Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Google nimeingia tangu zamani kuhusu neno ADC na si neno la kwetu
lkn kazi yake si kushika pochi km mnavyojua, na hayupo pale kwa urembo
View attachment 1496639
Kumbuka Kifo cha Anwar Sadat wa Misri 6/October/1981 ADC wake walikinga risasi lkn yeye Rais aliuawa wakati wa Gwaride wakati aliambiwa avae Bullet Proof
kwa hiyo sisi wengine tunajua yule ni Bodyguard hayupo kwa kujificha nyuma yake
nipo kwa kusahihishwa hata Google
Mada iliyokuwepo hapa ni nini kazi za hao waliopo katika hiyo circle na si mengineyo. Kuhusu kilichotokea mauaji ya Sadat, hilo hata huyo wa TZ linamuhusu kwa kuzingatia kiapo chake cha kuwa askari.
 
sawa nimekuelewa Mkuu, sasa kwanini sisi tunaiga?
kwanini tusibuni ya kwetu km Putin wa Russia au wale walinzi wa Marehemu Ghadaf?
wenyewe tumeanza kuzichambua kazi za hao waliomzunguka Kiongozi kuanzia SWAT wakisema si kundi moja
sijaona kosa kutoa mifano ya Nchi za nje,labda ningetoa mfano wa Mkwawa au Mirambo walivyolindwa
 
Mkuu yule afisa wa Jeshi pale jukumu lake la kwanza sio Ulinzi japo anaweza ku act kama mlinzi kutegemea na scenario ila Primary role yake pale sio ulinzi na usishangae hata akawa unarmed,
Lakini pia kila mtanzania aliepo karibu na mkuu wetu wa nchi anapaswa kuwa mlinzi kuhakikisha Rais hazuliki hata wewe ukiwa kwenye mhadhara alipo Rais unapaswa kumlinda mkuu wako wa nchi iwe na wachawi au aina yoyote ya tukio litakalo mdhuru, Rais ni Alama ya nchi ivo atalindwa kwa gharama yoyote.
Hilo wala sio la kuuliza, hata nikinyaka mawasiliano popote
 
sawa nimekuelewa Mkuu, sasa kwanini sisi tunaiga?
kwanini tusibuni ya kwetu km Putin wa Russia au wale walinzi wa Marehemu Ghadaf?
wenyewe tumeanza kuzichambua kazi za hao waliomzunguka Kiongozi kuanzia SWAT wakisema si kundi moja
sijaona kosa kutoa mifano ya Nchi za nje,labda ningetoa mfano wa Mkwawa au Mirambo walivyolindwa
Wazo zuri. Lakini kuiga kunatokana pia na mazingira yaliyopo sasa kwa mtazamo wangu. Technology na maendeleo vinaweza kuwa kigezo cha mahitaji haya tunayoyaona. Mfano ni yale/lile gari la kufuta mawasiliano linaloongozana na msafara halikuwa likihitajika miaka ya nyuma ila sasa ni muhimu.
 
HHa Vinci
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk

Sent from my iPhone using JamiiForums

UH-60 Black
Sent from my iPhone using JamiiForums

hata wazee wa gambosh pia wanamlinga hihihi
 
yule ni JWTZ, anasimama kumlinda Rais wa Nchi (BodyGuard) na wala sio POLISI / FFU wala TISS
Rais anapokuwa katika Majukumu mengine km ya Chama chake cha Siasa huyu JW hutamuona
Hamlindi wala sio bodyguard yule ni nembo ya jeshi kuonyesha aliyesimama mbele yake ndiye amiri jeshi mkuu
 
Mkuu upo sahihi kabisa lkn wengine wanakuja na hasira wanataka tufuate mtindo wa Mabeberu au tuige mambo ya kifalme Rais eti mlinzi wake awe mbali ila karibu awepo mpambe km wale wa mabwana harusi kumpangusa jasho na kumtolea simu
Jamaa mbishi na huelewi
 
Kama unamzungumzia bonge ni mwanasheria yule mdogo wangu
Mkuu usitudanganye bana... yule wa nyuma ya raisi mbona mtu timamu akimuangalia tu kiumakini ataona kwamba siyo mtu wa kawaida sasa wewe unasemaje yule hamna kitu!?

Labda ungesema yule wa kando yake wa kuvaa kaunda suti (dizaini ya uvaaji wa wakuu wa wilaya na mikoa) kidogo ndo anaonekana wa kawaida kwa mbali (kuna aliyenambiaga ni daktari maalum wa raisi)
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
No.3 ni uongo kenge weweee.
 
Propaganda hakuna na hakuna kikosi toka rwanda kinacho mlinda Magufuli
Ndani ya wale ma baka ninao watu zaidi ya wawili
Mmoja ni kaka wa damu na ni mkinga wa makete huko.
Na kuna mwingne ni skul mate Kibaha sec.

Acheni porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizi ule uslim unawachanganya na jezi kama zs rwanda army
 
ngoja niwasaidie...
raisi analindwa ki mzunguko inaweza kufkia 3 au 4 au na zaidi

first ring ni wale wapembeni yake mda wote wale hawavai uniform
kazi yao ni kumtoa chap eneo la tukio

af kuna ring ya2 ni hao maarufu kama makirikiri
kazi yao ni kukava ring ya1
hao wote ni tiss vip protection

ring ya3 ni hao polisi ffu kitengo cha vip protection nb:ffu wote hupata mafunzo ya medani sawa lkn ukichaguliwa vip protection kuna kozi unaenda na wapo wengi tuu hakuna garantii (utaratibu wa police ni uleule)
hawa hupambana na adui au kumhold msaada ufike.

ring ya 4 ni watoa taarifa na kudili na mtum1 1 kabla hujafika ring ya 3hawa pia hawavai yuniform pia ni mchanganyiko wa tiss na polisi cid au yoyoye mwenye mapenzi mema.

pia wapo swipers hawa hutangulia kabla kupima hali kabla mkuu hajafika siku kadhaa
hawa wanaeza kua wa hapohapo mkoani au hata kutoka hq

raisi analindwa na police na tiss kwa tz. zipo nchi hadi jeshi linamlinda raisi

huyo wa nyuma yake ni mpambe wala ata hausiki na ulinzi tofauti na usaidizi ni........
mwingine aongezee

pia kushika silaha karibu na mkuu lazima uwe umechinguzwa wewe hadi baba ake babu yako[emoji23][emoji16][emoji16] sema uwe mwadilifu mtiii ulie tukuka

kama kuna swali npo hapa.
Uko karibu na ukweli.
 
yule ni JWTZ, anasimama kumlinda Rais wa Nchi (BodyGuard) na wala sio POLISI / FFU wala TISS
Rais anapokuwa katika Majukumu mengine km ya Chama chake cha Siasa huyu JW hutamuona
Siyo kweli. Huyo ni mpambe kuonyesha uamiri jeshi mkuu wa nchi. Kazi ya kumlinda Rais kwa mazingira yote ni jukumu la TISS. Iwe safarini, Ikulu au popote. TISS wanajua mpaka maji anayokunywa Rais. Polisi wako kudeal na civil order kwenye matukio yote ambayo Rais anakuwa kwenye umma. Walinzi madhubuti ni wale wasioonekana yaani covert. Waliovaa uniform ni overt lengo la hao ni kuonyesha Rais analidwa lakini wenye kazi kubwa ni wale wasiionekana kirahisi. Kwenye mikutano ya wazi wanachanganyikana na umma kimkakati. Kama huamini nenda kwenye umati wa namna hiyo ukiwa na silaha ifiche uwezavyo, utashangaa.
 
SAWA MKUU hapo nimekupata kabisa sina kipingamizi
tumalizie na Mada inavyouliza je ni Vikosi vingapi
Na mm nauliza Bodyguard na Mpambe kuna tofauti ipi
na je Bodyguard wa JPM ni yupi au ni nani?
ukinimalzia hapo
 
Yule anaekaa Nyuma ni Msaidizi wa raisi, na huwa anachaguliwa either kwa kupigiwa kura kwa vigezo tofaut Kama ukakamavu nk,

Wenye nguo za mabaka na siraha nzito ni Makomando kutoka nchi tofauti za afrika mashariki na wengi wao hutoka RWANDA

Wenye nguo nyeusi ni Usalama wa Taifa

Askari wa kawaida wapo kutuliza ghasia

Hao swat nawaona leo
 
Acha uwongo mkuu.
 
Siyo kweli. Huyo ni mpambe kuonyesha uamiri jeshi mkuu wa nchi. Kazi ya kumlinda Rais kwa mazingira yote ni jukumu la TISS. Iwe safarini, Ikulu au popote. TISS wanajua mpaka maji anayokunywa Rais. Polisi wako kudeal na civil order kwenye matukio yote ambayo Rais anakuwa kwenye umma. Walinzi madhubuti ni wale wasioonekana yaani covert. Waliovaa uniform ni overt lengo la hao ni kuonyesha Rais analidwa lakini wenye kazi kubwa ni wale wasiionekana kirahisi. Kwenye mikutano ya wazi wanachanganyikana na umma kimkakati. Kama huamini nenda kwenye umati wa namna hiyo ukiwa na silaha ifiche uwezavyo, utashangaa.

Chumvi ipo kwa mbali.
 
Back
Top Bottom