Ila usikate tamaa mkuu safari bado mbichiNimepita mapori mengi sana mkuu Tanga huko kutafuta milio nilifika kipindi nataka kuitafuta Arusha nikaona nitakufa bure tu
Kweli, mbinu sasa ndio mtihanPesa wanazo watu
Kama ulishawah kuwa mhasibu wa vikundi au unakusanya michango ya harusi utaelewa au muulize cashier wa Mwamposa atakuambia pesa wanazo watu
Fanya mbinu zako zote unazozijua watu watoe pesa walipozificha wakupe
Usijinyonge mkuu ata sisi ni kama wewe tunapitia shuda/sio shida na matatizo.Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Unamiaka mingapi mkuuUmri unaenda mkuu ilo ndio linakatisha tamaa
Pesa ni nini?Pesa nyingi bila shaka zinapatikana kwenye biashara zote halamu.
Pia serikalini kuna pesa nyingi sana ambazo ni kodi zetu wananchi na viongozi wa serikalini wanazifuja.
Epuka utapeli wa kwamba pesa zinatolewa kwa muujiza fulani, kwamba kuna jini linaweza kukupatia pesa huo ni utapeli.
Pesa ni kitu halisi, siyo kitu cha kiimani.
Kwahiyo pesa zote zinatoka BOT na siyo kwamba kuna mzimu fulani unaweza kuzalisha na kukupatia pesa.
Sasa 30 ndio miaka imeenda mkuu mbona unautani
Kwani we ni mcheza mpira mzee kama ni mcheza mpira ujue umeshafeli Kwa huo umriSadio mane ana 33 mo Salah ana 35 almost the same age asaivi wanakaribia kustaafu
Ndio maana nimekuuliza kwani we ninmcheza mpira maana umetolea mfano wa umri watu ambao ni wachezajiMimi natafuta pesa popote kambi umri sio rafiki tena nikiambia nikacheze soka sasa huoni nitazeeka na umasikini
Jirani yangu hapa ni Mbrazil alikuwa anabeba box miakaNjoo tuuze sembe 😎 kiongozi uhakika tutaishi floor ya mwisho Burj khalifa 💔
Fursa ni zilezile ila njia za ufanyaji ni tofauti kwa hiyo ili ufanikiwe unatakiwa uwaonyeshe watu kuwa kwenye huduma yako unayotoa umeongeza vipengele fulani vya kurahisisha kitu fulani ndipo watu wataweza kuwahama wengine na kuja kwako hiyo ndio maana ya kutatua changamoto.Aisee mtaani kila fursa Ina watu kibao sioni fursa mpya
Kwahiyo kaacha biashara ya sembeJirani yangu hapa ni Mbrazil alikuwa anabeba box miaka
Akapata mchongo huo kapiga trip tatu kafanikiwa zote
Ile nyumba aliyopanga kainunua na amenunua Pub na Hotel
Amesema kama maisha ndio haya basi nimeyafikia
Harudi tena kwenye sembe
Watoto wamekuwa sasa
Maisha haya