Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Acha alindwe, amefanya kazi kubwa, msije mwekea sumu kama mangula.

Hiviu unamini mangula kawekewa sumu namtu wa njee, kumbuka alikuw akwenye kikao na raisi, sasa kama mtu anweza kuweka sumu kikao raisi yumo angeshindwa vipi kumuwekea raisi,
tujiulize sana hili kabla ya kutuhumu watu.

Naamini ni inside work pekee inayoweza kuweka sumu kikao ambacho raisi yumo.
 
Hiviu unamini mangula kawekewa sumu namtu wa njee, kumbuka alikuw akwenye kikao na raisi, sasa kama mtu anweza kuweka sumu kikao raisi yumo angeshindwa vipi kumuwekea raisi,
tujiulize sana hili kabla ya kutuhumu watu.

Naamini ni inside work pekee inayoweza kuweka sumu kikao ambacho raisi yumo.
Ila haijajulikana ni sumu gani, hata dawa tuzinywazo zaweza kuwa ni sumu.
 
kuna wenye mabaka sio wa kwetu wala Mambo ya ndani
Kwa uongo huu ni heri tu mtoane ngeu; hawa wa mabaka wapo toka enzi, ni kikosi maalum cha ulinzi wa viongozi
 
Jukumu la kumlinda raisi au kiongozi mkubwa lipo chini ya kitengo Cha presidential security unit(PSU) kipo chini ya TISS..... wale wanaovaa suti nyeusi ni watu wa usalama wa taifa jukumu lao wanamlinda raisi kwene inner perimeter, wanaovalia nguo za makilikili nao ni usalama wa taifa hubeba silaha nzito na kazi yao nikumlinda kwene outer perimeter miaka ya zamani walikuwa wanalinda ikulu pekee ila kulingana na maboresho ya kiulinzi wa raisi wanamlinda Hadi nje ya mipaka ya ikulu, kiufupi usalama wana uniform nyingi sana....wale FFU ni kitengo Cha ulinzi wa raisi kutoka ndani ya jeshi la polisi pia wanalinda kwene outerperimeter...,lastly yule mwanajeshi wa JWTZ ni Aide de cemp(ADC) Yani mpambe na uwa anakuwa na cheo Cha kanali na ioo hivo kwene nchi zote, kanali ni afisa mkubwa jeshini na uwa anaongoza vikosi.hivo uwepo wake nyuma ya raisi inaonesha ndie amiri jeshi mkuu na majeshi yote yanamtii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uongo huu ni heri tu mtoane ngeu; hawa wa mabaka wapo toka enzi, ni kikosi maalum cha ulinzi wa viongozi
ulikuwepo akaziona hizo nguo za mabaka ktk awamu hizo au ni kubisha tu?
unamalizia ni kikosi cha ulinzi wa viongozi (km nani Lowassa Sumaye au Majaliwa?)
 
Sawa Magufuli maana wewe ndio unajua
Jamaa yangu humu ndani ya JF kuna viranja na waendesha Mashtaka (DPP) wakali kuliko MOD
Wanadai mpaka Ushahidi, wasipouona matusi wakipewa ni wambeya wanaweza haribu na Maisha yako
anaye JUA mwache aJUA mpaka JUA litachwea hataJUA
wakiweza wafunge mada wanaoJUA wabaki na kuJUA kwao
 
ulikuwepo akaziona hizo nguo za mabaka ktk awamu hizo au ni kubisha tu?
unamalizia ni kikosi cha ulinzi wa viongozi (km nani Lowassa Sumaye au Majaliwa?)
Hawa uliowataja wanalindwa na nani ; au hawalindwi?
 
Hawa uliowataja wanalindwa na nani ; au hawalindwi?
wanalindwa na TISS ambayo ina vitengo kibao kikiwepo cha PSU ila hao Wastaafu, Sumaye Lowassa Mwinyi hawana walinzi wa silaha na mbwembwe ndio tofauti ya PSU
Aina hiyo hutawaona Wilayani, kwenye Miji au humu JF, ndio maana tunasema wapo wengine,
TISS ni Idara kubwa hata hao wenye mabakabaka, FFU, SWAT na wanaova misuti na miwani, huwezi kuwaona kwa Wastaafu.
Bado huku mitaani tunao wanaouza magazeti huwezi waona wakishika silaha km wa PSU,wanripoti kila siku kazini
tofauti ni hiyo tu Mkuu
 
yaani kimya tene Kesi ilikuwa Murder
kuna mjamaa aliteka gari za pesa za NMB zikitokea Makao Makuu zikipelekwa Wami Morogoro alitembeza mpini, Traffic mmoja akajitolea.
Yule jamaa alikamatwa kupitia vocha sijui mpirani, lkn Kesi hakuna
sijaju hawa jamaa ni wachache au muhimu?
Mkuu nitafutie ichi kisa, nisome.

5/5
 
-Aide de camp ni mpambe wa Rais na ndiyo huyo anayevaa sare za JWTZ(HUYU SIYO MLINZI WA RAIS,ANAONEKANA KWENYE MATUKIO MUHIMU TU YA KITAIFA YA RAIS).

-Presidential Security Unit iko chini ya TISS na maafisa wake ni hao pembeni ya Rais wakivaa kiraia(suti) nk na wapo wanaovaa kombati zenye baka baka wote ni TISS.

-Field Force Unit hawa ni askari wa Jeshi la Polisi wapo pale kuongeza msaada wa kiulinzi na kwa kuwa wao pia wanamafunzo ya kudhibiti mikusanyiko ya watu(crowd management) hivyo ni msaada mkubwa.

-Jukumu la ulinzi wa Rais linatekelezwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama ila tu kuna ngazi za utekelezaji wa majukumu yao.

-Suala la wanyarwanda kumlinda Rais wetu hilo ni BIG NO hawa ni watanzania wenzetu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipo elewa hapa, hawatokuja kuelewa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio jamaa yangu, hilo dude TISS ni kubwa sio kikosi cha ulinzi tu
hata wilayani, Mikoani wapo
kuna wale waliomsniper Mbunge risasi 32 kule Dodoma wakakimbilia pale mwanzo wa Reli/ ta kati/Bandarini mpaka wa2 wakaondoka mmoja kwa kichwa tu,
jiulize kwanini wapo mpaka JF km waliingia mpaka Clouds kwenye post yako watashindwaje
Acha kupotosha, una uhakika gani Tiss ndio walifyatua risasi 32 kule dodoma..

Naona Kigogo aliwalisha matango mkayachukua kama yalivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu nawaonaga pembeni ya Rais wana vitambi vikubwa kubwa ambapo hatakukimbia hawawezi.

Huwa najiuliza siku kikunuka kazi ya wale ni nini?

Vitambi kwenye vyombo vya usalama na ulinzi vipigwe marafuku.
 
Back
Top Bottom