Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Ngoja nami nichangie machache

1,huyo mwanajeshi ambae muda wote unamuona na raisi anaitwa ADC Aide de camp,kazi yake kubwa ni kuhakikisha anamsaidia raisi kwenye shughuli zote,kama kumbebea simu na baadhi ya vitu vyake na kingine kikubwa yeye ndo mtu wa kwanza kuwa responsible pale inapotokea ambush ya haraka na yeye ndo huhusika haraka kwenye kumtorosha raisi au kumkinga na lolote mfano pale bush alipo rushiwa kiatu basi angekuwa rais wetu basi yule ADC angekidaka na kumuondoa chap mkuu eneo la tukio.

2.namba mbili ni hao wavaa suti,hao ni kikosi cha raisi ambao kazi yao kubwa ni kuhakikisha usalama wa raisi katika nyinja mbali mbali hasa kuhakikisha kuna radius(duara)ambalo watalitengeneza kuhakikisha kuwa hakuna adui anaingia ndani ya meter hizo,hvyo chunguza raisi kila atembeapo huwa kuna duara linatengenezwa na hwa jamaa kuhakikisha kuwa adui hasogei karbu na raisi na kila wanapopiga hatua ndio hapo hapo raisi nae atakanyaga.
Hawa jamaa hubeba silaha aina ya pistol ndogo kiunoni but kama utakuwa makini kila raisi akiwa ameshuka kwenye gari anatembea huwa kuna magari yanatembea yakiwa karibu nae mno,likiwemo gari lake basi yale magari mengne huwa ni maalum yamebeba silaha nzito incase limetokea tatizo basi ni kitendo cha dakika tu wanaume walishazibeba na kukinukisha.

3.Hao wanaovaa nguo za mabaka mabaka na silaha nzito hao wanaitwa energence response team hao kazi yao ni ku act haraka na kupambana na adui as soon ameact au kuonyesha dalili za kutaka ku attact na ndio wakwanza kumzunguka rais na viongozi ndani ya tukio(kumcover) wakati huo wale wengine wasuti wanachukua silaha kwenye magari ili kuunganisha nguvu,then kumtoa mkuu eneo la tukia as soon as possible huku msala mkibaki nao na hawa wa mabaka mabaka

4,ni hao unao waona kama field force hicho ni presidential force ambayo inahusika na kuweka mazingira sawa,wakati raisi akiwa bado hajafika eneo la tukio na wangine wanakuja nae,kazi yao ni kutengeneza njia ya raisi kupita na kuzuia mtu yoyote au chochote kisiwe karibu na raisi kwa umbali wa meter 10.nao pia wana act ina case kumetokea tatizo na wako vizuri sana kwenye combat kwa maana ukitaka kumkarbia raisi alafu wakakuonya ukajifanya mbishi utachezea ngumi ndani ya sekunde na watu wasijue but watashangaa tu pua znatoka dam

Pia kuna hao trafiki ambao unawaona hapo kwenye msafara,hao k
Ote ni usalama wa taifa wanakuwa wanakink moja kwa moja na kitengo,na kabla mheshimiwa hajapita eneo la tukio ni lazima lipite gari au piki piki ya ikulu kwanza kuangalia njia na waongozaji kama ndo wenyewe au kuna tofauti then ndo anatoa permission kwa msafara kusogea ikiwa other wise msafara unaweza kugeuza hata hapo hapo.

Pia mwisho tambua kuwa raisi si mtu bali raisi ni taasisi inayojitegemea na ya kipekee kushinda zote, hivyo usishangae umaambiwa kuwa kuna magufuli watatu (doubles)

I hope nmejibu tunachotakiwa kujua mengine yaache yawe classified

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZwe Rwanda haijawai deposit Askari kwa jpm Kuna jikosi maalum Cha JWTZ Cha inteligencia Cha massenary watz kitu Kama hujui Bora ukae kimyaaa🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
 
ngoja niwasaidie...
raisi analindwa ki mzunguko inaweza kufkia 3 au 4 au na zaidi

first ring ni wale wapembeni yake mda wote wale hawavai uniform
kazi yao ni kumtoa chap eneo la tukio

af kuna ring ya2 ni hao maarufu kama makirikiri
kazi yao ni kukava ring ya1
hao wote ni tiss vip protection

ring ya3 ni hao polisi ffu kitengo cha vip protection nb:ffu wote hupata mafunzo ya medani sawa lkn ukichaguliwa vip protection kuna kozi unaenda na wapo wengi tuu hakuna garantii (utaratibu wa police ni uleule)
hawa hupambana na adui au kumhold msaada ufike.

ring ya 4 ni watoa taarifa na kudili na mtum1 1 kabla hujafika ring ya 3hawa pia hawavai yuniform pia ni mchanganyiko wa tiss na polisi cid au yoyoye mwenye mapenzi mema.

pia wapo swipers hawa hutangulia kabla kupima hali kabla mkuu hajafika siku kadhaa
hawa wanaeza kua wa hapohapo mkoani au hata kutoka hq

raisi analindwa na police na tiss kwa tz. zipo nchi hadi jeshi linamlinda raisi

huyo wa nyuma yake ni mpambe wala ata hausiki na ulinzi tofauti na usaidizi ni........
mwingine aongezee

pia kushika silaha karibu na mkuu lazima uwe umechinguzwa wewe hadi baba ake babu yako😂😁😁 sema uwe mwadilifu mtiii ulie tukuka

kama kuna swali npo hapa.
 
Tuache propaganda, wale ni TISS tatizo hatujazoea kuwaona TISS na uniform zao wakilinda viongozi na silaha nje nje. Pale Makumbusho hata wakati wa Kikwete walikuwepo getini pale.
Kaa hapo hapo getini Makumbusho
mm hii Mada nilishaiacha maana tunafuatana mpaka inbox, na aliyenifuata akijifanya kufanya kazi za TISS nahisi kafukuzwa au ni yule aliyefwariki na Corona nilimlaani
kwa kifupi Rais halindwi na Kitengo kimoja,
hujui lolote soma na fuatilia post # 168 hapo chini ya xng hua

[QUOTE="xng hua, post: 35879097, member: 389236"
ngoja niwasaidie...
raisi analindwa ki mzunguko inaweza kufkia 3 au 4 au na zaidi

first ring ni wale wapembeni yake mda wote wale hawavai uniform
kazi yao ni kumtoa chap eneo la tukio

af kuna ring ya2 ni hao maarufu kama makirikiri
kazi yao ni kukava ring ya1
hao wote ni tiss vip protection

ring ya3 ni hao polisi ffu kitengo cha vip protection nb:ffu wote hupata mafunzo ya medani sawa lkn ukichaguliwa vip protection kuna kozi unaenda na wapo wengi tuu hakuna garantii (utaratibu wa police ni uleule)
hawa hupambana na adui au kumhold msaada ufike.

ring ya 4 ni watoa taarifa na kudili na mtum1 1 kabla hujafika ring ya 3hawa pia hawavai yuniform pia ni mchanganyiko wa tiss na polisi cid au yoyoye mwenye mapenzi mema.

pia wapo swipers hawa hutangulia kabla kupima hali kabla mkuu hajafika siku kadhaa
hawa wanaeza kua wa hapohapo mkoani au hata kutoka hq

raisi analindwa na police na tiss kwa tz. zipo nchi hadi jeshi linamlinda raisi

huyo wa nyuma yake ni mpambe wala ata hausiki na ulinzi tofauti na usaidizi ni........
mwingine aongezee

pia kushika silaha karibu na mkuu lazima uwe umechinguzwa wewe hadi baba ake babu yako😂😁😁 sema uwe mwadilifu mtiii ulie tukuka

kama kuna swali npo hapa.
[/QUOTE
 
Sijui umeandika nini?
 
Yawezekana wote ni sawa, bali hayo mavazi tofauti ni kutisha watu tu.
 
Ebu nisaidie kuelewa yule jamaa Wa nyuma Wa raisi anatoka kitengo gani cha jeshi au anachaguliwaje,Je sio komandoo? Mi mpaka Leo ndo najuaga yule ni mtu hatari na mwenye mafunzo adhimu kuliko askari yoyote yule.au nikiwa UvCcm na kukimbia mgambo tu napata ile nafasi? Huu upambe sijaelewa mkuu nitoe tongotongo kidogoo...
 
anasomea sasa anasomea nn inabidi akaulizwe yeye

kuhusu kupatikana kwake ni anateliwa tuu maana wapo wengi jeshini
ila pia ni alama
 
Ebu nisaidie kuelewa yule jamaa Wa nyuma Wa raisi anatoka kitengo gani cha jeshi au anachaguliwaje,Je sio komandoo? Mi mpaka Leo ndo najuaga yule ni mtu hatari na mwenye mafunzo adhimu kuliko askari yoyote yule.au nikiwa UvCcm na kukimbia mgambo tu napata ile nafasi? Huu upambe sijaelewa mkuu nitoe tongotongo kidogoo...
yule ni JWTZ, anasimama kumlinda Rais wa Nchi (BodyGuard) na wala sio POLISI / FFU wala TISS
Rais anapokuwa katika Majukumu mengine km ya Chama chake cha Siasa huyu JW hutamuona
 
Ndio wapo Swat ni specialist in weapon and tactics kama huamini kuwa ni specialized kwa weapon and tactics jaribu kujifanya kichwa ngumu
Kumbe Tanzania Kuna S.W.A.T duuh
 
Back
Top Bottom