Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

According to your argument Kwaio hata Russia nao hamna kitu si ndio...? We endelea kufikiri ivyo ivyo kijana
 
Hata ulichojibu hakiendani na nilichozungumzia mimi unatatizo la uelevu... Asili ya Australia hujui... Asili ya New Zealand Hujui pia Canada Hujui USA hujui ungekuwa unaelewa japo kiduchu tu usingeandika mataputapu hayo...Kafuatilie Viongozi wa Nchi hizo Bado ni Malkia Elizabeth wa Uingereza....U.K. ----- wewe....hiyo nakupa elmu ambayo huwezi ipata Madrassa.....

Sasa unaposema nashobokea vya jirani unamaana ipi? au ndio Umetokea Madrassa! Hoja iliyopo ni Uingereza au wataka niizungumzie Mecca ndio utaona nazungumzia Nyumbani? watu wanakuelewa u mjinga ni bora uufiche upumbumbavu wako... Maisha yaendelee..

Nenda hong kong ndipo utajua watu humu hatubahatishi tunayoyatamka humu kama ufikiriavyo...
Taifa la Marekani limeundwa na Walowezi wengi wa Uingereza na wachache kutoka Spain na France...

Acha kudanganya hapa Marekani haijaundwa na Uingereza bali Uingereza walikuwa na Makoloni 13 ambayo yaliungana na mengine zaidi ya 30 na kutengeneza nchi inayoitwa umoja ya Nchi za Marekani au kwa kizungu USA...

Majimbo mengine yaliyobaki yalikuwa yanatawaliwa na Watu wa nchi mbali mbali za Ulaya kwa mfano Montana, Idaho walikuwa wazungu wa Skandinavia, California huko wahispania Philly, Texas Wajerumani, Lousiana Wafaranasa, Alaska Warusi, Hawaiii Wajapani, New York (zamani New Amsterdam) Waholanzi n.k

Uingereza walitawala sehemu ndogo tu, ni hayo makoloni 13...
 
duh! kwenu hamna umeme nini?

kwanza swalilako la uingireza iliwezaje kutawala dunia halihitaji jibu bali wewe mwenyewe tu jisomee ujue ni vipi waliweza.

nashangaa kama sio kushangazwa na ufinyu wa ufikiri ulioutumia.eti hujawahi kuona bidhaa ya uingereza.sijui labda hujui kuwa kila weekend watanzania wenzio huingia vibanda umiza kuangalia timu zinazoingiza kodi mara tano ya ile ya bakhresa kwa serikali ya uingereza.

siisifii uingereza ila nashawishika kutoipoka sifa zake.in living conditions uingereza haifanani na china wala south Africa au india.

umesema hawana lolote....labda yaweza ikawa kweli.lakini ukweli wenyewe ambao hauhitaji yaweza ili usimame ni kuwa uingereza ni moja wapo kati ya nchi tajiri zilizoendelea.kwenye kundi hili haipo china wala India.

kwa maendeleo ya mtu na mtu,hii huangalia maswala mbalimbali kama ajira,upatikanaji wa huduma na hali ya utegemezi siikosi English men country kwenye top 5.

pole kwakudhani kuwa ni lugha pekee ndiyo waliyonayo kwa sasa.nikukumbushe kwenye uwekezaji huwa haiji nchi bali kampuni toka nchi flani.gari yako haiendi SHELI???(smile when you see it)

hata kwa hoja yako ndogo ya mpira uliyotumia bdo England ndio Baba wa soka hata sasa.....yes unashtuka nini? 90% ya wapenzi wa football wataumwa viwanja vya uingereza vikifugiwa kuku.labda shabiki wa kombe la dunia kama wewe hatadhulika........

nimemaliza.............babu yangu yuko wapi amuone mtanzAnia anaitukana uingereza
 
Duh! sasa nimepata jibu kwanini Viongozi wetu wanatia saini Mikataba ya Kilaghai na kupendelea Wazungu ushahidi upo Wazi, angalia watu wanavyotoka Majasho kuipagania Uingereza humu, Pia nimeanza kuelewa Bw.Muhongo Waziri wa Nishati kwa nini alisema Watz hatuwezi kazi ya gesi hilo ni la Wazungu sisi ni kwenye juisi tu, Duh kweli Wazungu walituweza sana sijui tutatokaje Hapa!

Mwingine anasema Uingereza mchezo namba moja sio Soka bali ni Rugby yoote hiyo kumtetea Mzungu tu, yaani kosa akifanya mzungu basi linatafutiwa sababu ili lihalishwe lkn akifanya Mwafrika mwenzetu huyo kalaaniwa...

Safari bado ni ndefu Sana Waafrika, Mpaka kuja Kujikomboa kichwani, Bado kuna Kazi kubwa...

wewe una matatizo ya akili??? umeuliza watu ni nini kinatoka uingereza zaidi ya lugha. sasa umejibiwa nini kinatoka uingereza unaanza kusema watu wanapigania uingereza!!!

sasa ulitaka kila mtu naseme kuwa ni lugha tu inatoka huko kama wewe unavyofikiri??? yaani umedhihirisha jinsi ulivyo mtupu....hao hao mawaziri wako unaosema unawaelewa walinunua RADAR ya kizamani huko huko UK kalaghabaho!!!
 
Ndio maanake, kama haujaelewa hilo bango walikuwa wanavalishwa watoto (leo ndio hao wanaoteteta Uingereza humu) wakati wa Ukoloni shuleni kama wakiongea Kiswahili.

Kiswahili kilikuwa hakiruhusiwi mtoto alitakiwa kuongea Kiingereza tu, hivyo kama ukiongea Kiswahili basi unavalishwa hilo bango mgongoni linalosema
"Iam Stupid for Speaking Kiswahili!" na wewe unatafuta"mjinga mwenzako" anayeongewa Kiswahili na kumvalisha halafu wa mwisho jioni anachekwa na Shule nzima kwamba jinga hilo pumbavu halina akili linaongea kiswahili badala ya kiingereza...

Hivyo wote humu walivalishwa hilo bango kuanzia akina Raisi nyerere, Mkapa, Mwinyi, kikwete, Waziri Muhongo, Bw.Slaa,Lipumba, Warioba n.k ndio maana leo hiim hata ukisoma humu utagundua hilo wako tayari kufa kumteteta Mwingereza hata kama kachemka (Uingereza) lk nanatafutiwa sababu na kutetewa na nguvu zote..

Mkuu!-umenikumbusha mbali enzi hizo;Speak English ilikuwa kitanzi kwa wengi;mbaya zaidi,kwa tuliosoma vijijini,tulilazimishwa kuongea Kiswahili lakini bado ilikuwa ni shida-Utumwa huu itatuchukua muda kujikomboa kwa sababu watu watu wanalazimishwa kupokea na kukubali kitu ambacho hawajaandaliwa mazingira mazuri.
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

Mkuu umetumia kigezo hovyo sana kuisema uingereza. Kombe la dunia??

Sitaki kuamini kama uliandika hii mada ukiwa umelewa mkuu.

Lakini siwezi kushangaa aina ya watu kama wewe mnadhani mpira ndio kipimo cha usuperiority,hata kikwete aliileta brazili hapa akatumia bilioni 4 akidhani kama tutaifunga basi tutaheshimika duniani kua nasi ni super power.

Aina ya watu kama wewe mkipewa nchi ni bora watu wafe kwa njaa ila timu ya taifa iende kombe la dunia maana ndio kipimo cha usupa pawa.

Nikupe kredit kua wewe ni mchumi wa aina yake toka tz ulievumbua kigezo kipya cha kupima usupa pawa wa nchi kwa kutumia kombe la dunia.
 
mambo yanabadilika mkuu..ulaya imebaki ujerumani tu..sio europe tena inaitwa eurabia...mpango mzima ASIA sasa hivi..
 
wewe ndo mlevi usiye na maana,hoja hapa ni UK iliwezaje kutawala dunia wakati mleta mada anasema ipo choka mbaya,fact inatolewa kuwa UK iko safi,wewe tena unamuita mwenzako mlevi,au na wewe ulisoma madrasa? maana ninyi mliosoma madrasa kichwani huwa hamna kitu kabisa,unauliza wa UK ni wengi kiasi gani hadi watapakae Australia,Canada na Newzealand,hujui kuwa ni zaidi ya miaka 500 iliyopita ndo walitawanyika na kuzaana? idadi ya watanzania wa leo ni sawa na ile ya 1940? we hata hesabu ya darasa la kwanza inakushinda,we na kijakaz mnashangaa eti hamuoni bidhaa za UK,hapo tayari mmedhihirisha mlivyo na IQ ndogo,nyie mna pesa za kununua hata simu iliyotengenezwa uingereza? mnadhani waingereza ni wachina wanao supply bidhaa feki afrika nzima na nyie bongo lala mnajiaminisha kuwa sasa china iko juu,bidhaa za uk huwez kuzinunua wewe mtanzania,huna hela,ukitaka bidhaa nyingi za made in uk,nenda USA,Israel,ufaransa,Germany,na nk,siyo hapa bongo choka mbaya,ni bidhaa high quality,simu unakaa nayo hadi uzeeni.
 
Watu waliovalishwa shuleni Vibao vya Iam Stupid for Speaking Kiswahili utawajua tu! Tena dizaini wewe ndio uliokuwa Kiranja wa kuwabandika wenzako vibao migongoni!

ndio zako wewe, kuanzisha hoja halafu wenzio wanahangaika kukujibu ila wewe ubishi wako unakufunga macho huelewi chochote.
 
Kama utauliza walitawalaje ntakushangaa sana. wao walitumia ulaghai na utapeli wa kudanganya watu walioshindwa kujitambua kwa mbinu ile ya humantarian reson.

sasa ivi utampata nani.
 
wewe una matatizo ya akili??? umeuliza watu ni nini kinatoka uingereza zaidi ya lugha. sasa umejibiwa nini kinatoka uingereza unaanza kusema watu wanapigania uingereza!!!

sasa ulitaka kila mtu naseme kuwa ni lugha tu inatoka huko kama wewe unavyofikiri??? yaani umedhihirisha jinsi ulivyo mtupu....hao hao mawaziri wako unaosema unawaelewa walinunua RADAR ya kizamani huko huko UK kalaghabaho!!!

Nataka nimuongezee tena huyo mjinga bidhaa zinatoka Uingereza magari ya bedford kama ameshawahi kuyaona.Huyo mleta mada ni kichwa kigumu asikupotezee muda na bado ni mtoto.
 
Kama utauliza walitawalaje ntakushangaa sana. wao walitumia ulaghai na utapeli wa kudanganya watu walioshindwa kujitambua kwa mbinu ile ya humantarian reson.

sasa ivi utampata nani.

hahaha....unataka kusema hamna wakina mangungo siku hizi? au humjui Kikwete?
 
wewe ndo mlevi usiye na maana,hoja hapa ni UK iliwezaje kutawala dunia wakati mleta mada anasema ipo choka mbaya,fact inatolewa kuwa UK iko safi,wewe tena unamuita mwenzako mlevi,au na wewe ulisoma madrasa? maana ninyi mliosoma madrasa kichwani huwa hamna kitu kabisa,unauliza wa UK ni wengi kiasi gani hadi watapakae Australia,Canada na Newzealand,hujui kuwa ni zaidi ya miaka 500 iliyopita ndo walitawanyika na kuzaana? idadi ya watanzania wa leo ni sawa na ile ya 1940? we hata hesabu ya darasa la kwanza inakushinda,we na kijakaz mnashangaa eti hamuoni bidhaa za UK,hapo tayari mmedhihirisha mlivyo na IQ ndogo,nyie mna pesa za kununua hata simu iliyotengenezwa uingereza? mnadhani waingereza ni wachina wanao supply bidhaa feki afrika nzima na nyie bongo lala mnajiaminisha kuwa sasa china iko juu,bidhaa za uk huwez kuzinunua wewe mtanzania,huna hela,ukitaka bidhaa nyingi za made in uk,nenda USA,Israel,ufaransa,Germany,na nk,siyo hapa bongo choka mbaya,ni bidhaa high quality,simu unakaa nayo hadi uzeeni.

hahahahaha.

sijui nimelewa usingizi. mbona kila mtu ananichekesha?

jamani JF watu wana mipasho hadi utajuta kuleta ubishi.

eti " bidhaa za uk huwez kuzinunua wewe mtanzania,huna hela"

hahahaha
 
Acha kudanganya hapa Marekani haijaundwa na Uingereza bali Uingereza walikuwa na Makoloni 13 ambayo yaliungana na mengine zaidi ya30 na kutengeneza nchi inayoitwa umoja ya Nchi za Marekani au kwa kizungu USA...

Majimbo mengine yaliyobaki yalikuwa yanatawaliwa na Watu wa nchi mbali mbali za Ulaya kwa mfano Montana, Idaho walikuwa wazungu wa Skandinavia, California huko wahispania Philly, Texas Wajerumani, Lousiana Wafaranasa, Alaska Warusi, Hawaiii Wajapani, New York (zamani New Amsterdam) Waholanzi n.k

Uingereza walitawala sehemu ndogo tu, ni hayo makoloni 13...

Jinga ni jinga tu na haliwezi kuwa elevu... sasa unapoona koloni 13 kati ya 30 unapata asilimia ngapi na kama ni hisa baada ya kuungana nani atakuwa Chairman? Watoto kuongea nao ni tabu tu...
 
SiO Kweli hakuna Nchi Masikini iliyowahi kuwa Mabingwa wa Dunia!
Michezo ndio moja ya kielelezo tosha kama Nchi iiko njema au choka mbaya, angalia Olimpiki nchi zenye medali nyingi ni Nchi Tajiri tu na masikini wote wanaambulia kamedali kamoja...

Uruguay ni Nchi Masikini na imeshawahi chukua Kombe la Dunia...
 
Uruguay ni Nchi Masikini na imeshawahi chukua Kombe la Dunia...

Wewe unaota, aliyekwambia Uruguay ni Nchi maskini ni Nani? Na ni maskini ukilinganisha na ipi?
Angalia pato la Uraguay ni karibu dola za kimarekani 20 000 kwa kichwa, sasa kama unaita huo ni Umaskini sijui sisi wenye dola 300 kwa kichwa, utatuitaje!
 
Greed, ambition na military power ndio mpango mzima.
 
Wewe unaota, aliyekwambia Uruguay ni Nchi maskini ni Nani? Na ni maskini ukilinganisha na ipi?
Angalia pato la Uraguay ni karibu dola za kimarekani 20 000 kwa kichwa, sasa kama unaita huo ni Umaskini sijui sisi wenye dola 300 kwa kichwa, utatuitaje!
Waelewa ilipochukua Kikombe cha Dunia ilikuwa kwenye hali gani ya Utajili?
 
Back
Top Bottom