Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,575
- 3,515
KIGOGO TUNAMPENDA! JAPO HATUMJUI,
TUNA IMANI NA KIGOGO, AU MODS MNASEMAJE? NYIE HAMUMPENDI??
TUNA IMANI NA KIGOGO, AU MODS MNASEMAJE? NYIE HAMUMPENDI??
Ni suala la muda tu!
Hao wanaoibia watu mitandaoni wamekamatwa wangapi? Na kila siku wapo na simu zao zimeandikishwa (registered) ukipata hilo jibu hutopata shida kuhangaika na huyo Kigogo2014 ambaye anajitambuaWakuu Salaam;
Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.
Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.
Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.
Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.
Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.
Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.
Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?
SawaYule hashikwi kama kuku! Lazima kuwe na mipango na mikakati madhubuti hadi kufikia hiyo hatua unayoiongelea. Hata yule muuwaji wa Genocide ya Rwanda bwana Kabuga alikamatwa baada ya zaidi ya miongo miwili.
Yule hashikwi kama kuku! Lazima kuwe na mipango na mikakati madhubuti hadi kufikia hiyo hatua unayoiongelea. Hata yule muuwaji wa Genocide ya Rwanda bwana Kabuga alikamatwa baada ya zaidi ya miongo miwili.
Mkuu kwani huyo Kigogo 2014 amefanyaje hadi utake akamatwe,Wakuu Salaam;
Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.
Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.
Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.
Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.
Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.
Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.
Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?
You are a pigeon/ you are pigeons.Unafikiri kila mtu ana njaa na kutegemea mshahara kama wewe. Mi siwezi tetea mshahara kwasababu sili huko.
Wewe anzisha mada yenye kilio cha mshahara ndiyo mlie wote humo pamoja.
Eagles never flock but pigeons do.
You are pigeon.
Naunga mkono hoja! Ukiishiwa kifurushi utuambie "wanyonge" tutakuchangia!Na mimi nataka nianze harakati kama za kigogo 2014
Anafurahia au anakuhabarisha?anachofanya kigogo na matangazo ya vifo tbc tofauti ni nini?sio povu, ni ukweli. wewe mtu gani anafurahua vifo vya watanzania wengine
huo ni pyschopath
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hawajamshindwa kabisa...Tatizo Sheria za hiyo NCHI ndio pagumu kidogo..Ila atue Airport tu Hata Sahv afu ndio urudi kupost wamemshindwa!!! Huyo mwingine Nahisi n Kundi la watu na sio mtu mmoja anaendesha hiyo AC afu tweeter ni ngumu kudukua taarifa za mtu Kama hivi viwhatsaap Sijui FBKama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.
Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
Na kwanini Mange arudi nchini Zama hizi atakuwa historia dakika sifuriHuyo hawajamshindwa kabisa...Tatizo Sheria za hiyo NCHI ndio pagumu kidogo..Ila atue Airport tu Hata Sahv afu ndio urudi kupost wamemshindwa!!! Huyo mwingine Nahisi n Kundi la watu na sio mtu mmoja anaendesha hiyo AC afu tweeter ni ngumu kudukua taarifa za mtu Kama hivi viwhatsaap Sijui FB
Typed Using KIDOLE