Hivi pesa inapatikana wapi?

Hivi pesa inapatikana wapi?

Kumpa hizo code mpaka nionane nae live, kuna vijana wengi wanatamaa ya mafanikio lakini hawajajitoa kufikia level hizo wanaishia kusumbua tu watu..

Kuna watu wamewahi pelekwa hadi majini kwenye kina kirefu kupima ujasiri walio nao lakini waliishia kufeli sehemu ndogo kama hizo kwa kukosa ujasiri..... Na pesa nyingi zinakaa kwa watu majasiri sana!
Tuonane basi namie, mi jasiri niliekubuhu 😁
 
Book: The school of money by Olamide Emmanuel

"Money hides in people"
"Money hides in problem"
"Money hides hides in gifts and talents"
"Money hides in opportunities"
"Money hides in products and services"
"Money hides in ideas"
"Money hides in vision"
"Money hides in work"
"Money hides in seed"
Definitely yes
 
Nchi maskini, wanunuaji maskini, wauzaji maskini

Nchi tajiri, wanunuaji matajiri, wauzaji matajiri.

Inategemea wanauzia wapi na wanamuuzia nani. Kwa vile ni mtaani basi malipo ni ya mtaani.
Wanasema kila biashara uionayo imetoa matajiri kwa hapa Tanzania huu msemo haufanyi kazi?
 
Back
Top Bottom