Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 8,341
- 13,651
Yuko CaliforniaVipi unaweza kutuambia yuko wapi huyo mambi wenu?
God save us
Yuko CaliforniaVipi unaweza kutuambia yuko wapi huyo mambi wenu?
God save us
Mbona umepaniki hivi. Kama kigogo anaweza kuwa panikisha hivi basi kafaulu sanaHuyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna marefu yasiyo na nchaMuda upi tena wakati miaka kadhaa sasa?
Hii meseji unaweza kwenda twitter kumwambia? Au unatuchosha tu hapa!Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Na jamaa yupi bright sanaaa. Huwezi kumtoa relini kWa hoja kirahisi. Kigwa alikimbia. Bashe akakimbia, kuna kipindi alikuwa ana m mind Mbowe Sana'a akampiga za kutosha,Kama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.
Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
Wewe uko mbele ya keyboard?ni majinga kweli, yani jitu liko nyuma ya keyboard, ndio anafanya ujinga , he is pyschopath na coward
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila unapitiaga tweets zake?sijakataa aendelee kuwepo tu ila hana faida yoyote kwa taifa hili tangu awepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli anawasaidia nini watanzania Kama siyo kuwaletea umaskni tu?Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Na jamaa yupi bright sanaaa. Huwezi kumtoa relini kWa hoja kirahisi. Kigwa alikimbia. Bashe akakimbia, kuna kipindi alikuwa ana m mind Mbowe Sana'a akampiga za kutosha,
Si wanasemaga ZK si mtu wa kuaminiwa, ni kaongo! Itakuaje tena!?.View attachment 1458129
Mnahangaika bure! Mfuateni Zitto Kabwe awaonyeshe alipo huyo Kigogo2014.
Kigogo anaparuan na MTU yoyote au mnafiki yoyote ambaye anamtetea Magufuli. Viongozi Wa dini hasa manabii wameonyesha kihere here sana cha kumtetea meko hapo ni ugomvi wao ulipo n kigogoKigogo ni mpuuzi tu sasa hivi ameanza kuparuana na viongozi wa dini