Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Sasa mlitaka akae kindezi Siku ukitaka kujua shughuli yao jifanye kama tule mwislamu ali alimpiga kibao Rais Mstaafu Mwinyi utaona vikosi vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wanyarwanda tunawafundisha wenyewe Marine Mbweni leo waje kutulindia Rais acheni Kahawa za mchana
Kila Rais na watu wake amaowaamini, huwezi mpangia watu asiowaamini
Awamu ya kwanza tuliona kibao kutoka Musoma
awamu ya pili vilevile alibadili watu wa karibu yake wengi kutoka zanzibar
awamu ya 3 vivyo hivyo ya 4 kina Gurumo walikuwa wasemaje
kwa hiyo hata ukimfundisha anaweza kubebwa tu kutokana na imani yake kuwa karibu
Nani angeamini Kabila Baba angechukuwa walinzi na wakuu wa majeshi kutoka Rwanda?
hHayo mengine waachie wao angekuwepo Mch Mtikila au Kombe wangekuambia wameenda wapi au walimgusa nani
 
(special weapons and tactics

Wee,weapes hatuna wenze2 wanatumia hata cameras zenye uwezo wa kupenetrate na kuonyesha maadui kwenye buildings ktk uokoaji wa mateka maybe tactics tunajifunza kutoka kwa nchi nyingine lakini sidhani Kama tunafundishwa zote .

Wewe unajua vifaa vilivyopo kwa ajili ya usalama kwa vikosi vyote hata hivyo unavyosema wenzetu wanavyo ulishashuhudia live demonstration au ni vitu vya movies tu vitu vya kiusalama kama gadgets huwa havitangazwi vikinunuliwa labda litokee tukio vionekane vikirumika ndio utakua na uhakika usikari sana movies za Hollywood vitu vingi huwa ni concepts

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa sasa ongezea na kikosi kingine cha kupambana na corona.
 
Kila Rais na watu wake amaowaamini, huwezi mpangia watu asiowaamini
Awamu ya kwanza tuliona kibao kutoka Musoma
awamu ya pili vilevile alibadili watu wa karibu yake wengi kutoka zanzibar
awamu ya 3 vivyo hivyo ya 4 kina Gurumo walikuwa wasemaje
kwa hiyo hata ukimfundisha anaweza kubebwa tu kutokana na imani yake kuwa karibu
Nani angeamini Kabila Baba angechukuwa walinzi na wakuu wa majeshi kutoka Rwanda?
hHayo mengine waachie wao angekuwepo Mch Mtikila au Kombe wangekuambia wameenda wapi au walimgusa nani

Da Mange bana aliharibu sana brains za vijana wa kileo.
 
Hiyo namba tatu ni uzushi na ulofa wa watanzania wengi kumezeshwa maneno issue ya ulinzi wa Raisi ni sensitive sana kwa taifa kama Tanzania lenye vikosi vyenye weledi huwezi kuleta walinzi kutoka nçhi jirani ndio wahusike kwenye ulinzi muwe mnafanya reasoning sio kuandika tu ili mradi uonekane umeandika

Matunda ya Da Mange kuwamezesha vijana pumba ndio hayo sasa mkuu.
 
TISS wana vitengo vingi kama Polisi, wale wenye sare za mabaka madogo ni moja ya vitengo maalum ndani ya TISS na pia wale wenye sare za FFU ni moja ya vitengo maalum ndani ya FFU.

Wote wamepitia mafunzo maalum ya kikomandoo na mambo ya ulinzi kwa viongozi maalum V.I.P. Ukikutana na FFU kitengo maalum hata bila kuambiwa utajua si askari wa kawaida na hawa hawatumiki kwenye operations za kutuliza ghasia n.k labda matukio yaliyoshindikana.

Baadhi ya maelezo yalitolewa kwenye sherehe za uhuru kama sikosei zilizofanyika dodoma. Issue ya askari kutoka Rwanda ni uzushi a.k.a matango pori.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wapuuzi hata wanasema kuna aslari toka Rwanda. Sijui wanataka tuwambie yule mnayemuona ni fulani toka Nanjirinji. Wale wanaowajua hadi majina huona kumbe mitandao kuna kulishana sumu kama hutachuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk

Sent from my iPhone using JamiiForums
WOII USIUMIZEE KICHWAA WOTEE N WALINZI WA RAISI
HAKUNA WANAOMPIKIA MSOSI HPOO WOTE WAKO KUMLINDA
THX
ROGER ROGER
 
Sijawahi kuona Rais yeyote duniani kulindwa na askari wa nchi nyingine hilo la Rwanda siamini

Sent from my iPhone using JamiiForums
Laurent Kabila wa Congo alikuwa analindwa na Watanzania. Walipotika akalindwa na Wanyarwanda, wakamuua.
Milton Obote wa Uganda aliporudi mara ya pili alikuwa analindwa na Watanzania. Rene wa Syschelles alilindwa na watanzania. Museveni wa Uganda amelindwa na Warwanda muda mrefu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Acha kudanganya hakuna askari kutoka Rwanda
 
Back
Top Bottom