiulize kwa nini CCM waliweza kutawala Tanzania, ukipata majibu uyalete hapa we mburula
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

Nothing last forever....!!!
 
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...

mkuu unaongea mambo ys maana unaharibu hapo kwenye kombe la dunia..
kombe la dunia halihusian chochotr na nchi kuwa vizur..

ivory coast ametoka akiwa ameshnda mechi moja,ina maana ivory cost ipo vizur kiuchumi zaid ya england ambayo haijashnda hata mech moja.!

think b4 typing..
 
(1) Dunia imebadilika; wakati wa kujinyakulia ardhi na kuitawala umekwisha. Ila waingerea walikuwa mbele ya dunia yote wakanyakua maeneo na kuyatawala kwa muda mrefu sana.

(2) Kipimo ulichotumia cha matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu ni kipimo dhaifu sana. Hata Marekani imeanza kucheza mpira wa miguu majuzi tu ingawa sidhani kama una wasiwasi wowote na nguvu za marekani.

(3) Ingawa Uingereza ni mojawapo ya nchi zinazojulikana kuwa na timu kali za mpira wa miguu, wachezaji wengi kwenye timu hizo ni wa kulipwa wakiwa ni wale best wanaotokea nchi nyingine. Kwa hiyo kombe la dunia ambalo kila mchezaji anatakiwa kuchezea nchi ya uraia wake ndiyo maana unakuta uingereza haina nguvu.

(4) Kama hujui kuwa uingereza inatengeza vitu basi ni kwa sababu umezowea vitu vya ubora wa chini na bei nafuu vinavyotokea nchi za Asia. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani ndiyo mataifa yanayojulikana kwa kutengeneza vitu vya ubora wa hali ya juu duniani. Injini kubwa za ndege za airbus na baadhi ya ndege za boeing hutengezwa na rolls royce ya uingereza; ndege kasi za Concorde zilitengezwa na ushirikiana baina ya Uingereza na Ufaransa; magari ya kifahari ya jaguar, rolls royce na range rover na kama ulikuwa hujui, ile rada ya kimataifa ya BAE iliyosababisha tuibiwe pesa na wajanja, vyote vinatoka uingereza.
mkuu nataka kuweka rekodi sawa. marekani imecheza kombe la dunia mara ya kwanza ni 1930 lilipoanzishwa kwa hyo usiichukulie poa sana
 
mkuu nataka kuweka rekodi sawa. marekani imecheza kombe la dunia mara ya kwanza ni 1930 lilipoanzishwa kwa hyo usiichukulie poa sana

Hiyo rekodi haisaidii kuondoa ukweli kuwa mpira wa miguu kama tunavyoujua (Football) haukuwa maarufu huko marekani ambako unajulikana kama Soccer kwa vile football yao ambayo ndiyo maarufu sana haichezwi sehemu nyingine yoyote duniani labda zile nchi zinazocheaza rugby zinaweza kuufahamu kidogo. Mpira huu wa miguu (soccer) kwa marekani kwa muda mrefu ulikuwa unajulikana kama mchezo wa wasichana tu; timu ya mpira wa miguuu ya wasichana marekani ni kati za kimataifa zinazoogopwa na nchi nyingi duniani..
 
UK wamewekeza kwenye league zao za soccer.... coz wapo after taxes for national economy.
World cup is of no significant for them.
 
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...

Japan imefanya vibaya kwenye kombe la dunia lakini ni nchi ya tatu kwa utajiri! Unalizungumziaje Hilo mkuu? Marekani ndio super power lakini kwenye football ranking za FIFA wanashika namba ngapi? Mpira unadunda mkuu na kombe la dunia hili limekuwa na maajabu mengi sana.
 
Una miaka Mingapi dogo? Kasome Historia ndipo utajua nini maana ya Super Power... Huwezi linganisha na Soccer... nadhani utakuwa na akili kama za Iran na argentina walipoweza kuifunga England wakaona kama ndio wamelipa kisasi cha kunyang'anywa Kisiwa chao... japo hicho kisiwa wanaoishi humo ni Waingereza wenyewe... Iran naye aliifunga Marekani kwenye World cup huko kitambo akaona ndio kaishinda kwa kila kitu... ni Akili ndogo sana...

Hujawahi ona kitu kimeandikwa Made in U.K pole sana sisi tuliotumia tokea kitambo hadi sasa tunasikitika kuvikosa kwani wao wanajari ubora kwanza... British airways waliondoka kwa sisi kutopenda ubora wakatuacha na makanjanja wetu tuwapendao... hawajui au hawataki kitu kinachoitwa Rushwa... Ukiwa na kitu kilichoandikwa Made in U.K lazima ueshimike na kutambulika mpenda vitu bora... Nenda ukatue London,Manchester,New Castle na miji mingine ujue kwanini walikuwa super power... Marekani nayo inaundwa na Waingereza...

Katika Dola zilizowahi Tawala Dunia na zilizobaki imara U.k wapo Njema Bado... Roman ndio yaweza kuwa Choka mbaya,The Great Alexander wa Greek au Greek alipotea,Persian,Nebuchadnezzar, Farao n.k

Uingereza ni United hata wakiamua kwa Sasa wanaweza ila haina Haja... Ukienda New Zealand,Australia,Hong Kong japo ni wachina ila wapo bega kwa Bega na Uingereza hawamtaki mchina... Marekani majimbo kibao, Canada hao bado ni Waingereza tu hivyo usishangae kiingereza kwa Marekani kimetoka wapi ni hao hao tu... walikuwa wengi sana walikuwa hawatoshi kwenye visiwa vyao... wamechanganyikana na Wayahudi ndio usuper power utokeamo...

Nenda kwenye List ya vitu wanavyotengeneza Waingereza humu ukurasa hautatosha... hayo Magari ya Toyota yamejaa kwenye Nchi Masikini tu... watu wanatumia magari ya Gharama full Luxuary... Jaguar,Rolls-Royce,Gari za Mr.Bean,Austin McLaren Haswa za Mashindano... And Then Inaelekea hujawahi Panda Mabasi ya Leyland kabisa wewe unapanda aina ya TATA mauda yenu...

Watu hamjambo kwa kusifia vya wenzenu, wakati ukweli ni Kwamba England choka mbaya sana tu.

Unaposema kila mahali wamejaa waingereza nashindwa kukuelewa. Marekani wameja wao, Australia wao, Canada wao, Hong Kong wao, Sasa sijui wako wangapi humu duniani.

Na unaposema Hong Kong hawawataki wachina unajiongopea ndg yangu. Nijuavyo mm, wachina sio wa tz kama ww na mm, tusiopenda vyetu na kushobokea vya jirani. Itakuwa hujui kwa nn China imefika hapo ilipo.

acha ulevi usio na maana ww.
 
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...

Angalia sanitary appliances ambazo ni genuine zimetengenezwa Uingereza na uende kuangalia kwenye majengo yaliyojengwa miaka ya 60 mpaka 90 katikati au angalia manhole covers nyingi zilizo kwenye barabara za maeneo ya nyumba za NHC zilizojengwa kwa msaada wa wajerumani kama Magomeni na sehemu nyinginezo.Huu ni mfano mdogo tu wenzangu watakupa mifano zaidi.
 
Watu waliovalishwa shuleni Vibao vya Iam Stupid for Speaking Kiswahili utawajua tu! Tena dizaini wewe ndio uliokuwa Kiranja wa kuwabandika wenzako vibao migongoni!
Ehehehehhe! da! watu kweli mnafikiria. Kweli huo ni ubw-ege. Lugha yako mwenyewe unaikana. Hawa wazungu walishaanza kutuchota akili tangu long time.
 
Angalia sanitary appliances ambazo ni genuine zimetengenezwa Uingereza na uende kuangalia kwenye majengo yaliyojengwa miaka ya 60 mpaka 90 katikati au angalia manhole covers nyingi zilizo kwenye barabara za maeneo ya nyumba za NHC zilizojengwa kwa msaada wa wajerumani kama Magomeni na sehemu nyinginezo.Huu ni mfano mdogo tu wenzangu watakupa mifano zaidi.

Mwingine aliyevalishwa kibao cha "Iam Stupid for Speaking Kiswahili!"
 
Japan imefanya vibaya kwenye kombe la dunia lakini ni nchi ya tatu kwa utajiri! Unalizungumziaje Hilo mkuu? Marekani ndio super power lakini kwenye football ranking za FIFA wanashika namba ngapi? Mpira unadunda mkuu na kombe la dunia hili limekuwa na maajabu mengi sana.

Bado haujaelewa Ujapani Soka sio mchezo wa kwanza, kwao Baseball na Sumo ndio mchezo wa kwanza na soka labda inashika nafasi ya 3 au nne hivyo hauna kipaumbele, lkln ukija kwenye Basebal ni moja kati ya nchi zinazoongoza Duniani, vivyo hivyo Marekani Soka sio Mchezo namba 1 kwao si ajabu hata tatu bora haumo hivyo hawajaupa Kipaumbele kwenyen Michezo waliyoipa Kipaumbele kama kikapu, Baseball Kuogelea, kukimbia hawana mpinzani kwa kuwa Usuper power unafanya kazi yake!

lkn Uingereza Soka ni Namba 1 hivyo wamejaribu kila kitu, wamewekeza nguvu yao yote hapo na bado hawakushinda mechi hata moja ndio maana nasema ni choka Mbaya...
 
Mwingine aliyevalishwa kibao cha "Iam Stupid for Speaking Kiswahili!"

Mkuu mimi nimekujibu kuhusu hoja yako ya kwamba haujawahi kuona vitu vilivyotengenezwa Uingereza nimekupa mfano mdogo wa vitu vilivyotengenezwa Uingereza naona unakuja na kimbwanga chako hicho.
 
Mkuu mimi nimekujibu kuhusu hoja yako ya kwamba haujawahi kuona vitu vilivyotengenezwa Uingereza nimekupa mfano mdogo wa vitu vilivyotengenezwa Uingereza naona unakuja na kimbwanga chako hicho.

Sema Ukweli kwani hicho kibao haukuvalishwa? Mimi sikuvalishwa nilizaliwa wakati kilisha ondolewa!
 
Bado haujaelewa Ujapani Soka sio mchezo wa kwanza, kwao Baseball na Sumo ndio mchezo wa kwanza na soka labda inashika nafasi ya 3 au nne hivyo hauna kipaumbele, lkln ukija kwenye Basebal ni moja kati ya nchi zinazoongoza Duniani, vivyo hivyo Marekani Soka sio Mchezo namba 1 kwao si ajabu hata tatu bora haumo hivyo hawajaupa Kipaumbele kwenyen Michezo waliyoipa Kipaumbele kama kikapu, Baseball Kuogelea, kukimbia hawana mpinzani kwa kuwa Usuper power unafanya kazi yake!

lkn Uingereza Soka ni Namba 1 hivyo wamejaribu kila kitu, wamewekeza nguvu yao yote hapo na bado hawakushinda mechi hata moja ndio maana nasema ni choka Mbaya...

Nakushangaa bado unakazania hii point ya kombe la dunia..
Mkuu achana nayo hyo,haina mashiko,hIhusiani na u super power..
 
Back
Top Bottom