Hahaha...pamoja sana mkuu. Siku njema kwako pia.Hahahaha, nami nilipita kuchangia kdg kuweka Sawa, siku njema Mkuu
MTC | 101|![]()
Hahaha...pamoja sana mkuu. Siku njema kwako pia.Hahahaha, nami nilipita kuchangia kdg kuweka Sawa, siku njema Mkuu
MTC | 101|![]()
Mkuu nahitaji kuhusiswa kwenye madili mawili matatu hivi ili nami nisonge kimaisha nyie watu wa mjini hamshindwi kituHahahaha, namjua Albert alikua Don Mkuu ,yy ndio alikua muagizaji na mnunuzi wa ......uzuri nimekua na salama na Riz ,so namjua huyo mchizi Kitambo
Hizi dili zingine za hela zimekuja baadae
MTC | 101|![]()
Water find its own level and so do people. Haitatokea kamwe watu wote wakawa level moja mkuu hata ije awamu ya namna gani.awamu hii hakuna cha mshika mikoba ya mkubwa wala nini tutaheshimiana tu yaani wote mpaka tuwe level moja hakuna cha unanijua mimi ni nani??hahahaaaa
Kuna yule mwalimu mwingine mhaya alikuwa anakaa pale chini ya uwanja wa pale jirani na chuo cha "Shosho" alikuwa anaitwa nani vile? Kuna wakati alinunua li pickup moja bovu sana likimtesa kila siku kusukuma pale uwanjani yeye na familia yake ili liwake. Kwake alikuwa kila jioni anauza maziwa na vitafunwa. Nasikia yeye na mkewe baadae walifariki.
Hahaha...pamoja sana mkuu. Siku njema kwako pia.
Haya mkuu.Haya ondokeni tuachieni Kisena na Nsumba yetu....hahahahaaaa
Yaan tunaongelea mali za umma we wasema u handsome wa wasukuma???Wasukuma ma_Handsome na tall guys big up to them these guys from fresh water land.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni mkuu wewe pamoja na DrLove69 nimejua mengi ambayo nilikuwa siyajui awali, lakini shukrani zaidi kwa mleta mada nina hisi kupitia jamii forum nina stahili kupewa sasa PhD 😛 .Hahahaha, nami nilipita kuchangia kdg kuweka Sawa, siku njema Mkuu
MTC | 101|![]()
Pamoja sana mkuu. JF ni Kisima cha Ujuzi. Kila siku tunajifunza na kuendelea kujifunza. Ndio maana huwa sipendi watu wakipotosha umma kupitia JF, sababu ni kwamba kuna wengi wetu humu tunapita kusoma na kujifunza mawili matatu.Asanteni mkuu wewe pamoja na DrLove69 nimejua mengi ambayo nilikuwa siyajui awali, lakini shukrani zaidi kwa mleta mada nina hisi kupitia jamii forum nina stahili kupewa sasa PhD 😛 .
Chuma uleteAmong the top wa JK family deal makers. Hao walikua ndiyo economic backbone (Chuma ulete) wa JK Family.




hahaha mjini kuna watu vichwa sana .halafu wabishi haswaaKwny hio kesi ya kina Idd Simba dhamana ilitakiwa bil 2,yeye Simba akaweka nyumba yenye thamani bil 7 akawatoa na wenzake wote ndani,yajayo yanafurahisha uko tayari?
Unamkumbka smbdy mzaba alikuwa anakaa nyumba ya 3 kbla ya angithi kama unaelekea Victoria hyo ...s.... jamaa aliruka naye sana enzi hzoHahahaha, namjua Albert alikua Don Mkuu ,yy ndio alikua muagizaji na mnunuzi wa ......uzuri nimekua na salama na Riz ,so namjua huyo mchizi Kitambo
Hizi dili zingine za hela zimekuja baadae
MTC | 101|![]()
Yaan tunaongelea mali za umma we wasema u handsome wa wasukuma???
Pascal Mayalla unasikia hayo?
Ni kweli mkuu JF ni shule tosha, mimi ni mmojawapo kati wengi waliojifunza mengi kupitia JF.Pamoja sana mkuu. JF ni Kisima cha Ujuzi. Kila siku tunajifunza na kuendelea kujifunza. Ndio maana huwa sipendi watu wakipotosha umma kupitia JF, sababu ni kwamba kuna wengi wetu humu tunapita kusoma na kujifunza mawili matatu.
Huyo mtu ukimpa bega tu atakufunga goli la mkono.Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanaomjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake.
Kwenye kesi dhidi ya Idd Simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa.
Huyu ni kijana anayezungusha fedha za jk
Haya magangwe yamekwapua mali za umma sasa ni zamu yao mataahira hayaKila ukisikia Beberu unaambiwa ni mwanachama mtiifu wa fisiEMU; hapa ndipo unabakia na ????? nyingi sana kichwani, kwani hiki chama kina recruit haya majitu??