Hivi Robert Kisena ni nani?

Hivi Robert Kisena ni nani?

Kuna yule mwalimu mwingine mhaya alikuwa anakaa pale chini ya uwanja wa pale jirani na chuo cha "Shosho" alikuwa anaitwa nani vile? Kuna wakati alinunua li pickup moja bovu sana likimtesa kila siku kusukuma pale uwanjani yeye na familia yake ili liwake. Kwake alikuwa kila jioni anauza maziwa na vitafunwa. Nasikia yeye na mkewe baadae walifariki.
Akiitwa Milanga. Mwanae Hamis Alison's Nsumba. Binti Yake akiitwa Johari alikuwa kisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chenge nyoka mwenye makengeza ulishawahi kumuona ? ndiyo huyo baba kila skendo yumo tena zile kubwa lakini hakamatiki ni mjanja sana kwenye mikataba yake anakuwemo lakini hakuna pa kumkamatia
Wakumkamata wapo ila wa kumfungulia mashtaka ndio HAKUNA.

...hit direct to the Ntonku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni msukuma kwa kabila , taarifa zinaonyesha kwamba alijipatia utajiri kwa kukwapua utajiri wa John Cheyo baada ya kupewa kusimamia biashara zake wakati cheyo alipobanwa na sheria alipogombea Urais 1995 , alimjuaje Cheyo hiyo ni hadithi nyingine
Hapo endeleza mkuu
 
Kisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.

Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.

Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.

Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.

Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.

Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Barafu
 
Hakuna hatua yeyote ambayo imekwishachukuliwa kuhusu ufisadi wa huyu jamaa pamoja na CAG aliyekuwepo kulieleza hilo. He is untouchable!
 
Mara mwishoalikuwa jela anankesi kama 9 hivi....yeye na maxmalipo ingawa namuona macmalipo ametoka .....sina uhakika Kisena kama yupo jela ama la
Kama mwenzake katoka inawezekana na yeye yupo uraiani.
 
Back
Top Bottom