Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
Google nimeingia tangu zamani kuhusu neno ADC na si neno la kwetuMkuu ni hivyo unataka au hutaki. Unaweza uka GOOGLE neno Aide de Camp, kifupi ADC, wapo kwa wakuu wengi tu hata IGP anaye tokea FFU.
lkn kazi yake si kushika pochi km mnavyojua, na hayupo pale kwa urembo
Kumbuka Kifo cha Anwar Sadat wa Misri 6/October/1981 ADC wake walikinga risasi lkn yeye Rais aliuawa wakati wa Gwaride wakati aliambiwa avae Bullet Proof
kwa hiyo sisi wengine tunajua yule ni Bodyguard hayupo kwa kujificha nyuma yake
nipo kwa kusahihishwa hata Google