Sayari1
Member
- Mar 16, 2025
- 24
- 6
Mleta mada amesema anataka pesa nyingi mno alafu wewe unamwekea vitabu ajisomee, hivi huku ni kumchanganya tu mtu, hivyo vitabu havina uhalisia sana na maisha ya kitanzania labda huko marekani angeviapply.
Binafsi nimesoma vitabu vingi tu kuhusu financial freedom, sio rich dad, sijui quadrant, money master the game, the richest man in babylon n.k kusoma vitabu haimanishi utapata hela nyingi kupitia kusoma vitabu hilo sahau, labda uwe unajaza tu theory kichwani! 😁😁
Kama vitabu havikusaidii wewe kichwa ngumu basi vimemsaidia mwingine.