Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Kuna Siku nilikuwa pale mgulani. Waitokea wajenda wakiwa na sare za kijani kibichi na walikuwa na nembo na jina la Rwanda mabegani mwao. Sisemi kama ni hao wanomlinda rais lkn kuna mahusiano gani kati ya jeshi letu na la Rwanda?
Wale Mabaka mimi nilikutana na mmoja wao tangu enzi za JK ila mara nyingi walikuwa Ikulu na sare zao.

Baada ya ujio wa JPM nikawaona katika misafara ya Rais.

Watanzania wana Propaganda nyingi sana na hawajikubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propaganda hakuna na hakuna kikosi toka rwanda kinacho mlinda Magufuli
Ndani ya wale ma baka ninao watu zaidi ya wawili
Mmoja ni kaka wa damu na ni mkinga wa makete huko.
Na kuna mwingne ni skul mate Kibaha sec.

Acheni porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa kalishwa matango pori na akina nanii wale wazee wa Twitter na dada maarufu wa Instagram.
 
Kuna Siku nilikuwa pale mgulani. Waitokea wajenda wakiwa na sare za kijani kibichi na walikuwa na nembo na jina la Rwanda mabegani mwao. Sisemi kama ni hao wanomlinda rais lkn kuna mahusiano gani kati ya jeshi letu na la Rwanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata askari wa Tanzaia wanafanya ziara nchi jirani sema wanaingia kwa vibali maalum.
Kwa mfano kozi za mafunzo za kikanda.
Nahisi kukiwa na mizigo yao ya silaha inayopitia bandarini wanakuja wenyewe kadhaa na wanaongezewa escort na JW.

Kwa kukuonesha hawapo kwa kificho ndio maana walivaa sare zenye nembo na jina la nchi yao.
 
TISS wana vitengo vingi kama Polisi, wale wenye sare za mabaka madogo ni moja ya vitengo maalum ndani ya TISS na pia wale wenye sare za FFU ni moja ya vitengo maalum ndani ya FFU.

Wote wamepitia mafunzo maalum ya kikomandoo na mambo ya ulinzi kwa viongozi maalum V.I.P. Ukikutana na FFU kitengo maalum hata bila kuambiwa utajua si askari wa kawaida na hawa hawatumiki kwenye operations za kutuliza ghasia n.k labda matukio yaliyoshindikana.

Baadhi ya maelezo yalitolewa kwenye sherehe za uhuru kama sikosei zilizofanyika dodoma. Issue ya askari kutoka Rwanda ni uzushi a.k.a matango pori.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kutoka matongo pori yenyewe toka kwa mange na kigogo ila utakuta msomi wa degree mwanachama wa chadema anawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio Matango pori ni ukweli mtupu, imeshajadiliwa na hata MTAZAMO ulishaiweka hapa Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu
Bungeni kuna askari wa Bunge na FFU wa Bunge lakini wanaripoti kwa DCO na hawakubali kutoka hapo Bungeni mpaka waraka, Wapo Traffic wanaoongozana na misafara huwezi kwenda mpangia lindo ashike silaha, kuna FFU wa msafara huwezi wapangia Benki au Mpirani
kwa hiyo ni sawa na Askari akipelekwa kitengo cha ulinzi Magogoni huwezi mpeleka akafanye kazi za ambush za mitaani mikoani au kumfuatilia mhalifu ndio maana unakuta ni walewale wanaoonekana kwa Waziri Mkuu aliyepo au wale wastaafu au Rais mstaafu au Rais aliyepo. namaanisha km umetoka JW utakuwa JW umeazimwa TISS kitengo cha ulinzi, Fuatilia kideo ya leo Ubungo hao walinzi wenyewe kwa wenyewe wanapishana wakiwa kazini
Vipi walinzi wa Makonda nao pia ni TISS?!
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Waganga umewasahau mkuu,hawakosi hao jamaa kuwepo.
 
Vipi walinzi wa Makonda nao pia ni TISS?!
Ndio jamaa yangu, hilo dude TISS ni kubwa sio kikosi cha ulinzi tu
hata wilayani, Mikoani wapo
kuna wale waliomsniper Mbunge risasi 32 kule Dodoma wakakimbilia pale mwanzo wa Reli/ ta kati/Bandarini mpaka wa2 wakaondoka mmoja kwa kichwa tu,
jiulize kwanini wapo mpaka JF km waliingia mpaka Clouds kwenye post yako watashindwaje
 
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk


Sent from my iPhone using JamiiForums

Aongeze wengine hao hawatoshi kumlinda na Corona.
 

Swat ni nn?

(special weapons and tactics
special weapons and tactics inaweza kuwa nchi yoyote mkuu japo nami ndio nimejua leo


Sent using Jamii Forums mobile app

Wee,weapes hatuna wenze2 wanatumia hata cameras zenye uwezo wa kupenetrate na kuonyesha maadui kwenye buildings ktk uokoaji wa mateka maybe tactics tunajifunza kutoka kwa nchi nyingine lakini sidhani Kama tunafundishwa zote .
 
Hao wanakuwa Ni special weapons and tactical team,,kila nchi wapi tofauti tu majina,Ni kikosi tu chenye mafunzo ya kutumia silaha na mbinu advanced kuliko Askari wa kawaida.
Lakini haina maana ukimpa helcopter au kifaru Cha kijeshi kila SWAT ataweza kukioperate.

Special force wapo jwtz hao wengine Bado maybe kwa miaka ijayo watakuwa better.
 
SWAT (special weapons and tactics)
Ndio Tanzania pia wapo Kikosi Maalum ambao wanatumia silaha maalu na mbinu maalum za kudhibiti wahalifu.

Bado special force we2 hawajafikia hadhi ya kuitwa swat, nimeona demostation Ni zakawaida,hakuna advanced weapens kidogo Kuna tactics.
 
Back
Top Bottom