Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

Thubutu!

Nani atakubali upuuzi huo.

Sana sana patakuwepo na askari wawili watatu kuhakikisha usalama, basi; na hasa kama kuna maandamano ya wananchi wake walioko huko wakipinga siasa zake.
Kule watu wanafanya kazi kwa masaa hawana muda wa kusubiri kiongozi wa kiafrica apite
 
Back
Top Bottom