Hivi Robert Kisena ni nani?

Hivi Robert Kisena ni nani?

Aliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
Aisee kumbe hata mke wa chenge naye ni mtata tu kama alivyo chenge mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia ni mtu poa sana,na mzigo anao,mpaka kuozeshwa mtoto mkubwa wa mzee K si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?

Mi nilisikia msela alikua wa kawaida tu upande wa mpunga ila yule binti alimpenda sana mpk dingi akawa anapaniki afu ukiweka msela alikua mkristo ikawa balaa zaidi mpk binti akatengwa na familia kiaina flani hivi ila baadae ikawa fresh tu ndo jamaa kaanza kupewa madili na kina riz na watoto wengine wa mjini.
 
Aisee kumbe hata mke wa chenge naye ni mtata tu kama alivyo chenge mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wadada wa mjini (wadangaji) siku hizi hawana Adabu wala heshima kwa Wake za madanga yao mkuu.
Unakuta dada wa mjini anamvimbia mama mwenye nyumba na dharau kibao. Inasemekana yule binti alimkamata vibaya sana Mzee Chenge mpaka nyumbani ikajulikana na mamsapu. Mamsapu Uvumilivu ulifikia kikomo akaamua kuchukua maamuzi magumu. Wanaume tujifunze kuwaweka kwenye mstari ulionyooka hawa "mpango wa kando"...bila hivyo inaweza kuleta madhara makubwa katika familia.
 
Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?

Mi nilisikia msela alikua wa kawaida tu upande wa mpunga ila yule binti alimpenda sana mpk dingi akawa anapaniki afu ukiweka msela alikua mkristo ikawa balaa zaidi mpk binti akatengwa na familia kiaina flani hivi ila baadae ikawa fresh tu ndo jamaa kaanza kupewa madili na kina riz na watoto wengine wa mjini.

Uko sahihi mkuu.mi nilimaanisha hela anayo sasahivi,sio kabla ya kuwa mkwe wa mzee.

Jamaa hakuwa kawaida upande wa Mpunga kama mnavyofikiria. Alikuwa vizuri na ni mpambanaji wa kitambo sana. Tena yeye ndio alimfundisha mishe mishe na kumuamsha Riz. Ulizaliwa watu wanaomfahamu watakueleza mkuu. Riz alikuwa kawaida kabla hajakutana na Albert. Albert ndio amemuweka Riz kwenye Ramani.
Baba yake Albert alikuwa Mkuu wa Majeshi Gen. Ernest M. Kiaro (1988-1994).
 
Huyo jamaa ana hela kitambo sana sema sio mtu wa makeke mengi. Ni mmoja wa vijana wa mjini waliokuwa na pesa miaka hiyo ya nyuma. Alikuwa boss wa kina Davis Mosha na wengine wengi. Watu wengi hawamfahamu kwa sababu jamaa ni mtu low key sana. Wengi mmemfahamu baada ya kumuoa Dr. Salama.
 
Kwa taarifa fupi tu Gen. Ernest alimlea Marwa na hata hilo jina la Marwa jamaa anatumia tu jina la ukoo.

Asili yake msela ni Uganda,ambako Gen alimtoa baada ya vita vya Kagera na sio baba yake kama unavyosema hapa.
 
True,inawezekana alikuwa vizuri kabla,ila amekuwa vizur zaidi baada.Ukitaka maisha yawe smooth kuwa low key,bongo kuna watu wanahela na mafanikio lakini hawana majina,na wanapenda iendelee kuwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa fupi tu Gen. Ernest alimlea Marwa na hata hilo jina la Marwa jamaa anatumia tu jina la ukoo.

Asili yake msela ni Uganda,ambako Gen alimtoa baada ya vita vya Kagera na sio baba yake kama unavyosema hapa.
Sasa mtu aliyekulea unamwita jirani!!? Kama hauna unachojua sio vyema kuongea. Na pia uwe unakubali kueleweshwa pale usipokuwa na uelewa. Point hapa haikuwa Baba yake ni nani au katokea wapi? Point ilikuwa jamaa amepata utajiri enzi za JK. Ndio nikakuweka sawa ya kwamba jamaa ana hela zamani sana. Mbowe anamfahamu vizuri huyu jamaa. Maana at some point alikuwa anakuja kuchukua hela pale kwenye petrol station yake mjini.
 
True,inawezekana alikuwa vizuri kabla,ila amekuwa vizur zaidi baada.Ukitaka maisha yawe smooth kuwa low key,bongo kuna watu wanahela na mafanikio lakini hawana majina,na wanapenda iendelee kuwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu. Jamaa ni mpambanaji na anajua kutafuta na kuzitumia fursa. Low key ndio mpango mzima. Kuna watu wana pesa wako kimya. Huwasikii Instagram wala Facebook na maisha yanasonga tu. Kijana wa Mengi Abdiel umeshawahi kumuona mitandaoni!?
 
Sasa mtu aliyekulea unamwita jirani!!? Kama hauna unachojua sio vyema kuongea. Na pia uwe unakubali kueleweshwa pale usipokuwa na uelewa. Point hapa haikuwa Baba yake ni nani au katokea wapi? Point ilikuwa jamaa amepata utajiri enzi za JK. Ndio nikakuweka sawa ya kwamba jamaa ana hela zamani sana. Mbowe anamfahamu vizuri huyu jamaa. Maana at some point alikuwa anakuja kuchukua hela pale kwenye petrol station yake mjini.
Braza hujui chochote ila unalazimisha uonekane mjuaji,nimekukosoa ile point ya kwanza kukuonyesha hamna kitu unajua ila mzee wa story za kijiweni.

Na bila kumuweka Mbowe na Chadema unakua unahisi story zako hazijakamilika.

Khs habari za utajiri wa mshkaji sikutaka kuongelea tena maana nimeshaona naongea na mtu wa kijiweni.
 
Huna lolote Wewe. Huna unalojua wala uelewa juu ya Albert. Wewe ndio umemfahamu kwa stori za vijiweni.
Unataka kupotosha umma kwa kujifanya unamfahamu Albert unamjua sana! Ukifuatilia posts zangu huwa sipendi watu kupotosha umma kwa kujifanya wanajua na kutoa taarifa za UONGO.

Kama unamjua Albert alikuwa anafanya biashara gani iliyomtoa kitambo!? Na Ofisi yake ilikuwa wapi pale mjini!? Na ni kina nani walikuwa wafanyakazi au partners wake hapa mjini na baadhi Yao ni matajiri wakubwa tu!?
Nijibu hayo tu kwanza.
 
Hahah alikua anafanya biashara na Mbowe pale Petrol stesheni,hahah.

Usisahau kumsalimia Gen Ernest unayesema ni baba yake Marwa,hahah.
 
Wewe ni mtu wa ajabu kweli kweli aisee! Dah! Najilaumu kwa nini nilijaribu kukuelewesha na kupoteza muda wangu.
Nilimtaja Mbowe kwa sababu kwenu huyo jamaa na mungu mtu, yaani alipo mpo, akitajwa mmetajwa. Ndio maana nikakuelewesha ili uelewe kiuchumi Albert unayemuita alikuwa kawaida sana kipesa. Mmezoea kukimbizana na kina Papaa Kizaizai and the likes.
 
Wewe ni boya tu,mshamba flani hivi umekalia kujipendekeza kwa wanaume tu.

Kuna mtu alikutuma umtaje Mbowe hapa au wewe huyo ni Mungu wako ndio maana unamtaja taja kila thread?

Ni kweli huyo jamaa alikua na pesa sana si umesema alikua anafanya biashara ya mafuta na kina mbowe sio,hahah.
 
Acha Ushoga Wewe! Ni wapi niliposema ALIKUWA ANAFANYA BIASHARA YA MAFUTA NA KINA MBOWE.
Peleka Ushoga wako kafie mbele huko. UONGO UONGO umekujaa kama shimo la choo cha gerezani.
Mimi nakuweka sawa uache UONGO na kukurupukia watu kama unawajua sana. Kwa taarifa yako huyo Albert ni Mtoto Meja Kiaro aliyezaa na mwanamke wa Kiganda. Pathetic fool. Unajifanya unajuaaaa kumbe pwinto kiko.jozi.
Sura imekuvimba kama kikokotoo cha Mafao ya kujitoa.
 
Albert yuko vzr kitambo tu hata kabla jk ahajaingia luthuli ,ana historia nzuri tu ya kuvutia ,ni mganda mixer mkurya

Muislamu muda pia ,na ndio mfadhili wa radio Fulani hivi ya kiislamu ,ana apartment kadhaa mjini

Alihamia UK kwa sababu maalum
Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?

Mi nilisikia msela alikua wa kawaida tu upande wa mpunga ila yule binti alimpenda sana mpk dingi akawa anapaniki afu ukiweka msela alikua mkristo ikawa balaa zaidi mpk binti akatengwa na familia kiaina flani hivi ila baadae ikawa fresh tu ndo jamaa kaanza kupewa madili na kina riz na watoto wengine wa mjini.

MTC | 101|
 
Back
Top Bottom