Hivi Robert Kisena ni nani?

Hivi Robert Kisena ni nani?

Aliwahi kuwagonga kwa kutumia gari wadada wawili wakiwa kwny bajaji wakafariki wote na akalipa zake faini ya laki 7 tu,akaachiwa huru.
Aliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
 
Kabisa ! tena aligonga akiwa njwii kabisa !
Acha Uzandiki na Unafiki kamanda! Aligonga akiwa njwiiii ulikuwepo!? Acheni chuki za kipumbavu. Chenge hakuhusika na hii ajali Bali alinunua kesi kumnusuru Mke wake. Soma post #157 itakusaidia. UONGO umewajaa mpaka mnatia kinyaa..Ptuuuuuuu.
 
Anatokea maswa pia ana biashara zake pale IGOGO voil aligombea ubunge 2010 kupitia mccm akashindwa na shibuda wa Chadema kipindi hicho
 
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwa na jina ilo ni
Robert Kisena

Wanaomjua hebu tudadavulie

Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake.

Kwenye kesi dhidi ya Idd Simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa.

Hawa jamaa waliokula Tanzania bila kushiba...Meridian Biao sijui
 
Aliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
da aisee huyu msukuma sijui sheria aliisomea nchi gani maana ni mjanja balaa yaani skendo zote yumo na mnaona kabisa lakini hata pakumuanzia hampaoni alishawajhi kuitwa akahojiwe akakataa wenziew walienda na hakufanywa kitu na bungeni ni MHESHIMIWA MWENYEKITI
Harvard
 
Mnamuonea kisena. CCM wote ni matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo mkuu hayana cha CCM wala chama chochote, hata leo hii chama kingine kikiingia madarakani wezi karibu wote wataingia upande wa pili, inshu ni kwamba watu wanatafuta uwepesi wa mambo yao yaende. Hata hawa wanaopiga kelele za uzalendo hakuna cha uzalendo wala nini inshu ni maslahi/kunufaika tu.
 
Aliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
Hapo ndipo utajua kweli serikali ya CCM ni ya wanyonge,inayajua yote lkn Chenge yuko mtaani anadunda.

RIP wanyonge.
 
Back
Top Bottom