Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,624
- 2,880
Propaganda hakuna na hakuna kikosi toka rwanda kinacho mlinda Magufuli1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ
2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)
3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda
4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Ndani ya wale ma baka ninao watu zaidi ya wawili
Mmoja ni kaka wa damu na ni mkinga wa makete huko.
Na kuna mwingne ni skul mate Kibaha sec.
Acheni porojo
Sent using Jamii Forums mobile app