Nigeria: Rais Bola Tinubu atembea na msafara wa magari 120

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Rais tinubu wa nigeria amezua mjadala nchini humo baada ya kutembea na msafala wenye magari zaidi ya 100.

Msafara huo umezua mjadala nchini humo hasa katika kipindi hiki ambacho ruzuku ya mafuta imeondolewa mara tu alipoingia madarakani.

Rais huyo alikuwa akielekea kwenye sherehe ya eid mjini Lagos siku chache baada ya kuwasili nchini humo kutokea London, Uingereza kwa safari binafsi.

watu walilamika kusimamishwa kwa muda mrefu barabarani kupisha msafara huo.

wiki mbili zilizopita Rais huyo alizua mjadala nchini humo kwa kuongeza gari za zimamoto katika msafara wake.

source: citizen tv kenya
 
Ila Nigeria inatawaliwa sana na wazee, kuna yule alifia Madarakana kabisa, atlest Jonathan ndio hakuwa mzee sana
 
Hao wananchi wapumbavu watulie, hawana cha kumfanya huyo Rais wao.
Jiwe mbona alikuwa anatumia billion 1 kugharamia safari moja na wananchi wake wakawa wanamwita mtetezi wao?
 
Hata jiwe alikuwa anatembea na msafara unaozidi magari 100. Niliwahi kukaa masaa 3 kusubiri. Alikuwa anatoka moshi kuja dar. Huyu samia ana msafara wa zaidi ya magari 70.
 
Back
Top Bottom