Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

Nakushangaa bado unakazania hii point ya kombe la dunia..
Mkuu achana nayo hyo,haina mashiko,hIhusiani na u super power..

SiO Kweli hakuna Nchi Masikini iliyowahi kuwa Mabingwa wa Dunia!
Michezo ndio moja ya kielelezo tosha kama Nchi iiko njema au choka mbaya, angalia Olimpiki nchi zenye medali nyingi ni Nchi Tajiri tu na masikini wote wanaambulia kamedali kamoja...
 
Uingereza mbona imeshachukua kombe la dunia.
 
Nyani Ngabu na kijakaz mna upeo mdogo sana,UK si taifa la kawaida hapa duniani,unaposema wanaiba,wamemwibia nani? bara la afrika lina laana viongozi wake wanasaini mikataba mibovu ya raslimali halafu unakuja kusema wanaiba,nonsense kabisa wewe,halafu huyu naye anasema eti sioni kitu kimeandikwa made in UK,wewe mtanzania una pesa ya kununua bidhaa original toka UK? wewe endelea tu kununua ma feki kutoka china,una pesa wewe ya kununua Limousine au Astra ya UK? umaskini mliopewa na ccm umewafanya mkinunua tutoyota mnajiona mna magari ya maana sana,wajinga sana ninyi nyambaf,chezea UK wewe? hivi hamjui kuwa raia wa UK asiye na kazi anapewa posho kwa mwezi? ninyi maskini wakubwa mnatumia hadi chupi za china hamwezi kununua bidhaa za UK ng'o,UK wanauza bidhaa zao kwa mataifa tajiri sana,kama Germany,Italy,Japan,France,US na nk,acheni kuropoka.
 
Wewe ulivyotoka Povu ni lazima shuleni ulivikwa hiki kibao "Iam Stupid for Speaking Kiswahili!"
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

made in uk wewe huwezi afford,size yako ni mchina.

1.rolls royce
2.jaguar landrover
3.aston martin
4.morgan
5.mini
6.honda made in swindon uk
7.toyota made in derby uk
8.nissan made in sunderland uk
9.medical equipments,the best in the world,medicine-glaxosmithkline
10.vitasa etc union
11.electric equipment
12.leyland
13.vehicle parts-supplied all over the world for different cars
14.ford uk dagenham
15.aircraft engines-rolls royce
16.aircraft wings includes a380 airbus
17.tornado jetfighter,harrier,typhoon fighter
18.military radar waliyokuuzia kanjanja na mpya zaidi....ever heard of BAE??
19.johnson&johnson[baby oil,powder,nappies etc]-natumaini umeona hii product tangu umezaliwa hadi kesho
20.gillette uk

vingine made in uk nikikumbuka
 
Nyani Ngabu na kijakaz mna upeo mdogo sana,UK si taifa la kawaida hapa duniani,unaposema wanaiba,wamemwibia nani? bara la afrika lina laana viongozi wake wanasaini mikataba mibovu ya raslimali halafu unakuja kusema wanaiba,nonsense kabisa wewe,halafu huyu naye anasema eti sioni kitu kimeandikwa made in UK,wewe mtanzania una pesa ya kununua bidhaa original toka UK? wewe endelea tu kununua ma feki kutoka china,una pesa wewe ya kununua Limousine au Astra ya UK? umaskini mliopewa na ccm umewafanya mkinunua tutoyota mnajiona mna magari ya maana sana,wajinga sana ninyi nyambaf,chezea UK wewe? hivi hamjui kuwa raia wa UK asiye na kazi anapewa posho kwa mwezi? ninyi maskini wakubwa mnatumia hadi chupi za china hamwezi kununua bidhaa za UK ng'o,UK wanauza bidhaa zao kwa mataifa tajiri sana,kama Germany,Italy,Japan,France,US na nk,acheni kuropoka.

halafu acha kunizingua mbona naona vitu kibao Made in Ujerumani hapa Bongo kama Siemens, juzi kati tumenunua Volkswagen Amarok ya ukweli hapa hapa ndani ya bongo, naona vitu made in Marekani kama filamu ya hollywood Kokakola, mitambo ya General Electric naona vitu made Ujapani kama Toyota VXR8, naona mavitu ya Ufaransa kama loreal kuna watu wanavaa za Uswisi...
 
made in uk wewe huwezi afford,size yako ni mchina.

1.rolls royce
2.jaguar landrover
3.aston martin
4.morgan
5.mini
6.honda made in swindon uk
7.toyota made in derby uk
8.nissan made in sunderland uk
9.medical equipments,the best in the world,medicine-glaxosmithkline
10.vitasa etc union
11.electric equipment
12.leyland
13.vehicle parts-supplied all over the world for different cars
14.ford uk dagenham
15.aircraft engines-rolls royce
16.aircraft wings includes a380 airbus
17.tornado jetfighter,harrier,typhoon fighter
18.military radar waliyokuuzia kanjanja na mpya zaidi....ever heard of BAE??
19.johnson&johnson[baby oil,powder,nappies etc]-natumaini umeona hii product tangu umezaliwa hadi kesho
20.gillette uk

vingine made in uk nikikumbuka

Ungemuongezea na rada yake ya anga iliyonunuliwa BAE system.
 
Ungemuongezea na rada yake ya anga iliyonunuliwa BAE system.

amekosa jibu la hio post, ningemjazia page nzima maanake kuna viwanda vidogo bidhaa zake zinaenda kwa special clients. sasa mtu anasema anaona VX V8 ina maana anakoishi hamna JAGUAR,L/ROVER DISCOVERY 2/3/4,ENVOQUE, RANGE ROVER SPORTY,ASTON MARTIN,MINI COOPER???

radar nimemuwekea number 18 tena nimemwambia ile walimuuzia kanjanja akanunue ingine latest BAE.

Hawajashindwa Mchezo namba 1 wa India ni Kriketi na China ni mambo ya kung fu na karate, Wakati Uingereza mchezo wao ni Mpira wa miguu hivyo ina maana wamewekeza nguvu yote hapo, lkn bado hawajashinda mechi hata moja. Halafu isitoshe huwezi kulinganisha India na Brazili hata kwa nini, Brazili wako mbali sana Kiuchumi kupita hata Uchina kama ukichukulia pato la mtu kwa kichwa...

Usiandike usivyovijua. ...mchezo namba moja na unaopendwa zaidi uingereza ni rugby
 
amekosa jibu la hio post, ningemjazia page nzima maanake kuna viwanda vidogo bidhaa zake zinaenda kwa special clients. sasa mtu anasema anaona VX V8 ina maana anakoishi hamna JAGUAR,L/ROVER DISCOVERY 2/3/4,ENVOQUE, RANGE ROVER SPORTY,ASTON MARTIN,MINI COOPER???

radar nimemuwekea number 18 tena nimemwambia ile walimuuzia kanjanja akanunue ingine latest BAE.

Yeye bidhaa anazozijua ni Toothpick,viberiti,spea za pikipiki,maua ya urembo,yeboyebo zoote hizi kutoka China na wenzie...
 
3eb4b507a53492f25702311c1edc9a31.jpg
 
kubishana na mtu asie na upeo, anaejifanya anajua na hali hajui kitu ni kupoteza muda
 
Uingereza wanatawala dunia still kupitia commonwealth.

BTW

Dunia ya sasa ufanisi wa uchumi haupimwi kwa size ya GDP au GDP per capita. Wamehamia kwenye HDI (Human Development Index)
 
Duh! sasa nimepata jibu kwanini Viongozi wetu wanatia saini Mikataba ya Kilaghai na kupendelea Wazungu ushahidi upo Wazi, angalia watu wanavyotoka Majasho kuipagania Uingereza humu, Pia nimeanza kuelewa Bw.Muhongo Waziri wa Nishati kwa nini alisema Watz hatuwezi kazi ya gesi hilo ni la Wazungu sisi ni kwenye juisi tu, Duh kweli Wazungu walituweza sana sijui tutatokaje Hapa!

Mwingine anasema Uingereza mchezo namba moja sio Soka bali ni Rugby yoote hiyo kumtetea Mzungu tu, yaani kosa akifanya mzungu basi linatafutiwa sababu ili lihalishwe lkn akifanya Mwafrika mwenzetu huyo kalaaniwa...

Safari bado ni ndefu Sana Waafrika, Mpaka kuja Kujikomboa kichwani, Bado kuna Kazi kubwa...

Does speaking swahili make you stupid!?

Ndio maanake, kama haujaelewa hilo bango walikuwa wanavalishwa watoto (leo ndio hao wanaoteteta Uingereza humu) wakati wa Ukoloni shuleni kama wakiongea Kiswahili.

Kiswahili kilikuwa hakiruhusiwi mtoto alitakiwa kuongea Kiingereza tu, hivyo kama ukiongea Kiswahili basi unavalishwa hilo bango mgongoni linalosema
"Iam Stupid for Speaking Kiswahili!" na wewe unatafuta"mjinga mwenzako" anayeongewa Kiswahili na kumvalisha halafu wa mwisho jioni anachekwa na Shule nzima kwamba jinga hilo pumbavu halina akili linaongea kiswahili badala ya kiingereza...

Hivyo wote humu walivalishwa hilo bango kuanzia akina Raisi nyerere, Mkapa, Mwinyi, kikwete, Waziri Muhongo, Bw.Slaa, Lipumba, Warioba n.k ndio maana leo hiim hata ukisoma humu utagundua hilo wako tayari kufa kumteteta Mwingereza hata kama kachemka (Uingereza) lk nanatafutiwa sababu na kutetewa na nguvu zote..
 
Watu hamjambo kwa kusifia vya wenzenu, wakati ukweli ni Kwamba England choka mbaya sana tu.

Unaposema kila mahali wamejaa waingereza nashindwa kukuelewa. Marekani wameja wao, Australia wao, Canada wao, Hong Kong wao, Sasa sijui wako wangapi humu duniani.

Na unaposema Hong Kong hawawataki wachina unajiongopea ndg yangu. Nijuavyo mm, wachina sio wa tz kama ww na mm, tusiopenda vyetu na kushobokea vya jirani. Itakuwa hujui kwa nn China imefika hapo ilipo.

acha ulevi usio na maana ww.

Hata ulichojibu hakiendani na nilichozungumzia mimi unatatizo la uelevu... Asili ya Australia hujui... Asili ya New Zealand Hujui pia Canada Hujui USA hujui ungekuwa unaelewa japo kiduchu tu usingeandika mataputapu hayo...Kafuatilie Viongozi wa Nchi hizo Bado ni Malkia Elizabeth wa Uingereza....U.K. ----- wewe....hiyo nakupa elmu ambayo huwezi ipata Madrassa.....

Sasa unaposema nashobokea vya jirani unamaana ipi? au ndio Umetokea Madrassa! Hoja iliyopo ni Uingereza au wataka niizungumzie Mecca ndio utaona nazungumzia Nyumbani? watu wanakuelewa u mjinga ni bora uufiche upumbumbavu wako... Maisha yaendelee..

Nenda hong kong ndipo utajua watu humu hatubahatishi tunayoyatamka humu kama ufikiriavyo...
Taifa la Marekani limeundwa na Walowezi wengi wa Uingereza na wachache kutoka Spain na France...
 
Back
Top Bottom