balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,152
Mkuu huu siyo uongo mm ni mwananyati,nimeingia Nsumba 1993 Robert Kisena alihamia tukiwa form two.Tulimkuta Mkama Ndaro chairman wa shule Mr. Kibona,Jesus,Biye nk walikuwepo.Labda huyu Robert Kisena niliyesoma naye ni mwingine.Huyu hakuwa Kichwa wala hakuwa mkorofi. Mr Kibona RIP alikuwa mtu kwelikweli.Hapana mkuu huu ni uongo...Kisena kamaliza 1991..na alikuwa anatumia Jokala Kisena hili la Robert Kisena sijui hata lilitokea wapi tu. Mimi naingia Nsumba form one mwaka 1990 yeye anaingia kama Form four...Nilikuwa naye karibu kiasi maana mwenyeji wangu ambaye alikuwa form two walikuwa marafiki sana ingawa baada ya Kisena kupata hela kama alimtupa vile. Jamaa hakuwa wa kawaida kivile maana kama akili za darasani alikuwa vzuri sana na kwenye suala la kujieleza usimpe nafasi atakuacha....Headmaster Kibona pamoja na ukorofi wake kwa Kisena alikwama....kila akitaka kumfukuza shule jamaa akimfuata ofisini kwake wanayamaliza....Kisena alikuwa anajihamini sana maana Mr Kibona alikuwa haingiliki hv hv ila mshikaji akishafanya noma zake alikuwa anamfuata Mr Kibona either ofisini kwake au hata nyumbani kwake...Pamoja na utukutu wake ila walimu walikuwa wanampenda maana alikuwa kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
