Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,353
Ona unavyoandika kwa kujichanganya, ni wazi kuwa una andika vitu usivyokuwa na uhakika navyo..Nkusahangaa mbona kila ukiingia wewe ni kupinga tu
TISS hawako hivyo kaa utulie zipo Mada kibao humuhumu sio lazima uvuruge
km unaona tunakufunua acha au potezea tudanganyane
IGP siku hiyo kakamata wote waliokuwa Gate No2 walioona tukio, na NISSAN zilizochomoka moja iliwaka moto Morogoro na waliishia Makao ya Polisi DSM na yupo aliyefariki kuumwa kichwa tu
ipo siku mtafichuliwa kwani mliyetaka kuumuua atarejea na Dereva wake
Kama Rais Msatafu alikiri alidanganywa miaka hiyo hili tukio si la Kigogo
Hadi sasa Jeshi la polisi halijaweka wazi ripoti yake ya uchunguzi, embu acha kupotosha kwa kuokota maneno huko kwenye vijiwe na kisha unavileta hapa moja kwa moja bila hata ya ku reason kujua ukweli ni upi?
What if Mwenyekiti wenu ndio alihusika katika tukio zima la ufyatyani risasi..
Sent using Jamii Forums mobile app