Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 673
- 1,438
Jamaa ana kichwa kigumuHivi unaelewa kwanza ninachokiongelea wewe kwenye mpira huwezi kutoboa Kwa huo umri we umekazana mtafutaji mara sijui nini wewe nenda Kabebe sembe
Jamaa ana kichwa kigumuHivi unaelewa kwanza ninachokiongelea wewe kwenye mpira huwezi kutoboa Kwa huo umri we umekazana mtafutaji mara sijui nini wewe nenda Kabebe sembe
Mimi biashara ya chenji sikukuambia wewe 😂😂 nlimwambia jamaa ambae alitaka wazo la kupata elf 5 tu mi nkamwambia uza chenji hautapata tu elf tano bali elf 10.Jamani mi ntarudia kila siku pesa zina njia nyingi sana ila njia moja wapo ni universal connection
Hii kuna watu wanatumia kuna wengine hawatumii.
Kina bahati pia.. ila ogopa sana kuna wale wana grow in every year an no step down ni mbele tuu ila ni kwa slowly..
Ukijua universal language wewe upatikaji wako wa pesa hauwi mgumu hvo....
Mi soon ntakua billionaire ila sitosema hii njia nayotumia hata kidogo maana watu wakijua computation itakua kubwa ila pesa zipo kikubwa kuwa na nidhamu ya pesa..
Ukijifanya wee ni wale wa "maisha haya haya"" utakubali show
Ukijifanya unawaza kufa leo au kesho utakubali show...
Mzee wa leo unayemuona now anapambania kombe mpaka umri ule jua nayeye alikua kama wewe hvo hvo.
Pesa zipo tusichoke kupambana..
Kama una akili fatilia mawazo ya Evelyn Salt huyu ni genius sana...
Japo kuna mda huwa ananizingua sana aliposema nifanye biashara ya kuuza chenji 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Kama unasoma vitabu na havibadilishi chochote kwenye maisha yako achana navyo tu bro, cheki hata movie za kihindiMleta mada amesema anataka pesa nyingi mno alafu wewe unamwekea vitabu ajisomee, hivi huku ni kumchanganya tu mtu, hivyo vitabu havina uhalisia sana na maisha ya kitanzania labda huko marekani angeviapply.
Binafsi nimesoma vitabu vingi tu kuhusu financial freedom, sio rich dad, sijui quadrant, money master the game, the richest man in babylon n.k kusoma vitabu haimanishi utapata hela nyingi kupitia kusoma vitabu hilo sahau, labda uwe unajaza tu theory kichwani! 😁😁
😂😂😂😂 haya mwenyekiti wetuMillion ni hela ndogo sana labda kama waongelea $1mil
Mtaji mdogo sana huu kwa chenji hautoshiHapo inabidi utafute meza uweke kama chenji kwenye vituo vya daradara ahahahahha 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nasoma kama hobby yangu na kila mwaka nakuwa na list ya vitabu vya kusoma, lakini point yangu ni kwamba kusoma kitabu kinachohusu fedha hakiwezi kukupa wew umilionea au ubilionea labda tu kitakuongezea maarifa tu ambayo mengi kibongobongo hayana uhalisia sana!Kama unasoma vitabu na havibadilishi chochote kwenye maisha yako achana navyo tu bro, cheki hata movie za kihindi
Inategemea kwakweli mtu na mtu mi nimesoma vichache hivo hivo vichache vimenipa maarifa ambayo sikua nayo na nimeviapply baadhi ya sehemu naona matokeo...... Ngekua msomaji konki bila shaka ngekua na mengi kichwaniNasoma kama hobby yangu na kila mwaka nakuwa na list ya vitabu vya kusoma, lakini point yangu ni kwamba kusoma kitabu kinachohusu fedha hakiwezi kukupa wew umilionea au ubilionea labda tu kitakuongezea maarifa tu ambayo mengi kibongobongo hayana uhalisia sana!
😂😂😂😂😂😂😂😂 Uuuh unaona sasa kweli nikae na meza niuze miatisa kwa buku 😂😂😂😂😂Mimi biashara ya chenji sikukuambia wewe 😂😂 nlimwambia jamaa ambae alitaka wazo la kupata elf 5 tu mi nkamwambia uza chenji hautapata tu elf tano bali elf 10.
We sio wa biashara hizo bana we ni level za frem sinza, full vioo full ac ndani raba nne tshirt nane nje ndinga ya maana
Hapa nina million SABA ila mpaka sasa najiuliza nafanya nn aisee maaanaMtaji mdogo sana huu kwa chenji hautoshi
We una frem sinza hii biashara waachie wanaoiweza ambao kwao sh mia ni kitu😂😂😂😂😂😂😂😂 Uuuh unaona sasa kweli nikae na meza niuze miatisa kwa buku 😂😂😂😂😂
Wakija watu kumi Nina buku ... Safi kabisa maisha nishayapatia na kodi nalipa
Haitoshi hiyo inywee tu milion 7 utafanyia nini sasa pesa ndogo hivyo 😁Hapa nina million SABA ila mpaka sasa najiuliza nafanya nn aisee maaana
Panaitwa nyakafuruMgodi gani huo mkuu uliuotea? Mimi nilibeba poka hadi mgongo ukapinda
Mkuu hutaki ujinga yan😂Aisee acheni kunimotivate nielekezeni pesa ziliko tafadhali
BahatiNaomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Daah ndo hapo hata bi. Mkubwa kanisema sana amesema hii ni bora nimtumie dogo shuleni kule kuliko kuiweka kwenye biashara etHaitoshi hiyo inywee tu milion 7 utafanyia nini sasa pesa ndogo hivyo 😁
Hivi wanaojibu hapa nataka kufahamu wao wanahizo pesa ama na wenyewe wanazitafuta maana watu wanaandika mara zimejificha kwenye shida za watu mara matatizo ila nafanyaje sasaa?Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Usidate na mifumo ya hela soma hela, mifumo ina mengi mazee, ila somo ni moja, Fanya ukikosea tumia njia nyingine mpaka utakapofanikiwa kuelewa somo,Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Samia atakuwa anajua. Maana kila mradi utasikia " Mama katoa Bil so n so...."Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni