Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
Never underestimate any country state security! It is just the matter of time. All the strategies are in place!
 
Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepaniki hivi. Kama kigogo anaweza kuwa panikisha hivi basi kafaulu sana
 
Tanzania imejua imefanya kosa kubwa kumfanyia vetting jpm ya uraisi!!madhara yake ni makubwa sana!kwa hiyo wale vigogo wa ccm wameamua kuja na mbinu mbadala angalau ya kufikisha duku duku,kuanika uozo wa siri ili kumwanika jpm na utawala wake ambao umefunga mdomo hata mbwa asibweke!!!!KIGOGO AENDELEE KUWEPO HADI JPM AONDOKE MADARAKANI ILI TUPONE!!!
 
Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii meseji unaweza kwenda twitter kumwambia? Au unatuchosha tu hapa!
 
Kama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.

Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
Na jamaa yupi bright sanaaa. Huwezi kumtoa relini kWa hoja kirahisi. Kigwa alikimbia. Bashe akakimbia, kuna kipindi alikuwa ana m mind Mbowe Sana'a akampiga za kutosha,
 
Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli anawasaidia nini watanzania Kama siyo kuwaletea umaskni tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watz ni wepesi wa kuweka Mambo kabatini na wakiweka kabatini Hilo kabati hawana Mazoea ya kujikumbusha hata on weekly or monthly or yearly basis. Hali ndio hio mtandao upo na viapo vyao havijavunjwa they are active sana tu Ila msiojua mnaona tumelala au wamelala(jumuishi aidha Mimi au wewe au wale). Mbegu moja haijawahi kuzaliana kwa wingi kiivo kwa haraka kutawala himaya ya uoto wa asili, beware and strong kushinda hayo mawimbi Wana mbinu za surrounding technique, mind you key battle combatants end up being betrayed. Mungu atende haki, Amina
 
Na jamaa yupi bright sanaaa. Huwezi kumtoa relini kWa hoja kirahisi. Kigwa alikimbia. Bashe akakimbia, kuna kipindi alikuwa ana m mind Mbowe Sana'a akampiga za kutosha,
IMG-20200308-WA0000.jpeg

Mnahangaika bure! Mfuateni Zitto Kabwe awaonyeshe alipo huyo Kigogo2014.
 
Kigogo ni mpuuzi tu sasa hivi ameanza kuparuana na viongozi wa dini
Kigogo anaparuan na MTU yoyote au mnafiki yoyote ambaye anamtetea Magufuli. Viongozi Wa dini hasa manabii wameonyesha kihere here sana cha kumtetea meko hapo ni ugomvi wao ulipo n kigogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom