Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Ebu nisaidie kuelewa yule jamaa Wa nyuma Wa raisi anatoka kitengo gani cha jeshi au anachaguliwaje,Je sio komandoo? Mi mpaka Leo ndo najuaga yule ni mtu hatari na mwenye mafunzo adhimu kuliko askari yoyote yule.au nikiwa UvCcm na kukimbia mgambo tu napata ile nafasi? Huu upambe sijaelewa mkuu nitoe tongotongo kidogoo...
Yule ametoka JWTZ sio komando wala nini na Pale alipo ni ADC (Aide de camp) Mpambe wa Rais kazi yake ya kwanza ni kumsaidia mzee baba na vitu vidogo vidogo kama kubeba mafile au Cash japo likitokea sag nae ana act kama Mlinzi ila kuna Yule anaekaa mara nyingi kushoto kwa mkuu Yule ndio ana Lead team ya inner parameter na ndio wa kwanza kujulishwa hatari yoyote na miongozo namna ya kumtoa mkuu na kumuweka safe wakati parameters zingine ziki endelea kumhold adui
 
yule ni JWTZ, anasimama kumlinda Rais wa Nchi (BodyGuard) na wala sio POLISI / FFU wala TISS
Rais anapokuwa katika Majukumu mengine km ya Chama chake cha Siasa huyu JW hutamuona
Yule ni mpambe mkuu wala sio mlinzi japo at some point anaweza ku act kama Guard ila jukumu lake la kwanza sio ulizi yupo pale kama symbolic kuonesha Kuna Commander in Chief na Pia ni ADC (Aide de camp) wa Rais
Popote alipo Rais yule nae yupo hata jana shughuli ya kichama dodoma alikuwepo
 
Hahaha eti kuna mmoja kavaa nembo ya SWAT.
SWAT (Special Weapons and Tactics) officers are members of highly trained paramilitary units that tackle situations beyond the capability of conventional police forces. SWAT teams are called in when an incident presents significant risk to law enforcement officers or the public.Dec 11, 2018
1593623693246.png

Research for Your Most Important Health Purchases › how-t...
How to Become a SWAT Officer | SWAT Team Requirements
 
Yule ametoka JWTZ sio komando wala nini na Pale alipo ni ADC (Aide de camp) Mpambe wa Rais kazi yake ya kwanza ni kumsaidia mzee baba na vitu vidogo vidogo kama kubeba mafile au Cash japo likitokea sag nae ana act kama Mlinzi ila kuna Yule anaekaa mara nyingi kushoto kwa mkuu Yule ndio ana Lead team ya inner parameter na ndio wa kwanza kujulishwa hatari yoyote na miongozo namna ya kumtoa mkuu na kumuweka safe wakati parameters zingine ziki endelea kumhold adui
Asante mkuu
 
Hapo hamna ulinzi wowote mkuu ni geresha tu ili utishike bahati nzuri sana tanzania amani imetawala, ebu angalia marekani walivyo makini huwezi kuona rais ameambatana na jopo la wanaume wengi namna hiyo lakini ulinzi uliopo ni hatari yaani hujafikiria hata kumkamata umedakwa, wanatuekitia tu bongo kama wakina daimond, hamonisi na kina mbowe, vinjemba kifua mbele hamna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
ww ndo umenena point katika wote walochangia hii thread
 
Ndio wapo Swat ni specialist in weapon and tactics kama huamini kuwa ni specialized kwa weapon and tactics jaribu kujifanya kichwa ngumu

Unaowasema we mi field force unit (FFU) Sio SWAT mkuu
 
3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

Chadema mnaujinga mwingi kama hujui kitu ni bora unyamaze tu kuliko kujiropokea
 
yule ni JWTZ, anasimama kumlinda Rais wa Nchi (BodyGuard) na wala sio POLISI / FFU wala TISS
Rais anapokuwa katika Majukumu mengine km ya Chama chake cha Siasa huyu JW hutamuona

Hujui kitu ngedere wewe.
 
Hujui kitu ngedere wewe.
Tumbiri jike wewe kazi kufuata midume imefanya nini au imetoa mawazo gani
kwanini na wewe usitoe ya kwako kazi ku comment kwa kuQuote ya wenzako
Kwani Rais keshatoka Madarakani, Rais ana majukumu mengi lkn km Mwenyekiti Mbowe au Lipumba utamwekea ADC ?
 
Ni nani alikuambia ADC ni bodyguard wa Rais. Kama hujui ni vyema ukaficha upuuzi wako na si kuja kubwabwaja hapa kama mavi ya bata nguruwe pori usiye na matunzo wewe..
 
Ni nani alikuambia ADC ni bodyguard wa Rais. Kama hujui ni vyema ukaficha upuuzi wako na si kuja kubwabwaja hapa kama mavi ya bata nguruwe pori usiye na matunzo wewe..
Wewe ulichochangia ni kipi? kwa hiyo yule mwanamume na mabeji yake yupo km mrembo pale nyuma ya Rais
kazi yake ni kubeba simu na hela KAWADANGANYE wengine
sio unarukia post wakati hutoi ufafanuzi ni bora unyamaze au nenda Facebook
hapa hakuna mwl wa wengine usikae kukosoa bila kuelimisha
1593786933114.png

RAIS MAGUFULI AMBADILISHA MPAMBE WAKE(BODYGUARD)NA KUWAPANDISHA VYEO MAAF...
 
View attachment 1496572
RAIS MAGUFULI AMBADILISHA MPAMBE WAKE(BODYGUARD)NA KUWAPANDISHA VYEO MAAF...

Huyo ni mpambe tu na si vingine. Usirudie tena kupotosha umma nimefuatilia baadhi ya michango yako naona hujui vitu vingi tu.

Pale yupo kama sekretari tu watu wa ulinzi ni wape wengine

View attachment 1496577
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, afisa kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = JWTZ special forces presidential guard

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU kudhibiti umati
 
Wewe ulichochangia ni kipi? kwa hiyo yule mwanamume na mabeji yake yupo km mrembo pale nyuma ya Rais
kazi yake ni kubeba simu na hela KAWADANGANYE wengine
sio unarukia post wakati hutoi ufafanuzi ni bora unyamaze au nenda Facebook
hapa hakuna mwl wa wengine usikae kukosoa bila kuelimisha
View attachment 1496572
RAIS MAGUFULI AMBADILISHA MPAMBE WAKE(BODYGUARD)NA KUWAPANDISHA VYEO MAAF...
Mkuu ni hivyo unataka au hutaki. Unaweza uka GOOGLE neno Aide de Camp, kifupi ADC, wapo kwa wakuu wengi tu hata IGP anaye tokea FFU.
 
Wewe ni mshenzi hujui kitu mbwa Wewe
mmejaa wengi humu tunajua mmetumwa kazi yenu ni kubisha tu hamuelekezi? na ndio mnavuruga Jukwaa
kwani kuna shida gani kutuelekeza tunaokosea?
mwanzoni mwa uzi huu kuna jamaa alikuwa anawaingilia Member mpaka Inbox
kumbe katumwa leo yuko ardhini kafikiwa udongo na Corona wametupa huko Mbeya
kwa hiyo Kawe usijiingize ka umetumwa kue Jukwaa la Siasa
huwezi elekeza kaa kimya hata km ni TISS
 
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo ni secret society na secret security huwez jua ipo hv RAIS analindwa na watu wafuatao
1.Bodyguard mkuu
2.Maboard guard wa kawaida
3.JWTZ
4.Askar KOPLO
5.Maaofisa usalama
6.Waganga wa kienyeji (secret issue) hawa sometime huvaa ata uniform za JWTZ akija mchawi agusi
 
Nimekwambia wewe ni mshenzi hujui kitu unaropoka pumbafu zako
JUKWAA SIO LAKO kabishane na CHADEMA kwani unalipwa kutwa upo kupinga na matusi
hapa tunaeleweshana na tunatumia bundle toka lini umekuwa Mods utukane wenzako
 
Back
Top Bottom