Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Bado special force we2 hawajafikia hadhi ya kuitwa swat, nimeona demostation Ni zakawaida,hakuna advanced weapens kidogo Kuna tactics.
1584376611862.png

usiwadharau wanaweza kukutoa kidevu
😛 😀kuna jamaa alimuangalia Bibie wa jamaa wako Bar akageuzwa shingo, sijui kesi iliishia wapi
After accepted, SWAT officers undergo about 15 to 30 weeks of specialized training. The topics include crisis situations, self-defense, weaponry, hostage negotiation, and crowd control.
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Hiyo namba 3 ni jungu kubwa...hawatoki Rwanda ni wa hapa hapa Tena basi wa miaka mingi..hakuna haja ya details hapa...
 
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hatujawahi kumpata leader muoga kama huyo mcukuma
 
Kuna Siku nilikuwa pale mgulani. Waitokea wajenda wakiwa na sare za kijani kibichi na walikuwa na nembo na jina la Rwanda mabegani mwao. Sisemi kama ni hao wanomlinda rais lkn kuna mahusiano gani kati ya jeshi letu na la Rwanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kwenda siku nyingine utawakuta wa Uganda, kongo, china, Marekani n.k, hayo Ni Mambo ya kawaida katika majeshi kuna mafunzo ya pamoja
 
Bonjour wana JF,

Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.

Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata wazo la kufuatilia layers za walinzi wale ila sijui kazi za kila mmoja naomba nipate kujuzwa za mimi nielewe leo.

1. Kwanza kuna yule amevaa sare ya JWTZ huwa yupo na Rais bega kwa bega na hata gari huwa wanakaa moja huwa ni nani na kazi zake exactly ni zipi?

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa wanana silaha zinazoonekana sijui kama wana silaha ila huwa wamevaa vifaa vya mawasiliano katika sikio moja na wapo hadi wanawake hawa ni kina nani na wajibu wao ni upi?

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo rangi yake kama uniform za US Army tunazoonaga kwenye movies huwa wamejaa sana weusi tii na wanaogopesha.

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU ila kofia zao ni ngumu nyeusi sio nyekundu kama zilivyo za FFU na zina mifumo ya mawasiliano direct, huwa wana machine Guns za kisasa hatari kama tunazoonaga kwenye movie nyingi za Hollywood kufuani huwa wamevalia Bullet proof vest nyeusi ikiwa na gears nyingi sana kama kamba, mabomu ya mkono, visu, Vidude vya risasi vile na vitu vingine hata sielewi ni vitu gani, vest zao kwa nyuma zimeandikwa SWAT sijui maana yake ila huwa naonaga kwenye movie pia hilo neno kwa askari wa vikosi maalum. Hawa kazi yao ni nini?

5. Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani FFU na hawa wengine wanaovaa kofia za kawaida pamoja na Traffic hawa najua wajibu wao ni nini.

Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa layers za kijeshi naomba kupata elimu.

Nawasiliaha

UH-60 Black Hawk

Sent from my iPhone using JamiiForums
WAMUHIMU KABISA NI WALE WAZEE WA KAMATI YA UFUNDI HAO WANAAMINIWA KULIKO WOTE NA TUNGULI ZAO
 
Kuna Siku nilikuwa pale mgulani. Waitokea wajenda wakiwa na sare za kijani kibichi na walikuwa na nembo na jina la Rwanda mabegani mwao. Sisemi kama ni hao wanomlinda rais lkn kuna mahusiano gani kati ya jeshi letu na la Rwanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajeshi huwa wanashirikiana katika mafunzo ya kijeshi ukiona mwanajeshi yupo nchi isiyo yake ujue yupo katika mafunzo au mission fulani anafanya.
 
Hi
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Hivi ni kweli au uzushi kwamba jamaa analindwa na wanyarwanda
 
Wale Mabaka mimi nilikutana na mmoja wao tangu enzi za JK ila mara nyingi walikuwa Ikulu na sare zao.

Baada ya ujio wa JPM nikawaona katika misafara ya Rais.

Watanzania wana Propaganda nyingi sana na hawajikubali.

Wakasingizia ni wa nchi jirani 🤣🤣🤣🤣
 
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ

2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)

3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda

4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati

5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Hiyo namba tatu ni uzushi na ulofa wa watanzania wengi kumezeshwa maneno issue ya ulinzi wa Raisi ni sensitive sana kwa taifa kama Tanzania lenye vikosi vyenye weledi huwezi kuleta walinzi kutoka nçhi jirani ndio wahusike kwenye ulinzi muwe mnafanya reasoning sio kuandika tu ili mradi uonekane umeandika
 
Back
Top Bottom