Kumsaidia mleta mada kwenye hoja 2.
Bidhaa nyingi duniani hazitengenezwi tena UINGEREZA, sio za luxury wala zile za kawaida. Ukitembelea maduka ya bidhaa hapa UK, asilimia kubwa ni bidhaa kutoka ASIA,hasa apparel,consumer electronics na home appliances.Waingereza pia wanalalamika Vitu vingi kutoka ASIA.ile Statement kuwa UK kuna viwanda vingi si sahihi tena, sasa hivi wame-focus kwenye viwanda vyenye faida kubwa. mfano, viwanda vya pharmaceuticals,Aerospace,Military, nanotech,etc. Bahti mbaya bidhaa hizi sio consumer level.lakini UK inaendela kubakia nchi ya viwanda.Lakini sio kwa msukumo ule wa 18 century.wakati Manchester ikisifika kuwa mother of industry in the world.Sasa hivi Manchester is a shell of what it used to be, once a prosperous place filled with raw materials from all over the world.see it as what Shenzen is now. Na hata brands nyingi za UK, ni wachache wana uthubutu wa kutengeneza UK, wengi in UK brands but actually made in china,india or thailand,cue all apparel brands,electric goods brands etc.
kwa UK hata wao wenyewe hawafurahii tena hili, na hata ubora wa bidhaa wanazotengeneza wenyewe hapa UK hawaridhiki nao letsay ukilinganisha na German. BMW made in midlands is considered inferior to the same model and specs made in German by the british people themselves.And British people Love Toyotas,not as something they would buy as a dream car, but as cars that they believe keep on running and running without breaking or needing high maintenance.So don't go underestimating Toyotas, they well respected here, as no nonsense generally good cars.Japanese cars are so respected even to an extent some of their UK based cars use Japanese Engines and chasis.,Cue Vauxhall etc which basically use Mitsubish chasis throughout.
Ukija kwenye living condtions, it depends how you judge UK,i normally rate it low or high based on different criteria.Kwa mfano, wako chini kwenye creativity na innovation ukilinganisha na marekani, ila si chini ya china,wako vizuri sana kwenye social security kuwazidi US lakini hawajawafikia Scandinavians.
kwa maisha ya kila siku, it really is not a country it used to be, even from just 20 years ago.UK is growing poorer,and problems are pilling up.kwa ulaya inafanya vibaya sana ukilinganisha na nchi kama Ujerumani.lakini wako vizuri ukiwalinganisha na Spain.
Ukija kwenye uchumi wa Jumla, UK is riding on it's past glory for the most part, and it has effectively gotten eclipsed by Japan, USA,German and soon China will run circles around it as it does to everyone.
Zuri walilolifanya kwa nchi yao, walitengeneza misingi imara sana ya taasisi zao, wana mfumo bora kabisa wa Elimu hasa ya ngazi ya utafiti (hapa chini undergrad kushuka chini sarakasi nyingi,i do not expect to have my children go to a UK undergrad university if its not oxbridge,it's just too much money involved that passing is key to maintaining the rankings.)
Kwenye mifumo ya fedha, waliweka mizizi yao vizuri, ndio maana hapa picaddily,oxford street etc, kila who is who wa financial world ana ofisi zake maeneo haya. the financial world is about connections and who you know, and nothing says you are in the know than a business address in the vicinity of London Victoria etc.It's an illusion they have created that self feeds in itself to create a perfect self sustaining ecosystem that keeps London on top.for this i could simply say-SMART.
kwenye culture,London truly is what you call a boiling port of cultures,its a massive city of almost every-one significant on planet earth and their dogs.This trully is important in their maintenance of world power. Shanghai has one of the best cities in the world in terms of infrastrructure and density, yet it is at least 50 years behind London in globals significance.this should tell u how smart these English people are.
To summarise UK is one of the best countries you can live on planet earth for now, they have gone through so many of the challenges most countries have never even heard of, and are almost always very well prepared for most challenges.which makes them ultra competitive on the globals scale.
This sheer experience made it possible for them to rule and continue to rule most of the world from behind the scenes, albeit as US sidekick.