Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
Mkuu Uingereza ni Nci kubwa sana kwa kila kitu interms ya UCHUMI, KIJESHI na kiutamaduni. Kama wengine walivyosema UINGEREZA ipo kwenye G10, ni Nchi ya 6 kijeshi duniani na so far ndo mhisani wetu mkuu.
Kama una paspoti unaelekezwa kuwa endapo upo nchi ambayo haina ubalozi wetu basi tumia ubalozi wa UK utasaidiwa.
Ina mapato makubwa kwenye utalii na elimu kuliko nchi yoyote hapa duniani