Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,240
- 4,000
Sina. Ila nikiwa rais si naagiza watuchapishie nyingi tulete tugawane kila mtu awe nazoMkuu kama una machine ya kuchapishia tufanye kitu
Sina. Ila nikiwa rais si naagiza watuchapishie nyingi tulete tugawane kila mtu awe nazoMkuu kama una machine ya kuchapishia tufanye kitu
Ushaanza kufikiria vibaya,sihitaji hata shilingi mia mbovu yako,ni wewe mwenyewe ndio uliandika nikupe code za kufanikiwa so siwezi kuropoka hapa kila kituNaona unaniita kwenye fursa kiongozi
Sina connection chief na sidhani kama inatolewa kama namba ya NIDAMkuu fanya mpango wa hiyo connection thabit nisaidike kijana wako uzee haupo mbali
Zikiwa nyiingi manake vitu vitapanda bei Sana Sababu Hela itashuka thamaniMimi nikiwa rais nachapisha nyingi naleta tunagawana. Hakutakuwa na masikini ndani ya nchi yangu. Kila mgonjwa asiye na huduma namchpishia zakwake na kila ombaomba namchapishia zakwake. Hakuna kilala nje kwenye nchi yangu wakati pesa tunachapisha tu
Tuliza akila kwanza, Nitarudi kukufungulia code japokuwa mimi nilishindwa kuufikia huo utajiri!Fungua code mkuu nishapiga fonga za kutosha na kubeba poka kwahiyo hakuna cha kunitisha duniani hapa
Nina uhakika wengine ni jamaa wa karibu, na kazi walizoanza nazo ni za kutembeza Karanga hapa ninavyoongea huyo mtu hashikiki hata kidogo na siwezi kufikia hizo level zake.Mkuu kwamba unamaanisha ulishawahi kuwashuhudia watu wakiwa maskini kisha wakaingia kwenye ndagu halafu ghafla wakawa matajiri?
Ni vile tu mtaji hautoshi 😂😂Wewe ni genius
Kweli kabisa an 😂😂😂Ni vile tu mtaji hautoshi 😂😂
Kuna mahali tu haujapapatia kuna njia haujazipitaHazijafa zote ila hazinipi pesa nyingi naongelea ukwasi
Nna milioni kumi hapa ila haitoshi acha tu niinywe 😂Kweli kabisa an 😂😂😂
Mmmh bro kwaheri bana acha nikalime maharage mie, mi kwangu milioni ni rundo.....hilo rundo lako silielewi kwaheriExcess money yani rundo la pesa ivo vijicent ninavyo ila havinitoshi
Hapo inabidi utafute meza uweke kama chenji kwenye vituo vya daradara ahahahahha 😂😂😂😂😂😂😂😂Nna milioni kumi hapa ila haitoshi acha tu niinywe 😂
Mleta mada amesema anataka pesa nyingi mno alafu wewe unamwekea vitabu ajisomee, hivi huku nipo si ni kumchanganya tu mtu, hivyo vitabu havina uhalisia sana na maisha ya kitanzania labda huko marekani angeviapply.Kuna vitabu vinaelezea masuala ya fedha na vitajibu vyema swali hilo. Soma upate maarifa zaidi.
Kujiunga na group la vitabu WhatsApp gusa link.
![]()
Bora umwambie mkuu sasa yeye si kavisoma atupe tu chimbo sisi tukavune pesaMleta mada amesema anataka pesa nyingi mno alafu wewe unamwekea vitabu ajisomee, hivi huku ni kumchanganya tu mtu, hivyo vitabu havina uhalisia sana na maisha ya kitanzania labda huko marekani angeviapply.
Binafsi nimesoma vitabu vingi tu kuhusu financial freedom, sio rich dad, sijui quadrant, money master the game, the richest man in babylon n.k kusoma vitabu haimanishi utapata hela nyingi kupitia kusoma vitabu hilo sahau, labda uwe unajaza tu theory kichwani! 😁😁
Mgodi gani huo mkuu uliuotea? Mimi nilibeba poka hadi mgongo ukapindaKutoboa ni Akili,roho ngumu na bahati ya mtu tu mkuu.
Miaka kadhaa nyuma sikua na kazi wala mchongo wowote, nikaamua kusogea mgodini kutembelea ndugu zangu, walikua na mialo na makarasha sehemu za kahama huko.
Siku ya tatu mida ya saa7 usiku nipo chooni nikasikia minong'ono kwa nje, ile kuchungulia naona washikaji wawili wanaficha vitu kwenye kichaka.
Ile wameondoka tu nikaruka fensi maana geti lilikua limefungwa bahati nzuri ilikua ya mabati kwenda kucheki kilichofichwa, nakuta mawe yapo kwenye vimfuko viwili vichafu nikavichukua mpaka geto.
Kesho yake asubuhi, nikamuonyesha ndugu yangu akashauri tuyauze yale mawe kwa kota nikamkubalia akapiga simu mbili tatu jamaa(kota) akafika.
Akachukua maji kwenye beseni akaanza kuyaosha, huku na huku akaropoka nawapa 15millions, nusra nianguke na presha nikaanza kuongea kimoyomoyo sikujua hata naongea nini kwa wakati huo.
Mwisho wa siku biashara ikaisha kwa dau la millions 32, na huo ndiyo ukawa mwanzo wangu wa kua na roho ngumu linapokuja suala la pesa.
Get Money Or Die Trying.
Nina uhakika amemeza tu theory lakini akiingia field mambo yapo tofauti kabisa, hizo ni akili za kichuochuo tu wengi tumepitia huko! 😁 😁 😁Bora umwambie mkuu sasa yeye si kavisoma atupe tu chimbo sisi tukavune pesa