Hivi pesa inapatikana wapi?

Hivi pesa inapatikana wapi?

kila mtu ana bahati yake hakuna namna utafuata kama mtaala ukapata pesa
Kuna mmoja hapo juu kasema alipata bahati ya kuwaona watu wakificha dhahabu akaenda kupima akapata 32mil za madafu

At least katuambia pesa amezipata wapi japo ni kwa bahati
 
Kuna mmoja hapo juu kasema alipata bahati ya kuwaona watu wakificha dhahabu akaenda kupima akapata 32mil za madafu

At least katuambia pesa amezipata wapi japo ni kwa bahati
ndo utajiri uko ivo
 
Nakazia hapo, huko ninawafahamu wataalamu kadhaa akiwemo Mwakipande na Mseketwa wamesifika sana pande hizo😁
Sa jamaa anazunguuuukaaa anatuchosha bure na pesa nyingi pesa nyingi.

hapa tupo watu wa levo tofauti tofauti kiasi kwamba kuna mtu tsh elf kumi ndo pesa nyingi, kuna mtu laki ndo nyingi, kuna mtu milion ndo nyingi kumbe ye anataka ile mihela ya kumwaga. Mpe koneksheni ya wataalamu 😁 apate mihela mingi
 
Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha

Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?

Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi

Karibuni
Akilini mwako....
As above so below
As within so without

Power on you......💪💪💪
 
Wengi wana pesa za madafu milion 20 au 50 za bongo kushuka chini
Hizo milioni 20 hadi 50 sio pesa ya kuongea kwa watu..... Wengi wameshika hizo hela wakiwa vijana wadogo around 20s na ninawafahamu sana.

Pesa nyingi anza kuzungumzia 1b+ na kuendelea ambazo kuzishika mpka unakufa ni bahati sana watu wabishe wanavyoweza lakini sio rahisi sana.
 
Sa jamaa anazunguuuukaaa anatuchosha bure na pesa nyingi pesa nyingi.

hapa tupo watu wa levo tofauti tofauti kiasi kwamba kuna mtu tsh elf kumi ndo pesa nyingi, kuna mtu laki ndo nyingi, kuna mtu milion ndo nyingi kumbe ye anataka ile mihela ya kumwaga. Mpe koneksheni ya wataalamu 😁 apate mihela mingi
Kumpa hizo code mpaka nionane nae live, kuna vijana wengi wanatamaa ya mafanikio lakini hawajajitoa kufikia level hizo wanaishia kusumbua tu watu..

Kuna watu wamewahi pelekwa hadi majini kwenye kina kirefu kupima ujasiri walio nao lakini waliishia kufeli sehemu ndogo kama hizo kwa kukosa ujasiri..... Na pesa nyingi zinakaa kwa watu majasiri sana!
 
Mkuu hivi wauza papuchi wanapata pesa kweli? Mbona huku mtaani wana hali mbaya sana hadi wanakosa soko
Nchi maskini, wanunuaji maskini, wauzaji maskini

Nchi tajiri, wanunuaji matajiri, wauzaji matajiri.

Inategemea wanauzia wapi na wanamuuzia nani. Kwa vile ni mtaani basi malipo ni ya mtaani.
 
Back
Top Bottom