Hivi Robert Kisena ni nani?

Hivi Robert Kisena ni nani?

Huyu bwana ni tapeli hasa. Maana hata mizizi yake ilianzia kuwatapeli waganda waliokuwa wakifanya biashara na Nyanza kwenye zile Gineries.. Hata zile godown za mafuta pale Mwanza south alifanya utapeli wa mapenzi ndiyo akazipata.

Na huu utapeli wa kuwatapeli kina mama wenye hela (wafanyakazi, wafanyabiashara, wajane n.k) umeshamiri sana. Nilipata kuwa na urafiki na bwana mmoja na kufanikiwa kujua michezo yao, ndugu yangu unaweza lia. Watu wanafirisika.

All in all kisena ni 'mpigaji'..
I see! soo sad. Lakin hao wahanga wa utapeli hawana nguvu ya kujitetea?
 
I see! soo sad. Lakin hao wahanga wa utapeli hawana nguvu ya kujitetea?

Kisheria ni vigumu sana. Nikipata wasaa nitaandika uzi kuelezea jinsi gan utapeli huo unavyofanyika. Wapo watu wanne ambao ninawajua fika jinsi walivyolizwa. Yupi mmoja dada mmoja, ni 'staff' wa suma jkt kwa muda wa takribani miezi 8 Mil 19 ililizwa.
 
Utamdanganya nani ?
Ile kesi Chenge aliichukua tu,ilikuwa ya mkewe na ilikuwa Traffic Case ndio maana aliona rahisi kuchomoka.

mke wake aliwagonga wale vimada wa mzee akatelekeza gari,baada ya kufuatilia ikaonekana gari iliyogonga ni ya Chenge...Kwa hiyo case inakuwa ya mmiliki wa gari ambalo limesababisha ajali.

Ndio maana utaona hata mzazi wa yule binti mmoja alikiri kuwa anafahamu binti yake alikuwa ana mahusiano na Chenge.

Yule binti alimkamata sana mzee,alikuwa afurukuti...Mwenye nyumba akaamua kumaliza ubishi kwa kuipandia bajaji.Watu wana pesa sana lkn wanakosa amani ya moyo.

Kuna mtu analala mlango wazi na milo miwili...Lkn ni furaha na amani kwa mkewe na watoto ndani ya nyumba.
 
Hapo ndipo utajua kweli serikali ya CCM ni ya wanyonge,inayajua yote lkn Chenge yuko mtaani anadunda.

RIP wanyonge.
Tatizo ni Sheria mbovu katika kesi zinazohusu ajali za barabarani. Bila shaka mtemi Chenge wa Nyantuzu aliteleza na hizo Loopholes akapiga goli la mkono.
Unajua ya kwamba ukigonga mtu ukaua halafu ukijishalimisha Polisi faini ni shilingi 50,000/-!!!???? Na ndio maana watu wengi wenye Nia Ovu hupendelea kutumia Ajali zaidi ya risasi. Pumzika kwa Amani Chacha Wangwe. Pumzika kwa Amani Regia Mtema.
Hata huyu jamaa anayepiga kelele kuwashutumu watu hovyo ya kwamba walitaka kumuua wangempelekea Scania mende iliyojaa kifusi cha kokoto asingetoboa.
 
Ile kesi Chenge aliichukua tu,ilikuwa ya mkewe na ilikuwa Traffic Case ndio maana aliona rahisi kuchomoka.

mke wake aliwagonga wale vimada wa mzee akatelekeza gari,baada ya kufuatilia ikaonekana gari iliyogonga ni ya Chenge...Kwa hiyo case inakuwa ya mmiliki wa gari ambalo limesababisha ajali.

Ndio maana utaona hata mzazi wa yule binti mmoja alikiri kuwa anafahamu binti yake alikuwa ana mahusiano na Chenge.

Yule binti alimkamata sana mzee,alikuwa afurukuti...Mwenye nyumba akaamua kumaliza ubishi kwa kuipandia bajaji.Watu wana pesa sana lkn wanakosa amani ya moyo.

Kuna mtu analala mlango wazi na milo miwili...Lkn ni furaha na amani kwa mkewe na watoto ndani ya nyumba.
Hivi jamani mtu unakuwa mchepuko wa Chenge hata gari hauna ?Unapanda bajaji?Huyu Chenge atakuwa ahongi kabisa.
 
Tatizo ni Sheria mbovu katika kesi zinazohusu ajali za barabarani. Bila shaka mtemi Chenge wa Nyantuzu aliteleza na hizo Loopholes akapiga goli la mkono.
Unajua ya kwamba ukigonga mtu ukaua halafu ukijishalimisha Polisi faini ni shilingi 50,000/-!!!???? Na ndio maana watu wengi wenye Nia Ovu hupendelea kutumia Ajali zaidi ya risasi. Pumzika kwa Amani Chacha Wangwe. Pumzika kwa Amani Regia Mtema.
Hata huyu jamaa anayepiga kelele kuwashutumu watu hovyo ya kwamba walitaka kumuua wangempelekea Scania mende iliyojaa kifusi cha kokoto asingetoboa.
Kama mlivyompelekea Salome Mbatia sio?
 
Apumzike kwa amani Dk.Ali Juma,Sokoine(Kwa mujibu wa Dr. Bushiri ile haikua ajali),Mwandosya&Mwakyembe mkawakosa kosa.

Aisee huyu Mbowe ni noma sana.
Makonda alionekana Dumila akifanya mazoezi wakati Ajali ya Marehemu Sokoine ikitokea!?
 
Mbowe mafia sana,mzee wa Deko Dr.Bushir anajua kila kitu we muulize usikie.
Mafia aliyelegezwa Segerea kutwa kulilia kumeza panadol na tembe mbili akili na mwili vimkae sawa. Anashindwa hata na Esther Matiko anayehudhuria Mahakamani bila ya madeko.
 
Robert Kisena kama ni huyu wa Nsumba nilikuwa naye darasa moja.Nilikuwa B yeye C na tulimaliza1996.Alikuwa ni msukuma Mnyantuzu wa kawaida.Hayo mengine mbona siyajui? Uchaguzi wa 1995 bado alikuwa form three.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana mkuu huu ni uongo...Kisena kamaliza 1991..na alikuwa anatumia Jokala Kisena hili la Robert Kisena sijui hata lilitokea wapi tu. Mimi naingia Nsumba form one mwaka 1990 yeye anaingia kama Form four...Nilikuwa naye karibu kiasi maana mwenyeji wangu ambaye alikuwa form two walikuwa marafiki sana ingawa baada ya Kisena kupata hela kama alimtupa vile. Jamaa hakuwa wa kawaida kivile maana kama akili za darasani alikuwa vzuri sana na kwenye suala la kujieleza usimpe nafasi atakuacha....Headmaster Kibona pamoja na ukorofi wake kwa Kisena alikwama....kila akitaka kumfukuza shule jamaa akimfuata ofisini kwake wanayamaliza....Kisena alikuwa anajihamini sana maana Mr Kibona alikuwa haingiliki hv hv ila mshikaji akishafanya noma zake alikuwa anamfuata Mr Kibona either ofisini kwake au hata nyumbani kwake...Pamoja na utukutu wake ila walimu walikuwa wanampenda maana alikuwa kichwa.
 
Huyu ni kijana anayezungusha fedha za jk

Kuna ukwell katika hili Kuwa ni Dalali wa JAKAYA kupitia mwanae RITZ; kwani mtakumbuka kuwa huyu bwana ndiye aliyehusika na ununuzu wa mali za UDA kwa njia za kifisadi akisaidiana na KAPUYA na IDD SIMBA wakati huo akiwa mwenyekiti wa bodi ya UDA enzi ya utawala wa Kikwete. Enzi ya Kikwete pia kama mtakumbuka kulikuwa na mpango wa kufufua uchumi [ STIMULUS PACKAGE}] uliohusu kusaidia sectors zilizoathirika na mdororo wa uchumi duniani hasa za kilimo ambapo benki ya ASILIMALI{ TIB} ilikabidhiwa fedha nyingi na kuwakopesha waliokuwa kwenye sector ya PAMBA; huyu Kisena alikuwa mdau wa PAMBA. Kupitia mgongo wa Mkwere aliweza kupewa fedha nyingi za STIMULUS PACKAGE yeye akiwa kama conduit ambazo baadae akazitumia kutaka kugombea ubunge kupitia CCM huko usukumani!!! Kwakifupi huyu mtu ni tapeli mmoja anayetumiwa na wezi wakubwa serikalini kuhujumu uchumi wa Nchi!!!
 
Back
Top Bottom